Daktari aliyesoma CBG

Daktari aliyesoma CBG

kubali tu uwezo mdogo. Naona watu mnatafuta namna ya kusoma kozi moja na waliofaulu physics. Kubalini tu kwamba, aliyekuzidi kakuzidi

Tatizo mnakua maumbo tu ila akili bado za kisekondari......bahati nzuri wanaokujibu wengi hapa ni madaktari yani hudanganyi mtu.....umri huo sio wa kubishana mambo ya kitoto....piga kazi tuone elimu imekusaidia usije kuishia kufulia kama wazee wenu wa zile kota za muhimbili pamoja na pHD zao....aibu sana madaktari......
 
Kwa taarifa yako..am not in the medical field but am very well informed about the discipline..maskini wengi wanaosoma PCB wanaishia kupata div3..sasa, vyuo vya private tu ndo vinavoaccept such credit..nyie maskini Kama nyie wa PCB hamuwezi kuafford costs za private mnaishia kutapatapa..mwenzako kasoma CBG which is very easy kupata division 1..alafu unawaput into the same game..is the competition fair?acheni Kuwa Kama wote ni mahaters wa madaktari..

Nimesoma CBG....katika shule niliyosoma nadhani one ya CBG kama ilishawahi kutokea nadhani ilikuwa miaka ya 70 mpaka intake yetu ilipotoa div one na sijui kama kuna one toka tumalize ....acha kudanganya umma....div one za CBG ni za kumulika na tochi....mimi nimefaulu chemistry na biology kupita hao PCB yani unataka kusema physics ndio iwabebe....kama wana akili kimewashindwa nini kufaulu hayo masomo kunishinda mimi wa CBG na tulisoma kitu kile kile......sikiliza mkubwa...mimi CBG soon nakuwa daktari na naenda kutibu shangazi zako pale muhimbili au hospitali yoyote nchini....kama umemaind sana "panda ukazibe".....goma linayeya hivo
 
Tatizo mnakua maumbo tu ila akili bado za kisekondari......bahati nzuri wanaokujibu wengi hapa ni madaktari yani hudanganyi mtu.....umri huo sio wa kubishana mambo ya kitoto....piga kazi tuone elimu imekusaidia usije kuishia kufulia kama wazee wenu wa zile kota za muhimbili pamoja na pHD zao....aibu sana madaktari......

mdogo wangu sikia, soma shule umalize uje bongo ndo ujue kwa nini madaktari maskini. Na sio kila anayesoma udaktari anakuwa practitioner. Kuna wengine hata internship hawaendi wanafanya mambo yao. Hata huko uliko siyo kila mtu anasoma medicine, kuna vigezo vyao vinavyoendana na mtaala ulioko huko ndo maana mpaka leo dunia haitosheki kwa madaktari. Mtaala wa medicine wa tanzania uko kama ulivyo kinachotakiwa ni kupendekeza mabadiliko badala ya kujivunia exposure ya kwenda nje na kuanza kulazimisha bila kubadili utaratibu uliowekwa. Huo ni uvunjaji wa sheria zilizopo, tusiwe kama wanasiasa. Huyo jamaa yako hapo juu alikuja bongo na majivuno ya kusoma nje ko ana exposure ya kutosha, maskini akakutana na mazingira yasiyo hata na gloves kazi ikamuwea ngumu badala yake akaanza kuwalaumu walosoma bongo na kuwachukia. Dogo soma uje ujue kwamba huku Dx za cough hazipo.!
 
tunaweza kuwa tunaongea mtu kumbe anapost kutoka bar na tayarizimemkaa. mtu akichanganyikiwa kwa kuwekewa drip kuna fizikia gani? kucontrol flow rate ya drip hata darasa la saba anaweza? usidanganye watu hapa kusoma cardiac circle haemodialysis na electrocardiography kuna physics gani kubwa CBG asiweze? ninawasiwasi unapost toka ulevini maana umeshaanza kuwatusi wenzako. labda ungesema pharmacy inataka sana fizikia na yenyewe upande wa viwandani tu.

