homo sapiens
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 162
- 172
Wanataka tuwe tunatumiana kadi za mialiko ya harusi humu? Haiwezekani, humu nondo tupu
Kabisa Mkuu lakini Kikwete na Mkapa waliompigia debe huyu jamaa hawakulipa uzito unaostahili.
Hahahahaha lol! Sasa unaandika uongo kutaka kuonyesha unanijua wakati hunijui hata chembe. Taahira kweli wewe!
Kwa taarifa yako I love my life style and I love what I do day in day out. LIFE IS SO GOOD. Thanks to the almighty for my good health and my success in my life as a student in primary education to the University college.
Wewe unayaona ni majungu lakini ndiyo ukweli halisi wa huyo dikteta uchwara ambao hawezi kuukwepa.
Hakuna yeyote yule aliyemshawishi Janeth agome kumfanyia kampeni za Urais. Alifanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe akikumbuka dharau na kudhalilishwa sana kwa miaka mingi.
Mke aliyeanza maisha ya chini na mumewe hufurahia sana mafanikio ya mumewe lakini Janeth hakufurahia kwa kujua jamaa kashindwa kuongoza nyumba yake kwa tabia zake kamwe hawezi kuiongoza nchi lakini Kikwete na Mkapa hawakulipa hili la huyo mama kukataa kushiriki kwenye kampeni uzito unaostahili sasa nchi inayumba kwa sana.
Acha uongo mpumbavu wewe wa kujibaraguza kwamba unanifahamu MUONGO MKUBWA. Halafu wewe si Maxence Melo au Mike Mushi taahira wewe. Humu ndani copy & paste ni RUKHSA na ndivyo vilivyoleta umaarufu mkubwa wa hili jamvi. Kafungue blog yako huko utaweka kila sheria uitakayo humu kaa kimya huna sauti ya kujibaraguza bla bla bla.
Huelewi athari za deni kubwa la Taifa ambalo limezidi bajeti ya nchi mara tano au zaidi ndiyo sababu unaandika pumba mpumbavu mkubwa wewe.
nafurahi kuona news kama hizi zinasambaa, napenda wahisani wakate misaada mingine kama ya MCC.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie, sasa hayo yote ya nini mimi ni Wacha1 hao wengine unawaingiza wa nini? Grow up! Mkuu hii Forum ina-operate hapa Tanzania na JPM ndio rais sasa wewe pamoja na porojo zako zote hufui dafu nilikwambia tangu alifu if you don't like it go hang! utalia sana na Tanzania haiteteleki, mtapiga mayowe weeeeee na kupayuka lakini ukweli ndio huo, you are the minority and the rule is that, the majority takes it all. Good work Mr Preseident usiwasikilize vimburu na pimbi hawa walioshibishwa na jambazi Sugu, hawana la kufanya wako wapweke huko makwao hapa ndio ghetto lao la kujiliwaza baada ya frustration zao za maisha.
Mpumbavu wewe tena mpumbavu mkubwa sana kwa kudhani kwamba kwa kuwa Magufuli ni Rais hata kama anavurunda basi Watanzania tukae kimya huku nchi inaangamia. Wewe kwa kuukimbia ni ukweli ni sawa na yule Comic Ali wa Iraq. Vimburu na mapimbi ni watu kama wewe ambao mmeamua kutumika kutetea uozo huku nchi inaenda mramba.
It is not about the majority or the minority mpumbavu wewe tia akili kichwani. It is about telling the truth about the reality of what is going in our beloved country. Na hakuna kipengele chochote ndani ya katiba ambacho kinawazuia wale ambao ni minority wasiseme kuhusu muelekeo mbovu wa nchi. Mwinyi, Warioba na Butiku hawa si wa kutoka minority lakini walionyesha kutoridhishwa kwao na muelekeo wa nchi hadharani. Baba wa Taifa alipokuwa anaizodoa CCM na kutamka hadharani kwamba CCM si mama yake hakuwa wa kutoka minority mpumbavu wewe. Kutetea maslahi ya nchi kwa faida ya Tanzania na Watanzania haihusu kitu kama wewe ni majority or minority.
Nimeamini una kichwa cha panzi huoni mbali zaidi ya inapoishia pua yako Comic Ali. Ujinga na pumba zako beba peleka wa wanafiki wenzio kule mtaa wa Lumumba.
Now I really hit the nerves, angalia unavyo hamaki, you're still a minority hata ukisema vipi Watanzania walio wengi wana imani na serikali waliyoichagua, ya kwako haipo madarakani (When you know that fact you will retract like a cocoon) .. .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee slowly you will grow up. Then utaacha matusi ambayo hayasidii, ulikolelewa walikufundisha kwamba ukitoa matusi ndio unashinda hoja walikosea. Nicheke mie khe h khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee frustration zako unataka kuzimalizia JF khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wapi nimehamaki taahira wewe! Mara unajibaraguza eti unanifahamu MUONGO MKUBWA wewe wakati hunijui hata chembe! Hivi unaona fahari kuja humu kuandika UONGO na kutetea UOZO wa hii awamu ya tano? Kipi unachopewa hadi uonyeshe upumbavu wa kiasi hiki wa kutetea mediocre performance!? Watu wenye ufinyu wa akili kama wewe ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania na Watanzania maana kila kukicha ni kuwasifia na kuwapigia makofi hawa watu ambao hawana uwezo wa kuongoza familia zao achilia mbali kuongoza nchi. Tia akili kichwani wewe taahira kabla hujaanza kuokota makopo. We endelea kuonyesha utaahira wako wa kumtetea huyo fisadi, dikteta uchwara, mkurupukaji na mtu aliyechukiwa na Watanzania wengi katika kipindi kifupi tangu aingie madaraka kwa chuki zake za kutisha, visasi, kudharau washauri wake na kuendesha Serikali bila kujali ushauri wa washauri mbali mbali. Sasa nchi inayumba.
Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe ndiyo dalili za awali za utaahira hizo. Mie nakupa za uso tu mnafiki wewe. Na cheo unachokitafuta cha Ukuu wa Wilaya utakisikia kwenye bomba tu. Kimburu kenge mkubwa wewe!
Mkuu;Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie, sasa hayo yote ya nini mimi ni Wacha1 hao wengine unawaingiza wa nini? Grow up! Mkuu hii Forum ina-operate hapa Tanzania na JPM ndio rais sasa wewe pamoja na porojo zako zote hufui dafu nilikwambia tangu alifu if you don't like it go hang! utalia sana na Tanzania haiteteleki, mtapiga mayowe weeeeee na kupayuka lakini ukweli ndio huo, you are the minority and the rule is that, the majority takes it all. Good work Mr Preseident usiwasikilize vimburu na pimbi hawa walioshibishwa na jambazi Sugu, hawana la kufanya wako wapweke huko makwao hapa ndio ghetto lao la kujiliwaza baada ya frustration zao za maisha.
Tatizo lenu ni kuwa wapumbavu na kufikiria kila anayeikosoa Serikali ni mfuasi wa Lowassa....Mkuu;
Hawa vijana wanasikitisha na kushangaza sana.
Hawa ni bendera fuata upepo. Hawana wanachokisimamia kwa sababu akili zao wamezikabidhi kwa wanasiasa wa aina ya Mbowe.
Msome alichokiandika wakati ule na anachokiandika kwa sasa.
If you don't know where you are going, any road will get you there-Lewis Carroll
Siwezi kushangaa kama Mbowe akiwaambia watembee uchi na watafanya hivyo kwa sababu akili zao wamezikabidhi kwake!
View attachment 447813
Na wewe ni wale wale tu.Tatizo lenu ni kuwa wapumbavu na kufikiria kila anayeikosoa Serikali ni mfuasi wa Lowassa....
You're wrong na ni upumbavu wa kiwango cha khali ya juu kurasimisha uthaifu wa Wa Lowassa ndani ya uhalifu wa Magufuli.......
Lazima mjue mtu kuwa mpinzani wa Serikali sio lazima hawe ukawa.......
Wengine tunakosoa ili kujenga nchi nchi hii ni yetu wote hata kama mtu anaishi nje ya Tanzania anayo haki ya kukosoa na kuongea ukweli.........
Ujinga wenu ni kufikiria kila anayekosoa ni mpinzani na ni mwanachama wa chama tofauti na Ccm.........
Ondoeni kwanza mentality hiyo ndio mje kwa hoja sio kutumikia chama kunawafanya muwe vipofu......
Magufuli naye ni fisadi tu kana alivyo Lowassa, Sumaye,Kikwete na mkapa......
Rais ninayemuheshimu ni Nyerere na Mwinyi peke yao lakini sio wezi hawa wakwapuaji..........
Kwahiyo lazima uelewe mwizi ni mwizi tu awe chumbani ,Sebureni ,chooni,Au kibarazani....
Shame on you kutetea wezi wa nchi sijui mnalipwa kiasi gani ......
Na ukute wewe ni waziri au mbunge au mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya Nina uhakika.....
Tatizo lako huko well informed, na IQ ndogo uliyonayo inakusumbua.
Na wewe ni wale wale tu.
Angalia ulichoandika kwenye thread ambayo baada ya kugundua ujinga uliofanya ukajaribu kuifuta thread ili uendelee kutudanganya kama wewe sio CHADEMA.
Thread uliyotaka kuifuta ni hii,
Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Ninyi vijana mnafurahisha kweli.
View attachment 447845
Sasa kwa nini umejaribu kufuta thread yako?Lowassa, Sumaye wametumwa, Mbowe ni adui wa mabadiliko
Haaaah we Kijana unijui vizuri kumbe mbona unachomoa Uzi mmoja zingine uzioni?......
Nyie ndio nyumbu kweli........
Kama unataka kuishi vizuri usiwe na mahaba na wanasiasa wewe simama katikati kosoa akikosea akipatia mpongeze na ndicho Mimi nakifanya .....
Niko na uwezo wa kumwambia mbowe no na Nina uwezo wa kumwambia magufuli hapana akikosea...........
Sasa nani mnafiki kati yako na Mimi ?
Vile vile hata wewe sina haja ya kukujua gamba mkubwa............Sasa kwa nini umejaribu kufuta thread yako?
Huoni huo ni zaidi ya ulaghai na unafiki.
Thread ulete wewe halafu uhangaike kuifuta baada ya kugundua ujinga ulioufanya.
Ninyi vijana mnashangaza sana.
By the way, sina muda wa kutaka kukujua kwa sababu huwezi kuniongezea chochote au kunipunguzia chochote. Nikujue ili nipate faida na hasara gani?
Mkuu kuifeel pinch kwa habari mbaya duniani kuna madhara mpaka kwa wazo lako la kibiashara ulilonalo kichwani sasa hivi.Wacha isambae zaidi na zaidi.
Hawa uchwara lazima na wao wai feel pinch yake.
Hii Nchi ni yetu wote jamani..
Sio ya akina fulani tu.