Daladala za Arusha zagoma

Daladala za Arusha zagoma

Ila huu mgomo naona wamejipanga vema kwani hakuna hata daladala moja barabarani na bodaboda leo ni sherehe
 
Poleni watu wa Arusha kwa usumbufu na mateso haya ya usafiri.

Si ajabu tukasikia kutoka upande wa pili kwamba chadema ndio wamewahamasisha madereva kugoma!!!

BTW; Leo bila shaka utakuwa umefurahi kwakuwa vile vibajaji vyako vitakuwa vimekula nyomi za hatari!! faida ya uwekezaji hiyo!!
kwanza CCM wanabahati matukio yote haya yanatokea CHADEMA ikiwa haiko vizuri sana na Lema yuko bungeni vinginevyo swala la Umeya, umeme na mgomo huu tungeliunga maana vijana wako tayari....
 
nakupenda sana JK na serikali yako mbovu isiyo jali watu wake ninaahidi kukuvumilia hadi 2015 ndipo nitakapo kumwaga wewe na chama chako kwa upendo wa hali ya juu,Amen
 
Waendesha pikipiki AKA Bodaboda leo ndio siku yao yaani wanakamua sio mchezo town trip shilingi elfu nne (4000) wao wanakwambia kama hutaki tembea kwa miguu!
 
Waendesha pikipiki AKA Bodaboda leo ndio siku yao yaani wanakamua sio mchezo town trip shilingi elfu nne (4000) wao wanakwambia kama hutaki tembea kwa miguu!
Na wao wagome ndiyo panoga haswa maana tumeshachoshwa na huu upuuzi wa ccm.
 
Ila huu mgomo naona wamejipanga vema kwani hakuna hata daladala moja barabarani na bodaboda leo ni sherehe
Hakika hata mimi nawashangaa sana hawa jamaa!
Mji mzima umerespond, na kwa kuwapima nawapa asilimia 93. Ni saa 6 sasa hivi hakuna dalili ya dala2 popote mjini Arusha!
Itabidi mbinu hii itumike na wanasiasa kuhamasisha wananchi katika ujenzi wa Taifa!
 
Nimepita barabara ya Idara ya maji na uhuru nikajichanganya na vijana yaani wanachopanga ni kuvamia maduka yaliyoko uhuru road hasa ya simu maana wanadai kama ajira zao wanazo zitegemea ni udereva na ukondakta na sasa magari yana kamatwa basi itabidi wagawane umasikini na matajiri wa Arusha..mmoja nimemsikia akisema nasubiri kinuke siongopi mabomu na risasi nitazama kwenye duka la mdosi nichukua phone kama 5 za ukweli basi...

Hii sasa balaa dah!
 
Hakika hata mimi nawashangaa sana hawa jamaa!
Mji mzima umerespond, na kwa kuwapima nawapa asilimia 93. Ni saa 6 sasa hivi hakuna dalili ya dala2 popote mjini Arusha!
Itabidi mbinu hii itumike na wanasiasa kuhamasisha wananchi katika ujenzi wa Taifa!
Mgomo ulianza Alhamisi ya wiki iliyopita kwa magari ya Unga ltd magari ya kijenge yakaamlisha yakafanye badala ya magari hayo sasa naona wameamua kujumuika wote ingawa nimeona kuna baadhi ya magari ya moshi yalikuwa yana pakia abiria...
 
Na wao wagome ndiyo panoga haswa maana tumeshachoshwa na huu upuuzi wa ccm.
yaani hii ingekuwa tamu kweli lakini hata hivi sasa ngoja tuone mpaka kesho nini kitatokea kama madereva hawata saritiana maana kugoma kazi kweli kweli..
 
Na madaktari wa hapo Mt Meru Hospital wawepo makini maaana hizo ajari sijui itakuwaje, Kwa wale watakao panda Toyo iko shughuri pevu. Inabidi dreva wa toyo umshikie kisu shingoni aendeshe unavyotaka maaana wanajifanya wanajua mashindano
ukitaka kupanda toyo angalia umri wa dereva ukiona mzee huyu ndiyo anafaa wengi wao wako makini
 
Hakika hata mimi nawashangaa sana hawa jamaa!
Mji mzima umerespond, na kwa kuwapima nawapa asilimia 93. Ni saa 6 sasa hivi hakuna dalili ya dala2 popote mjini Arusha!
Itabidi mbinu hii itumike na wanasiasa kuhamasisha wananchi katika ujenzi wa Taifa!

Mkuu niwaulize nyie wa Arusha swali, Biashara nyingi za Daladala si Askari Police wengi wanaendesha(Wamiliki) hizo biashara?? Mtu mmoja kaniambia kama zile za Ndesa Tokea Arusha last time nilishangaa ni nyingi nivyo ziona na nilipo uliza niliambiwa ni za Askari Huko USA.

dah alaf toyo ni wananyonga laana,aisee toka njiro mpka town 10000,leo niko na k2 cha njunja napata bonge la tiz,alaf tayar inasemekana et huu mgomo chanzo ni CHADEMA
 
Back
Top Bottom