haka ni katoto.... nasisitiza mtu wa hgl anaweza soma medicine, fursa ndo ishu
 
mdogo wangu sikia, soma shule umalize uje bongo ndo ujue kwa nini madaktari maskini. Na sio kila anayesoma udaktari anakuwa practitioner. Kuna wengine hata internship hawaendi wanafanya mambo yao. Hata huko uliko siyo kila mtu anasoma medicine, kuna vigezo vyao vinavyoendana na mtaala ulioko huko ndo maana mpaka leo dunia haitosheki kwa madaktari. Mtaala wa medicine wa tanzania uko kama ulivyo kinachotakiwa ni kupendekeza mabadiliko badala ya kujivunia exposure ya kwenda nje na kuanza kulazimisha bila kubadili utaratibu uliowekwa. Huo ni uvunjaji wa sheria zilizopo, tusiwe kama wanasiasa. Huyo jamaa yako hapo juu alikuja bongo na majivuno ya kusoma nje ko ana exposure ya kutosha, maskini akakutana na mazingira yasiyo hata na gloves kazi ikamuwea ngumu badala yake akaanza kuwalaumu walosoma bongo na kuwachukia. Dogo soma uje ujue kwamba huku Dx za cough hazipo.!

Bro mimi sio wa hivyo kabisa...majivuno kwangu mwiko...ila nilishangaa ulipoungana na huyo kilaza aliyeleta hii mada.....sasa hapo tuko pamoja....cha msingi kuungana maana inauma kuwa kichwa darasani halafu upoteze miaka yako kibao medicine then maisha yakuchape na vilaza walioenda kozi nyingine wanakucheka....sio kuanza kusema daktari huyu shallow sijui huyu sio mzuri kisa katoka Russia huyu hafai katoka IMTU.....la msingi sisi madktari wote na tusaidiane na kuheshimiana...hiyo ndio pointi yangu kwa leo
 
haka ni katoto.... nasisitiza mtu wa hgl anaweza soma medicine, fursa ndo ishu

nafahamu kuna watu walienda hgl kwa interest zao na walifaulu science vizuri tu lakini hicho siyo kigezo. Ndo maana kuna taratibu na siyo fursa. Lingekuwa suala la fursa basi wanawake wangeambiwa wakasome hgl badala ya science na waende kusoma medicine. Unadhani kilichomzuia jonas savimbi kusoma udaktari wa binadamu ni nini? Ndo maana yanaitwa science you have to talk and walk in science.
 
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system

Hii kali kuliko :madgrin:
 
phisics yenyewe mnaosoma vijana wa siku hizi ya videsa.eeenzi za mwalimu hakuna cha videsa wala nini mavitabu makuubwa kwelikweli,vine and rees vol.1and 2 siku hizi mna mpaka biological science na vitabu vingine vilivyoandikwa na akina nyambari ndio mnaaza kutabiana hapa?
 
Duh!!! Mpaka BS imechakachuliwa.....watanzania tunapoteza nguvu katika vitu visivo na tija....kazi kupiga madongo wengine mambo madogo madogo yanatushinda....:nimekataa
 
Nimesoma CBG....katika shule niliyosoma nadhani one ya CBG kama ilishawahi kutokea nadhani ilikuwa miaka ya 70 mpaka intake yetu ilipotoa div one na sijui kama kuna one toka tumalize ....acha kudanganya umma....div one za CBG ni za kumulika na tochi....mimi nimefaulu chemistry na biology kupita hao PCB yani unataka kusema physics ndio iwabebe....kama wana akili kimewashindwa nini kufaulu hayo masomo kunishinda mimi wa CBG na tulisoma kitu kile kile......sikiliza mkubwa...mimi CBG soon nakuwa daktari na naenda kutibu shangazi zako pale muhimbili au hospitali yoyote nchini....kama umemaind sana "panda ukazibe".....goma linayeya hivo

Sasa mtapataje div 1 wakati wote ni insecure na Vilaza ndo mnaosoma CBG?alafu wenzako physics inawaconsume kwahiyo ku balance Muda wa hiyo chemistry na biology unamezwa na physics!we geography inaugumu gani?watu hadi Vilaza Kabisa..hgk hge..etc wanafaulu ndo sembuse watu wa sayansi?
 
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.

kama hata tcu wana mawazo kama haya basi elimu yetu itadharauliwa na dunia nzima.sasa hivi tu nchi za africa mashariki kama KENYA, UGANDA NA HASA MALAWI WANAIDHARAU SANA ELIMU YETU, JE, itakapo fika hata HKL wanakwenda kusomea udaktari itakuwaje? si watapasua ubongo badala ya kufunga kidonda cha mguuni? let us be serious watanzania, tukubali kuwa masomo haya yanatofautiana ugumu na kimahitaji. unajua kwanini wanafunzi wengi waliosoma PCM siku hizi wanapenda kusomea accountancy after form six? hawaoni sababu ya kuhangaika na ENGINEERING Wakati akisoma accountancy akimaliza mshahara uko juu kidogo kuliko wa Engineer.hawa tcu wanaipeleka nchi hii pabaya.na usikute huko tcu wamejaa hao wa hkl,hgl etc
 
