Daily Mail UK: Tanzania charges whistle blower website founder

Daily Mail UK: Tanzania charges whistle blower website founder

Wawakamate na wengine wote wanaotumia .com, nadhani issue hapa sio .com wala abstraction of investigation wala sijui nini nini, issue hapa ni Jamii forums inakosoa Utawala wa Sizonje, na Sizonje hapendi. Alishasema mwenyewe kuwa anatamani Malaika washuke wazime mitandao ya kijamii. Kwa sababu hawezi kuzima facebook, wala WhatsApp, kwa sababu atanyimwa fedha na Wamarekani kwa kuingilia raia wake (Mark) na kuminya freedom of expression, kaona jamiiforums ni size yake. That's the point.
 
Gari la police lina registration namba za private T... Dvb? Ndio Yale Yale ya dot com.. Police ni Mali ya serikali au private? Boliti jicho la mwenzio
 
[HASHTAG]#freemaxcencemello[/HASHTAG]

[HASHTAG]#freemaxcencemelonow[/HASHTAG]
 
Kingereza chako cha kiswahili kimeshindwa kukusaidia kuelewa kilichoandikwa, pole!
Hii thread ilikaa kivyake kwa karibu masaa 12, na wakati naijibu mimi ndiye nilikuwa mtu wa Kwanza kuijibu. Nilishangaa jamaa kukosa bail na watu kutokuijibu hii thread.
Ndiyo maana nikauliza jamaa ameshatoka? Maana sijaona mtu aliejibu hii thread (nadhani zilikuwa mbili zimeunganiashwa). Kwa hiyo acha kukurupuka.
 
Hii thread imeunganishwa, sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba members wasione kwamba Max angekuwa nje kwa dhamana lakini kwa sababu ya majungu tu yanayoendelea hapa hakuna hata moja ambaye alidiriki kufanya hivyo. Watu wamekalia maneno mengi lakini vitendo sifuri, hii ndio JF. Itachukua muda mrefu sana kwa Watanzania kuendelea na kupiga hatua kwa kuendekeza majungu bila vitendo huu ni mfano mzuri ambao unajirudia. Mwanzo ilitokea hivi hivi na alionywa wachangiaji wengi hapa ni porojo tu na majigambo.
 
Huyu anayedai yeye ni mpambanaji na mafisadi yeye mwenyewe ni fisadi. Kakwapua nyumba za Serikali, kajenga barabara za chini ya viwango huku akidai kutumia mabilioni, kakwapua bilioni 16 za wahanga wa tetemeko, kanunua boti uozo la mwaka 1978 kwa bilioni 8 na sasa anapitisha matumizi makubwa ya ununuzi wa ndege bila kupata idhini ya kutumia mabilioni hayo toka Bungeni na pia anakiuka taratibu za Serikali za manunuzi.

Wacha porojo, JPM ndiye rais kama hutaki kajinyonge, atanunua ndege na kufanya anavyotaka kwa sababu amepewa jukumu hilo na Watanzania.
 
Hujitambui wewe ndiyo sababu unatetea uozo. Mwambieni basi alivunje Bunge ili kusiwepo na yeyote yule wa kumchelewesha kuliangamiza Taifa kwa matumizi yake ya kukurupuka. Ndani ya miezi saba tu kapaisha deni la Taifa kwa karibu 25 Trillioni na sasa limefikia 67 Trillioni.

Ukiona mtu kashindwa kuongoza nyumba yake basi ujue hana sifa ya kuongoza chochote kile na ukweli wa hilo sasa unadhihiri.

Na hapo kwenye bold ndipo kwenye ukwel wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mzee wa kukopi n paste, huwezi kuwa kiongozi na hio ndio sababu kubwa ya kushindwa maisha yako wewe mwenyewe binafsi, umekalia mipasho na mjungu, JPM ndio rais kama hutaki nimekwambia kajinyonge simple as that. Ati avunje Bunge kisa Bubu ataka kusema kutoka JF ndio anataka hivyo, sasa kama huo sio upimbi ni nini? Deni la taifa hata likiwa kiasi gani haliwezi kumkwaza yeye kufanya kile mbacho Watanzania wengi wanahitaji afanye, wewe ni minority ndio sababu hujitambui.

Hujitambui wewe ndiyo sababu unatetea uozo. Mwambieni basi alivunje Bunge ili kusiwepo na yeyote yule wa kumchelewesha kuliangamiza Taifa kwa matumizi yake ya kukurupuka. Ndani ya miezi saba tu kapaisha deni la Taifa kwa karibu 25 Trillioni na sasa limefikia 67 Trillioni.

Ukiona mtu kashindwa kuongoza nyumba yake basi ujue hana sifa ya kuongoza chochote kile na ukweli wa hilo sasa unadhihiri.
 
Tunaomba na wenyewe watuambie kwa nini walitaka kumkamata Mr Julian Assange mpaka wanamfanya anaishi kama mkimbizi kwenye ubalozi wa Ecuador London UK tuanzie hapo kwanza kwani Julian Assange ni founder wa WikiLeaks naye pia ni Whistle- Blower
 
Hahahahaha lol! Sasa unaandika uongo kutaka kuonyesha unanijua wakati hunijui hata chembe. Taahira kweli wewe!

Kwa taarifa yako I love my life style and I love what I do day in day out. LIFE IS SO GOOD. Thanks to the almighty for my good health and my success in my life as a student in primary education to the University college.

Wewe unayaona ni majungu lakini ndiyo ukweli halisi wa huyo dikteta uchwara ambao hawezi kuukwepa.

Hakuna yeyote yule aliyemshawishi Janeth agome kumfanyia kampeni za Urais. Alifanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe akikumbuka dharau na kudhalilishwa sana kwa miaka mingi.

Mke aliyeanza maisha ya chini na mumewe hufurahia sana mafanikio ya mumewe lakini Janeth hakufurahia kwa kujua jamaa kashindwa kuongoza nyumba yake kwa tabia zake kamwe hawezi kuiongoza nchi lakini Kikwete na Mkapa hawakulipa hili la huyo mama kukataa kushiriki kwenye kampeni uzito unaostahili sasa nchi inayumba kwa sana.

Acha uongo mpumbavu wewe wa kujibaraguza kwamba unanifahamu MUONGO MKUBWA. Halafu wewe si Maxence Melo au Mike Mushi taahira wewe. Humu ndani copy & paste ni RUKHSA na ndivyo vilivyoleta umaarufu mkubwa wa hili jamvi. Kafungue blog yako huko utaweka kila sheria uitakayo humu kaa kimya huna sauti ya kujibaraguza bla bla bla.

Huelewi athari za deni kubwa la Taifa ambalo limezidi bajeti ya nchi mara tano au zaidi ndiyo sababu unaandika pumba mpumbavu mkubwa wewe.

Mzee wa kukopi n paste, huwezi kuwa kiongozi na hio ndio sababu kubwa ya kushindwa maisha yako wewe mwenyewe binafsi, umekalia mipasho na mjungu, JPM ndio rais kama hutaki nimekwambia kajinyonge simple as that. Ati avunje Bunge kisa Bubu ataka kusema kutoka JF ndio anataka hivyo, sasa kama huo sio upimbi ni nini? Deni la taifa hata likiwa kiasi gani haliwezi kumkwaza yeye kufanya kile mbacho Watanzania wengi wanahitaji afanye, wewe ni minority ndio sababu hujitambui.
 
nafurahi kuona news kama hizi zinasambaa, napenda wahisani wakate misaada mingine kama ya MCC.
 
Back
Top Bottom