Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

45% of clinical medicine ni chemistry,40%ni biology,15%ni physics, geography is 0% ALEVEL
PCB=45+40+15=100%
CBG=45+40+0=85%
CBG anaweza kusoma medicine vizuri ila atakuwa na mapungufu machache tu ambayo mimi nayachukulia kama neglible,ivyo CBG anastahili kusoma medicine kwani chemistry na biology contributes so much.

Analysis nzuri mdau ndio maana tunapokuwa chuo kuna topics zingine unakuta mtu aliesoma combi flani anakuwa anazikamata na wale ambao ndio new topics inakuwa ni sehemu ya ku-gain na mwisho wa siku wote wanatoka na uelewa.
 
Background serves only as an added advantage, it has nothing very special to do with what a profession a person is pursuing at the University. When you go there, you start over, very new things...of course background helps but its not necessary... Hata mtu wa HKL can be trained and become an MD.

Bro..sikatai unachosema. Ila, unadhani hayo Masomo yapo recommended kwasababu gani? Unadhani mtu wa HGL nini kinamuumganisha na medicine? Nada!medicine needs pple who can reason..pple with greater imaginary power..ndo maana tunaitaji watu wanaosoma Masomo yenye kupanua ubongo siyo kumeza meza..CBG is all about kumeza meza tuu tu..
 
tunaweza kuwa tunaongea mtu kumbe anapost kutoka bar na tayarizimemkaa. mtu akichanganyikiwa kwa kuwekewa drip kuna fizikia gani? kucontrol flow rate ya drip hata darasa la saba anaweza? usidanganye watu hapa kusoma cardiac circle haemodialysis na electrocardiography kuna physics gani kubwa CBG asiweze? ninawasiwasi unapost toka ulevini maana umeshaanza kuwatusi wenzako. labda ungesema pharmacy inataka sana fizikia na yenyewe upande wa viwandani tu.
 
Analysis nzuri mdau ndio maana tunapokuwa chuo kuna topics zingine unakuta mtu aliesoma combi flani anakuwa anazikamata na wale ambao ndio new topics inakuwa ni sehemu ya ku-gain na mwisho wa siku wote wanatoka na uelewa.

Unajua ata ukisema ni 5% siyo ishu!ishu ni kwamba tht 5% can be very significant and irrepleaceable! We unadhani geography inaweza kuireplace physics kwenye medicine? C'mon man..the simpler route is always the faultiest route
 
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea

Madaktari (hasa wa tanzania)...wamejengwa na egocentrism ya kufa mtu.....na hii inaanzia mbali sana toka sekondari...dharau zinaanza kwa wanaosoma kombi nyingine...unaingia chuo labda tuseme Muhimbili...unajifunza kudharau waliosoma IMTU...unaingia kazini...unaanza kuona ma-AMO si kitu kabisa na inaendelea...ndio maana hakuna field yenye majungu kama medicine....hii ni kozi inachukua cream ya taifa ila kiukweli madaktari wengi "wamefulia" kwa ujinga kama unaounyesha hapo juu....nimekaa kota za muhimbili najua ninachoongea....tunajiona sisi ndio mwisho mpaka hatupendi kushirikiana na kusaidiana....sasa angalia hapo juu jamaa linamponda ZeMarcopolo ati chinja chinja.....Majungu na Pombe tu....ndio maana waliopata division 3 na kwenda kozi nyingine wanapotupita kimaendeleo tuna-mind ila yote hii ni kutojitambua.......Wewe utakuwa na hasira na mtu fulani alisoma CBG sasa wakati mko sekondari ulifikiri ataenda kusoma "Chuo cha Nyuki" sasa kapata medicine kama wewe naona hata kulala umeshindwa....

