Daily Mail UK: Tanzania charges whistle blower website founder

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
1481967111657.jpg
 
Trump anavutia kasi marais wa africa, hasa east africa. kwanza kwasababu wanapenda madaraka, najua mwakani kagame atakapokuwa anagombea tena trump atakuwa madarakani na atatoa kauli. uganda the same, zimbabwe 2018, na wengine wanaominya democracia. tusubiri tuone.
 
Maana wakitunyima uhuru wa humu jamii forum, watendaji wake watakuwa na nafasi za kupiga dili hata asijue na raia waweza kuwa na taarifa za msingi. Hivyo,pia kuna advantage ya Ufisadi kujirudia tena na zaid kama tutanyimwa uhuru wa mawazo
 
Afadhali mtandao wetu unazidi kupata umaarufu kuliko hata media za Serikali ukizijumlisha zote na zile za binafisi zenye mlengo wa ccm
Serikali haifanyi mashindano fahamu hilo kwanza,ila sema kufahamika kwa Fursa ktk nchi ni muhimu sana kimataifa mfano,issue ya Utalii na Uwekezaji na nini kinapatikana Tanzania.
 
Acha hii habari isambae kama kimbunga cha tsunami

[HASHTAG]#freeMexencemelo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom