I know Melo more than you do, I know this man for a decade now,the thing is that Melo has ignore a 10 bn to sell his website to the party, that is why they arrest him.
Oooh, it could be true!
I know Melo more than you do, I know this man for a decade now,the thing is that Melo has ignore a 10 bn to sell his website to the party, that is why they arrest him.
Mkuu usizungumzie hilo galasa jamaa lingekua kama hapa lingefungia vyombo vya habari naona watu mna jazba mpaka mnasema vitu msivyovijua. Jamaa katika kampeni alishasema anataka kuwe na sheria ya kuwabana wana habariTrump anavutia kasi marais wa africa, hasa east africa. kwanza kwasababu wanapenda madaraka, najua mwakani kagame atakapokuwa anagombea tena trump atakuwa madarakani na atatoa kauli. uganda the same, zimbabwe 2018, na wengine wanaominya democracia. tusubiri tuone.
this must be true.I know Melo more than you do, I know this man for a decade now,the thing is that Melo has ignore a 10 bn to sell his website to the party, that is why they arrest him.
Umeona neno whistle blower sasa umeamua kulitafsiri directly kwenda kiswahili.penye ukweli uwongo huumbuka,,,,,,,,,,,,haingii akilini serikali idai inapambana na ufisadi halafu ipambane na mpiga mbiu wa hamelini,,,,,,,,,,,,,,
Ufisadi unatakiwa kuwekwa kwenye mitandao, ili kama rais hawezi kupata taarifa zingine za watendaji wake azipate huku na awaulize
Mkuu vipi tena Saanane ndio mmeacha apotee?
Serikali ndio yenye nyenzo zote za kumpata hivyo ni jukumu lake kusema kapotea ama yupo....Mkuu vipi tena Saanane ndio mmeacha apotee?
Lakini lile debe la hashtag ya kumtaka Ben hatulioni toka kwa wana Bavicha,vipi mmepigwa stop?Serikali ndio yenye nyenzo zote za kumpata hivuo ni jukumu lake kusema lapotea ama yupo....
Upumbavu wako toa hapa nani alikwambia kila anayeikosoa Serikali ni bavicha?Lakini lile debe la hashtag ya kumtaka Ben hatulioni toka kwa wana Bavicha,vipi mmepigwa stop?
Povu la nini kamanda?kwani kuwa bavicha ni kosa?Upumbavu wako toa hapa nani alikwambia kila anayeikosoa Serikali ni bavicha?
Haiwezi kua hivyo, mbona matukio Ni mengi yatatokea na kuifunika?Wacha isambae zaidi na zaidi.
Hawa uchwara lazima na wao wai feel pinch yake.
Hii Nchi ni yetu wote jamani..
Sio ya akina fulani tu.