Nishakueleza hapo awali...Physics muhimu ila sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa ioenekane bonge la ishu...waliosoma Medicine wanalifahamu hilo.....Pole kama imekuuma ila endelea kubwabwaja ila watu wanasonga mjomba utashangaa giza limeingia ujafikisha hesabu....TAFAKARI
 
Last edited by a moderator:
Anaposema combi rahisi ame-base wapi maana mtiani wa Chemistry, Biology na BAM anaofanya mtu PCB ndio huohuo anaofanya mtu wa CBG tofauti ni kwamba huyu ana Physics na huyu ana Georgraphy.

Isitoshe elimu ya Tanzania kuna miaka kabla ya syllabus kuchakachuliwa mwanafunzi wa O-level jinsi alivyokuwa nondo anaweza kuingia chuo directly kwa baadhi ya course maana unakuta mtu anaingia A-level anakutana na topics ambazo nchi nyingine watu wamesoma mwaka wa kwanza chuo.

Ni ushamba na ulimbukeni tu ndo unaomsumbua, hakuna lolote... Mburura
 
Madaktari (hasa wa tanzania)...wamejengwa na egocentrism ya kufa mtu.....na hii inaanzia mbali sana toka sekondari...dharau zinaanza kwa wanaosoma kombi nyingine...unaingia chuo labda tuseme Muhimbili...unajifunza kudharau waliosoma IMTU...unaingia kazini...unaanza kuona ma-AMO si kitu kabisa na inaendelea...ndio maana hakuna field yenye majungu kama medicine....hii ni kozi inachukua cream ya taifa ila kiukweli madaktari wengi "wamefulia" kwa ujinga kama unaounyesha hapo juu....nimekaa kota za muhimbili najua ninachoongea....tunajiona sisi ndio mwisho mpaka hatupendi kushirikiana na kusaidiana....sasa angalia hapo juu jamaa linamponda ZeMarcopolo ati chinja chinja.....Majungu na Pombe tu....ndio maana waliopata division 3 na kwenda kozi nyingine wanapotupita kimaendeleo tuna-mind ila yote hii ni kutojitambua.......Wewe utakuwa na hasira na mtu fulani alisoma CBG sasa wakati mko sekondari ulifikiri ataenda kusoma "Chuo cha Nyuki" sasa kapata medicine kama wewe naona hata kulala umeshindwa....

Nishakueleza hapo awali...Physics muhimu ila sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa ioenekane bonge la ishu...waliosoma Medicine wanalifahamu hilo.....Pole kama imekuuma ila endelea kubwabwaja ila watu wanasonga mjomba utashangaa giza limeingia ujafikisha hesabu....TAFAKARI

Kwa taarifa yako..am not in the medical field but am very well informed about the discipline..maskini wengi wanaosoma PCB wanaishia kupata div3..sasa, vyuo vya private tu ndo vinavoaccept such credit..nyie maskini Kama nyie wa PCB hamuwezi kuafford costs za private mnaishia kutapatapa..mwenzako kasoma CBG which is very easy kupata division 1..alafu unawaput into the same game..is the competition fair?acheni Kuwa Kama wote ni mahaters wa madaktari..
 
Last edited by a moderator:
radiology wanasoma watu wa O level na ni radiographers wazuri, acha hizo, watu mara nyingi wanakosa access to opportunities tu lakini haina maana alofanya PCB ni mkali zaidi, it is a game of chance. Ujue huwa mara nyingi hatuna choice inabidi usome kitu kwa vile ndo ulipopata

kubali tu uwezo mdogo. Naona watu mnatafuta namna ya kusoma kozi moja na waliofaulu physics. Kubalini tu kwamba, aliyekuzidi kakuzidi
 
tunaweza kuwa tunaongea mtu kumbe anapost kutoka bar na tayarizimemkaa. mtu akichanganyikiwa kwa kuwekewa drip kuna fizikia gani? kucontrol flow rate ya drip hata darasa la saba anaweza? usidanganye watu hapa kusoma cardiac circle haemodialysis na electrocardiography kuna physics gani kubwa CBG asiweze? ninawasiwasi unapost toka ulevini maana umeshaanza kuwatusi wenzako. labda ungesema pharmacy inataka sana fizikia na yenyewe upande wa viwandani tu.

Haha..those are very basic stuff of course..but advanced stuff need physics..
 
Kwa taarifa yako..am not in the medical field but am very well informed about the discipline..maskini wengi wanaosoma PCB wanaishia kupata div3..sasa, vyuo vya private tu ndo vinavoaccept such credit..nyie maskini Kama nyie wa PCB hamuwezi kuafford costs za private mnaishia kutapatapa..mwenzako kasoma CBG which is very easy kupata division 1..alafu unawaput into the same game..is the competition fair?acheni Kuwa Kama wote ni mahaters wa madaktari..

Kwanini unasema CBG ni rahisi kupata divsion 1 kama Chemistry na Biology anayosoma mtu CBG ndio hiyohiyo anayosoma mtu wa PCB, kwangu mie PCB ni simple kuliko CBG kwa kuwa Physics ukiwa vizuri kwenye mathematics na kuelewa application za principle mbalimbali basi kufaulu ni nje nje (tofauti hapo ni somo moja tu la Geography na Physics mengine yote sawa including BAM na GS)
 
Unajua ata ukisema ni 5% siyo ishu!ishu ni kwamba tht 5% can be very significant and irrepleaceable! We unadhani geography inaweza kuireplace physics kwenye medicine? C'mon man..the simpler route is always the faultiest route
YES inaweza kureplace physics kumbuka uyu mtu ana background physics olevel,
bachelor of medicine

1st year=biochemistry is chemistry,
anatomy is biology
physiology is biology+chemistry+olevel physics is enough
2rd year= parasitology+microbiology=mainly biologyand chemistry
3rd year= pharmacology= chemistry+biology,
4th year= clinical rotation
5th =clinical rotation
other radiology is just introduction haitaji physics ya ALEVEL
ECG=only basic issues ndizo zinafundishwa only physics ya olevel inatosha
so inconclusion no effect of physics in medicine
 
Background serves only as an added advantage, it has nothing very special to do with what a profession a person is pursuing at the University. When you go there, you start over, very new things...of course background helps but its not necessary... Hata mtu wa HKL can be trained and become an MD.

ndugu yangu ndo maana kenya wanaishia form four lakini kuna wanaoenda kusoma udaktari, engineering nk. Unadhani wanabeba kila mtu ili mradi kamaliza form four? Hkl? Hahaaa, huko mi sipo. Ndo maana wajanja walianzisha pcb na pcmili kuchuja vilaza wote kwani medicine na engineering siyo ya kila mtu. Kuna wengine inabidi wakafanye mambo mengine. Na hiyo siyo tanzania tu kwani nchi nyingi wanafanya hivyo. Tatizo la madaktari lingekuwa halipo kama kila mtu angeamua kwenda kusoma medicine akaenda. Ni wangapi walitamani kusoma udaktari wakaishia kusoma hgl kwa kuwa na uwezo mdogo wa science? Kama uwezo wako ulikuwa mdogo kubali tu. People in medicine are gifted ndo maana kuna utofauti wa iq.
 
Madaktari (hasa wa tanzania)...wamejengwa na egocentrism ya kufa mtu.....na hii inaanzia mbali sana toka sekondari...dharau zinaanza kwa wanaosoma kombi nyingine...unaingia chuo labda tuseme Muhimbili...unajifunza kudharau waliosoma IMTU...unaingia kazini...unaanza kuona ma-AMO si kitu kabisa na inaendelea...ndio maana hakuna field yenye majungu kama medicine....hii ni kozi inachukua cream ya taifa ila kiukweli madaktari wengi "wamefulia" kwa ujinga kama unaounyesha hapo juu....nimekaa kota za muhimbili najua ninachoongea....tunajiona sisi ndio mwisho mpaka hatupendi kushirikiana na kusaidiana....sasa angalia hapo juu jamaa linamponda ZeMarcopolo ati chinja chinja.....Majungu na Pombe tu....ndio maana waliopata division 3 na kwenda kozi nyingine wanapotupita kimaendeleo tuna-mind ila yote hii ni kutojitambua.......Wewe utakuwa na hasira na mtu fulani alisoma CBG sasa wakati mko sekondari ulifikiri ataenda kusoma "Chuo cha Nyuki" sasa kapata medicine kama wewe naona hata kulala umeshindwa....

Nishakueleza hapo awali...Physics muhimu ila sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa ioenekane bonge la ishu...waliosoma Medicine wanalifahamu hilo.....Pole kama imekuuma ila endelea kubwabwaja ila watu wanasonga mjomba utashangaa giza limeingia ujafikisha hesabu....TAFAKARI

Umenena mkuu mambo ya busara
 
Me napita tu hapa..ngoja niwaache wakuu..maana I dd CBG na walinidamp kusoma huo udoctor

bora wewe mwenye cbg, kuna watu wanasema eti hadi hkl sijui hgk? Loh! Huku ni kujidanganya kwamba mko sawa wakati iq ziko tofauti.
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Sifa ya Kusoma Udaktari China ni Kujua Hesabu Tu. ataukipata A ya Biology kama hujui Hesabu,basi huwezi ukapata Udaktari kule. Bongo ndiyo tunacomplicate
 
45% of clinical medicine ni chemistry,40%ni biology,15%ni physics, geography is 0% ALEVEL
PCB=45+40+15=100%
CBG=45+40+0=85%
CBG anaweza kusoma medicine vizuri ila atakuwa na mapungufu machache tu ambayo mimi nayachukulia kama neglible,ivyo CBG anastahili kusoma medicine kwani chemistry na biology contributes so much.

Physics ya o level na a level zimetofautiana nini?
 
madaktari wengi wa bongo wanjiona wapo juu kumbe hakuna kitu,hakuna fani yenye wanafiki kama madaktari wa bongo(wengi wao) ndio maana mipango yao mingi inafeli.
 
YES inaweza kureplace physics kumbuka uyu mtu ana background physics olevel,
bachelor of medicine

1st year=biochemistry is chemistry,
anatomy is biology
physiology is biology+chemistry+olevel physics is enough
2rd year= parasitology+microbiology=mainly biologyand chemistry
3rd year= pharmacology= chemistry+biology,
4th year= clinical rotation
5th =clinical rotation
other radiology is just introduction haitaji physics ya ALEVEL
ECG=only basic issues ndizo zinafundishwa only physics ya olevel inatosha
so inconclusion no effect of physics in medicine

Mkuu nondo za kisayansi hizo, kwa kuongezea ni kwamba ndio maana wanapofanya selection huwa wanaangalia background ya O-level na physics ya O-level inatosha kabisa au knowledge ya elimu ya O-level kwa ujumla ndio msingi wa kila kitu kwa elimu ya juu maana chuo ni zaidi ya kile tulichosoma kwenye combination zetu za A-level.

Mleta uzi angesema labda mtu wa PGM au PCM hapo kidogo ningekuwa na cha ku-support kwenye uzi wake
 
bora wewe mwenye cbg, kuna watu wanasema eti hadi hkl sijui hgk? Loh! Huku ni kujidanganya kwamba mko sawa wakati iq ziko tofauti.

Nadhani alikuwa ana joke katika kuonyesha hata combination nyingine inawezekana, kinachojulikana siku zote mtu wa sayansi anaweza chukua course za art lakini wa art kuchukua medicine au engineering ni ngumu
 
zinatofautiana kwa baadhi ya topics chache, mfano ALEVEL anasoma modern physics,electronics,wave .....,olevel hasomi hizo topic
 
Back
Top Bottom