Dalili kuu ya mwanaume shoga!

...kula tano,nadhani mkuu Likud anamalizia shahada ya uganga wa kienyeji....
 
Sura gani hiyo inayokemea ugay?

1. Genesis 19:1-11

2. Leviticus 18:22
3. Leviticus 20:13
4. Judges 19:16-24
5. 1 Kings 14:24
6. 1 Kings 15:12
7. 2 Kings 23:7
8. Romans 1:18-32
9. 1 Corinthians 6:9-11
10. 1 Timothy 1:8-10
11. Jude 7
 
Sijavutiwa bali nimeshangazwa na wewe kuhangaika kwenye mitandao ya Wapopo kutafuta tafiti zinazohusu ushoga halafu na kuja kuzileta hapa.
Na mimi nimeshangazwa na matokeo ya utafiti huo ndo maana nimeyaleta hapa
 
Sijavutiwa bali nimeshangazwa na wewe kuhangaika kwenye mitandao ya Wapopo kutafuta tafiti zinazohusu ushoga halafu na kuja kuzileta hapa.

Ila inaonekana kama nimegusa interests zako!
 
Sijavutiwa bali nimeshangazwa na wewe kuhangaika kwenye mitandao ya Wapopo kutafuta tafiti zinazohusu ushoga halafu na kuja kuzileta hapa.

How sure ur kwamba nimetafuta huo utafiti? kwa nini usingefikiria kwamba nimekutana nao bila kutegemea na nikaamua kuuleta hapa?
 
How sure ur kwamba nimetafuta huo utafiti? kwa nini usingefikiria kwamba nimekutana nao bila kutegemea na nikaamua kuuleta hapa?

Vyovyote vile, huo utafiti umekuvutia. Kwa nini? Labda wewe ni gay pia.
 
Mwanaume timamu hauwezi kuwa uwasiliana kwa sms na mwanaume mwenzako halafu ukawa unatumia maandishi yanayo tumiwa zaidi na mabinti kama vile " Xaxa' " xo" "k" nakadhalika. Nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.

Kwa utafiti wako huo wa maandishi; kizazi hiki cha doti komu wooote ni mashoga???? maana ndio uandishi wao! nenda fesibuku kajionee! LIKUD acha kutumia viroba mchana!
 
Last edited by a moderator:
[/COLOR]

Hata mimi naunga mkono hoja,..huwa ninawa_underate sana watu wanaoandika message kwa mtindo huo....na hasa wanaume.

Hizo watoto wa kileo wanaita swaga kwa hiyo usishangae mzazi. Dunia kwa sasa inabadilika hivyo usiwe na hasi
 
kwa utafiti wako huo wa maandishi; kizazi hiki cha doti komu wooote ni mashoga???? maana ndio uandishi wao! Nenda fesibuku kajionee! likud acha kutumia viroba mchana!

usiulize babu, pigia mstari
 
Mhnn... Na wewe ndo ushatumia hiyo herufi kwenye post yako...lol..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…