Dakika 45 na Prof. Sospeter Muhongo

Dakika 45 na Prof. Sospeter Muhongo

Sikukiona kufuatia makali ya mgawo wa umeme. Tangu jana asubuhi mpaka leo hii hatuna umeme maeneo ya Gongolamboto.
 
Wale walioandamana mtwara nihaki yao kwasababu kama ni mwekezaji wanataka shughuli zote zianzie pale sasa shida iko wapi kama ni usafiri wa vifaa bandari ipo barabara hata kwandege vifaa vinasafiri sasa iweje leo hii hawa wana mtwara wadharaulike kiasi hicho hapa tz kunasehemu kama mtera kihansi kunazalishwa umeme lakini wananchi waeneo lile wanaambulia kuhesabu nguzo za umeme ambao wao hawautumii kisa unakuja dar wana mtwara msilale kwenye hili isije ikawa kama vifaranga vya kuku huwa viki uliza mama tutanyonya lini mama anawambia kesho
 
Sikukiona kufuatia makali ya mgawo wa umeme. Tangu jana asubuhi mpaka leo hii hatuna umeme maeneo ya Gongolamboto.
Prof. anasema hakuna mgao wa umeme bali ni urekebishaji wa miundo mbinu ambayo mengine iko toka enzi za ukoloni. Hivyo katika zoezi la uboreshaji inabidi uzimw sehem zingine.
 
Wale walioandamana mtwara nihaki yao kwasababu kama ni mwekezaji wanataka shughuli zote zianzie pale sasa shida iko wapi kama ni usafiri wa vifaa bandari ipo barabara hata kwandege vifaa vinasafiri sasa iweje leo hii hawa wana mtwara wadharaulike kiasi hicho hapa tz kunasehemu kama mtera kihansi kunazalishwa umeme lakini wananchi waeneo lile wanaambulia kuhesabu nguzo za umeme ambao wao hawautumii kisa unakuja dar wana mtwara msilale kwenye hili isije ikawa kama vifaranga vya kuku huwa viki uliza mama tutanyonya lini mama anawambia kesho

Mkuu ulisikiliza kipindi?
 
kati ya mawaziri makini ambao JK alichelewa kuwachagua mmoja wao ni huyu bwana SOSPETER MHONGO,MBALAWA MNYAA NA SAADA MKUYA
Sijawahi kuwaona wakivaa yale mavazi ya kijani muda mwingi kama LAMECK MKUMBO(MWIGULU)
 
Ichi kipindi bwana dàah kimekua cha watu kujichukulia maujiko . .semunyu haulizi maswali magumu kabisaa. . .uyu kijana vipi me cridhiki kabisaaa. .Aangalie HardTalk ya bbc (af anunue koti jingine bas na icho kiatu dah)

hahaha makubwa... Salary ya mengi haitosh nunua mavi tu ya anasa.likichanika tanunua ingne
 
Prof. anasema hakuna mgao wa umeme bali ni urekebishaji wa miundo mbinu ambayo mengine iko toka enzi za ukoloni. Hivyo katika zoezi la uboreshaji inabidi uzimw sehem zingine.

Bogus nutty professor! Umeme mitaa ya interchick toka mchana hakuna ninaingia kwangu sasa nakutana na giza. Halafu mtu mzima aliyetunukiwa uprofessor anakuwa na maneno ya hovyo namna hii.

Huyo muhongo na team yake ni wa hovyo sana. I hate politicians wasio serious na wanakuwa wa hunuwahuni. Jitu zima linawatoto na mke linakuwa liongo mxzxxxxxxxzxc!!!
 
45min ni kwa viongozi wa CCM tu???

...Good Qustion Mkuu! Vituo Vyote vya Televisheni vya TZ vinapenda kujisifia tu Kwamba Viko HUru lakini Ukweli ni Kwamba Vyote ni BootLikers wa WaoM na kipindi cha Dakika45 ni Mfano mmojawapo! Hivi ITV haioni Umuhimu wa kuwapa dakika 45 za kujidai akina Zito Kabwe, Profesa, Dr Slaa, Mtikila, Lema, Freeman Mbowe na Wengineo wa Kaliba hiyo ya Wasema Kweli????
 
Huyu jamaa kani impress na maelezo yake. Nimependa alivyosema haongelei siasa bali uchumi na maendeleo. Na kweli katika kipindi kajitahidi mno kutkuonyesha any political bias, in fact sidhani kama kajitahidi bali ni hulka yake.

Nafkiri ni kati ya viongozi wachache geniune.
Pia nimefurahi kusikia kauli yake ya kwamba lazma TANESCO ivunjwe na ijengwe TANESCO mpya!! Unajua tulishasahau kero za umeme tulizopata mwaka jana na upuuzi wa TANESCO.

Thanks Prof, naomba tu usije ukahamishwa wizara kabla ya sisi kuona matunda yako!

Nimetizama marudio yake... Huyu jamaa ana maono ya kiuchumi kwa ajili ya maendeleo ya hili taifa..nashindwa kuelewa kwanini wanasiasa wanaelewa ukweli lakini wanapotosha kuhusu umuhimu wa kuletwa kwa gas Dsm... Tanesco soon itanyooka anasema anarespect wasomi wenye experience na watu makini sio wababaishaji
 
Pof amejieleza vizuri lakini tunaomba wanaoanda kipindi hiki waruhusu maswali kutoka kwa waislizaji/watazamaji wa kipindi"
 
Kuhusu gesi ya mtwara, hatuewzi kupata gesi ya kupikia kabla ya kusafirisha kwa mabomba kwenda Dar ili kupunguza bei kubwa nishati hiyo sokoni ,naomba waziri hatujibu hilo kwa vitendo kwa tunalanguliwa sana
 
Back
Top Bottom