Daladala za Arusha zagoma

haw chadema wanachochoe vurugu soon watahamia kwa watoto wa kindergaten wagome.. Au sio magamba?
 
Ni poa tu nimepata kisingizio cha kufanya mazoezi leo asubuhi nahisi wakiendelea wiki hivi nitakua fiti mbaya...

ni bora maana na huo unene wako.......labda leo utakuwa umeondoa kilo 2 umebakiwa na 86.....kazana hata zibakie 70
 
SASA mabomu ya machozi ndo yamenza kupigwa hapa maeneo ya posta! Wanafunzi na makonda wanaandamana kuna vurugu kiaan
 
Photo-0034.jpg
Photo-0035.jpg
Photo-0036.jpg
Photo-0037.jpg
Arusha kulivyo leo na kamamambo yataendelea kama hivi mpka kaesho tutegemee maafa....maana nimeshuhudia gari likivunjwa kioo baada ya kubebea abiria kutoka kisongo kuwaleta mjini...
 
Mabomu ya machozi yameanza kurindima maeneo ya posta kuelekea kilombero. Hali sio shwari kabisa, watoto wa shule wanarandaranda tu mitaani na watu wanakimbiakimbia hovyo. Tuombee tu utulivu upatikane na uzima kwa watu!
 
Mabomu ya machozidhidi ya waandamanaji kutokana na Mgomo wa Daladal (vifodi),hali si shwari watu wamekamatwa,madai niliosikia juu ya waandamanaji ni kuruhusiwa kusimama popote na kuachiwa wenzao waliowekwa ndani,hizi ni taarifa nilizopata,sijui kama kuna watu wameumia waliokamatwa nimewaona kwa macho yangu,narudi DSM wanajamvi mliobaki endeleeni kutupa taarifa kadiri muda unavyokwenda.
 
Nikiwa kwenye usafiri binafsi ASUBUHI YA leo, maeneo ya JR nimeshuhudia gari, COASTER ikipopolewa mawe na kuvunjwa vunjwa vioo, na kuna baadhi ya abiria wameumizwa kwa mawe, kisa amepakia abiria!Kwa ufupi ni kwamba kila eneo la kituo kumewekwa MATEJA wanaohakiki utekelezaji wa azma yao, na vijana hao hawaelewi kitu, walishaajikatia tamaa ya maisha kiasi wanaona kuangusha tofali kwenye windscreen ni kazi ndogo!
Kwa nini hao mateja wasiwafanyie hivyo hao police?
 
Sasa hivi polisi wanapambana na madereva wa daladala waliogoma.....ni vurugu tupu.... si unajua tena hawa Polisi wetu wamefundishwa kupiga risasi za kichwa.......
 
mi nipo maeneo ya sakina,Arusha.jamaani wa huko mjini shwari,ni kweli wanapiga mabomu?
 
Mabomu ya machozi yameanza kurindima maeneo ya posta kuelekea kilombero. Hali sio shwari kabisa, watoto wa shule wanarandaranda tu mitaani na watu wanakimbiakimbia hovyo. Tuombee tu utulivu upatikane na uzima kwa watu!

Nchii hii inashangaza. Hivi mabomu ni usuluhisho???
 
Mwema pamoja na usomi na exposure aliyokuwa nayo mbona kafanya Jeshi la polisi liwe la ovyo kuliko hata mtangulizi wake!
 
futa hii!zipo thread nyingine mbili sasa juu ya jambo hilo hlio
 
Hivi Arusha haina RPC na RC ambao wanaweza kushughulikia hilo jambo? Au Serikali ya mkoa wa Arusha ipo likizo?
 
Wadau, huku barabarani naona mkusanyiko mkubwa wa watu na pikipiki za kutosha. Nilisikia kutakuwa na mgomo, je ndio huu? shida ni nini?

Poleni watu wa Arusha kwa usumbufu na mateso haya ya usafiri.

Si ajabu tukasikia kutoka upande wa pili kwamba chadema ndio wamewahamasisha madereva kugoma!!!

BTW; Leo bila shaka utakuwa umefurahi kwakuwa vile vibajaji vyako vitakuwa vimekula nyomi za hatari!! faida ya uwekezaji hiyo!!
 
Back
Top Bottom