Daladala nyingi za Bunju na Tegeta zimekodiwa na CHADEMA, kuna nini leo jijini Dar es Salaam?

Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini Dsm maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!

Zinakuja kwangu, njoo utaziona!
 
Wenye malori wamechangamkia fursa,wanabeba viumbe hai bila kufuata sheria..
Kweli ccm ni baba lao,hakuna cha trafiki wala policcm
JamiiForums1835099309.jpg

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini Dsm maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
iko siku uongo utakudhalilisha
 
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccm

Mr. Sexless, what you’ve just said is one of the most insanely idiotic things I have ever heard. At no point in your rambling, incoherent response were you even close to anything that could be considered a rational thought. Everyone in this forum is now dumber for having listened to it. I award you no points, and may God have mercy on your soul.
 
hahah thread hii imefunguliwa baada ya kusambaa kwa picha za malori yaliyojaza wanaCCM huko dodoma 🤣 🤣
 
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini DSM maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Nipo Dodoma magari ya serikali za mitaa plate namba SM zimebeba wanaccm !!!
 
Mkutano wa Kawe wa Chadema ni aibu.akuna watu kabisa,hata nusu ya uwanja bado aujajaa.
 
Back
Top Bottom