Daladala za Arusha zagoma

Daladala za Arusha zagoma

Wale watu waliokua wanachezea jina la Arusha, kuwakejeli machalii huko, kumdhihaki Kamanda Lema na kukipigia Upatu Uwezo wa CHADEMA katika Jiji hili na mikoa kadhaa ya jirani sasa mtajua kwamba kumbe kweli WANANCHI tumekichoka Chama Cha Magamba kwa kiwango gani hicho.

Wanaapolo Arusha, vita mbeele kwa mbele mpaka ukombozi wa nchi utakapopatikana kupitia Jiji la Kitalii hili la Arusha.

kuna tetesi kwamba kuna maandamano ya vijana wa chadema mjini arusha na polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwanyamazisha mwenye taarifa zaidi naomba utujuze zaidi
 
Jamani kuna tetesi kuwa vurugu za mgomo wa daladala za Arusha maarufu kama (vifodi) yamechukua sura mpya baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna polisi wa usalama barabarani ameuwa maeneo ya sanawari na vurugu ni kubwa sana nitawajuza ki undani naendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi
imetokea mida gani mzee?
 
Trafiki alikuwa anafanya nini hapo kwenye mgomo au alikua anafuata chenchi yake kwa dereva? Hiyo ndio arusha yetu bwana
 
Watanzania tujifunze kuijua kweli na kutatua matatizo,tuache visingizio.
 
Arusha ilikuwa inahesabika kuwa ni jiji linalokua kwa kasi sana baada ya Mwanza na DSM, kwa mwelekeo huu anguko la Arusha liko mbele yetu kwa sababu za siasa za kukamiana. Wanaofuatilia mambo watagundua kuwa mikutano yote ya kimataifa inayomhusisha Raisi wetu haifanyiki tena Arusha badala yake ni DSM au Dodoma (St. Gaspar); kwa kiasi fulani kwa wenye mahoteli jijini Arusha hili ni pigo kubwa sana. Zaidi sana tangu kuzinduliwa upya kwa East Africa Community mikutano yote ilikuwa inafanyika Arusha lakini mwaka huu Maraisi wa nchi za Africa ya Mashariki walikutana DSM badala ya sehemu iliyozoeleka ya jiji la Arusha.

Kwa wenye mahoteli hii ni changa moto kwa wao kuungana na ikiwezekana wagharamie vikao vya maridhiano ili amani iweze kurejea Arusha na biashara zao ziweze kushamiri. Kama wangekuwa wanaona mbali, wangetumia hata mbinu ya Jairo kupooza mambo kabla ya biashara zao hazijaingia kwenye misukosuko ya kushindwa kulipa mikopo
Kuhamisha mikutano iliyokuwa ikifanyika arusha ni JK kutaka kuwakomoa, wala si suala la amani; ni katika ile falsafa ya ccm kuwa kila penye mpinzani basi ikiwezekana maendeleo yadorore; wanasahau kuwa watu hao wanalipa kodi kama wengine. Kumbuka ule esemi wa Sumaye kuwa ukitaka kufanikiwa basi pandisha bendera ya ccm.
Kwa hakika hatafanikiwa, arusha inajiuza yenyewe na utalii wake, na sasa ameongezeka babu; sisi tumempuuza kenya 'wakamchukua'.
Wasisahau kuwa mpinzani wa wazi wa mwalimu Nyerere ambaye hata yeye alimkiri, alitokea arusha -Salwatt. Hivyo upinzani arusha haukuanza leo!
 
Arusha ilikuwa inahesabika kuwa ni jiji linalokua kwa kasi sana baada ya Mwanza na DSM, kwa mwelekeo huu anguko la Arusha liko mbele yetu kwa sababu za siasa za kukamiana. Wanaofuatilia mambo watagundua kuwa mikutano yote ya kimataifa inayomhusisha Raisi wetu haifanyiki tena Arusha badala yake ni DSM au Dodoma (St. Gaspar); kwa kiasi fulani kwa wenye mahoteli jijini Arusha hili ni pigo kubwa sana. Zaidi sana tangu kuzinduliwa upya kwa East Africa Community mikutano yote ilikuwa inafanyika Arusha lakini mwaka huu Maraisi wa nchi za Africa ya Mashariki walikutana DSM badala ya sehemu iliyozoeleka ya jiji la Arusha.

Kwa wenye mahoteli hii ni changa moto kwa wao kuungana na ikiwezekana wagharamie vikao vya maridhiano ili amani iweze kurejea Arusha na biashara zao ziweze kushamiri. Kama wangekuwa wanaona mbali, wangetumia hata mbinu ya Jairo kupooza mambo kabla ya biashara zao hazijaingia kwenye misukosuko ya kushindwa kulipa mikopo

Hilo unalo lisema ni kweli kabisa hata Mahotel mengi yameliona hilo ukiwauliza watu Serikali watakupa Political Answer kuwa tumeanza kuufanya Mji wa DODOMA kuwa Makao Makuu tooo late siku zote hamkujua Hilo????

Ukiangali Serikali yetu inaongozwa na Gutter Politics tuu hakuna lolote hawa viongozi wetu wao ni CCM First na sio Country First wananishangaza sana wananchi kipindi hiki ndio wamamuka kisiasa na wama upeo mkubwa na serikali ndio kabisa haisomi alama za nyakati kabisa ina kuwa hohae no vision kabisa, HQ ya EAC iko Arusha kwanini Mwende Dar ingekuwa Kenya wakaenda Mombasa sitojali kwani mombasa ni mji tu kama miji mingine ila kama mikutano itafanyika Kenya ila Mkija Tanzania huku mwajua HQ ya EAC iko Arusha kwanini Mkimbilie DODOMA au DAR any concrete reason n o none zero. Kwa hiyo wananchi walio ichagua CDM wakiwemo na wengi wao ni CCM sio wananchi au nchi bado ina sera za Chama kimoja ila kumepachikwa sera za uzushi ila mataifa na ulimengu kwa ujumla ijue at tuma democrasia?
 
tafazali kama huna uhakika na unachokisema basi usiwadanganye watu utawadanganya watu wengi kwa wakati mmoja lakini uwezi kuwadanganya watu wengi kwa wakati uleule tuwe wakweli
 
Back
Top Bottom