Sasa mtapataje div 1 wakati wote ni insecure na Vilaza ndo mnaosoma CBG?alafu wenzako physics inawaconsume kwahiyo ku balance Muda wa hiyo chemistry na biology unamezwa na physics!we geography inaugumu gani?watu hadi Vilaza Kabisa..hgk hge..etc wanafaulu ndo sembuse watu wa sayansi?

kaka wewe ndio umesema CBG wanapata div one kirahisi halafu unajikanyaga mwenyewe.....mimi sitaki kutumia muda wangu kubishana na mtu aliyegoma kukua (débile mental)...piga kelele ukichoka kalale ila kesho wenzako wanaamka kupiga hatua moja zaidi kuelekea maendeleo ..... huwezi zuia mvua mjomba ....ndio maana juzi AMO kachaguliwa daktari wa mkoa mashuzi yanawatoka wakati RMO sio post ya kugombania kwa kijana anayejielewa ....wenye macho nadhani wameona...
 
haka ni katoto.... nasisitiza mtu wa hgl anaweza soma medicine, fursa ndo ishu

siku nikikutana na daktari aliye soma hkl sitakuwa na sababu ya kupata matibabu kwake nitatafuta matibabu online au bora kugharamia niende KENYA,UGANDA AU MALAWI. SISI tubaki kupiga siasa kwenye kila kitu. kweli kanchi kangu kameingiliwa.
 
Kwa hiyo wa CBG unataka wasome nini? Uhasibu?
Medicine ni C&B zaidi, Physics ni ina small advantage.

Ni sawa na Engineering, wote PCM na PGM wana nafasi unless engineering hiyo ni chemical engineering ambayo iko kikemia zaidi.

Hata ningekuwa mimi, siko tayari kumuacha CBG aliyefaulu na kumbeba PCM anayechechemea! Elimu ya A-level ni nzuri sana, unachagua masomo matatu unayopenda na kuyamudu. Ukilalia pua, hakuna wa kukusaidia kwani uchaguzi wako haukuwa sahihi.
 
kama kweli watanzania tupo serious tufanye utafiti kidogo tuchukue wanafunzi waliofanya vizuri sana katika HGL,HKL. KLF AND the like,wawe kama100 hivi waende wakasomee udaktari pale Mhimbili na wafundishwe na walimu bora kabisa halafu tuone wangapi watadumu mpaka mwisho na wanafaulu.tuache siasa kwenye mambo serious. mpaka hapa nimejua ni kwanini watoto wanafika sekondari hawajui kusoma na kuandika lakini bado kuna watu miongoni mwetu wanaamini wanafunzi hao wanaweza kumudu elimu ya sekondari na kusonga mbele.policy makers wetu balaa.
 
Naona sasa mnahamisha mada......hoja ni CBG na PCB.....simamia hapo!! hayo mengine maoni ya wachangiaji wengine......mada kuu isipindishwe..
 
The entrance requirements for Medicine at Oxford University are three A-levels or equivalent qualifications. Competition for places is very strong and we would be looking for three A grades, taken at one sitting.

One A-level must be Chemistry, the second should be Biology, Physics or Mathematics and the third can be any subject except General Studies or Critical Thinking.

If you do not have Biology, Physics or Mathematics to the full A-level, you would need to have that subject to at least GCSE level, or to have the dual award combined science GCSE.

https://uni-of-oxford.custhelp.com/...-i-need-to-apply-to-study-medicine-at-oxford?

The entrance requirements for Medicine at Cambridge University are passes in Chemistry and two of Biology/Human Biology, Physics, Mathematics at A Levels and Double Award Science and Mathematics two single awards in GCSE Biology and Physics may be substituted for Double Award Science.

Medicine

At Harvard, the Faculty of Medicine accepts applications from current students in good standing and graduates of accredited colleges who:

  1. Present evidence that their intellectual and personal credentials are of such quality as to predict success in the study and practice of medicine.
  2. Demonstrate aptitude in the biological and physical sciences during their undergraduate years, but not to the exclusion of the humanities and social sciences.(A study at Harvard Medical School has shown that students are successful in their medical studies regardless of undergraduate concentration, providing that they have had adequate science preparation. Students are urged to strive for a balanced and liberal education rather than specialized training. No preference is given to applicants who have majored in the sciences over those who have majored in the humanities.)

Requirements for Admission | HMS
 
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine

Kwa taarifa yako mtu yoyote alifaulu vizuri O-level anaweza kujiunga university na kusomea chochote anachotaka.
 
Back
Top Bottom