Sio mimi bhana,kanitag tuKasema ulimuomba anunue vitu vya ndani ukawape wazazi kumbe umeenda kupanga na mwanaume mwingine, alikupa laki nane ya mtaji umeenda kumpa mwanaume wako aongezee kwenye bodaboda
So nini kifanyike kutanzua kitendawili hiki?Wapo wengi sana mwingine utakuta ana mke kabisa hajawahi mnunulia hata nguo ya elf 50 lakini mchepuko anauhudumia laki 2 kwa mtoto wa wakusingiziwa!
[emoji23][emoji23] najua my dear nilikuwa nakutania tuSio mimi bhana,kanitag
Mkuu nashangaa kwann watu wanalizwa lizembe af wanaishia kulia lia tu bila ACTION yyte..yaan mwanamke aniibie lak 8 nisimfanye kichaa??? NOOOOOOOOPole sana mkuu ..
Yaani ulichagua kabisa kuamini maneno haya (Nakupenda /uko peke yako )? Hayo ni maneno tu huwa Yana tamkwa kwaajili ya kuwapumbaza watu ili waweze kuhadaika '' kama namna ambavyo wana siasa wa navyo ahidi ahadi zisizo tekelezeka kwa wananchi wakati wa kampeni....
Huko kwenu -- hakuna Uchawi ?
Yaani huyu jamaa atakuwa ni mwanaume wa dar tu. ... anaishia kulia Lia tu. ..wakati amesha tapeliwaMkuu nashangaa kwann watu wanalizwa lizembe af wanaishia kulia lia tu bila ACTION yyte..yaan mwanamke aniibie lak 8 nisimfanye kichaa??? NOOOOOOOO
Pole sana kwa kufanywa mwanaume bwege..Habari wakuu
Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]
SITOMWAMINI MWANAMKE TENA
Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.
Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.
Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.
Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.
Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.
Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!
Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!
Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.
Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri
cc: joanah
.Habari wakuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila chenga
Mambo mengine wanaume wanajitakia.
Heri Yesu arudi tu kwa kweli
Watu wamekua wanyama kbsa[emoji22][emoji24]
Ila malipo na hapa hapa duniani dadangu
aina noma,nyie jioneni tu wajanja
Wewe mwaka mmoja!!!!!!ngoja nikutafutie Uzi wangu niliokuwa nalia kama mtoto.
Na mm nakujaMkuu nina bibi yangu ni mtalaamu, njoo afanye manuva.
Ila wao ndo wametufanya tuwe na roho ngumuWengine wanatapeliwa nyumba magr na unafukuzwa unaanza zero poleee
Dont worry, kama ulifanya kwa nia njema, hakuna sababu ya kuumia sana! She will face her own karma! Wala usijali. Wote tunafanya makosa, no one is perfect.