vallentino86
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 533
- 215
A shame to our country's police officers who do their responsibilities without following principles of mgt.
Ana matatizo mengi sana katika utawala wake ahangaike na africa apate nini?Trump anavutia kasi marais wa africa, hasa east africa. kwanza kwasababu wanapenda madaraka, najua mwakani kagame atakapokuwa anagombea tena trump atakuwa madarakani na atatoa kauli. uganda the same, zimbabwe 2018, na wengine wanaominya democracia. tusubiri tuone.
Yaani kama hali itaendelea hivi kuna shida sana baadae