Dah! No true love

Kabisa bro
Wanawake achana nao mkuu..!! Yani ukiambiwa lolote demu wako either uamue kuufanyia kazi Ukweli au Uupotezee Ukweli lakini story yoyote ukiambiwa na wana kuhusu demu wako ni Ukwelii.. Unafiki upo sana tu
 
Unajitetea nini kaka. Hapo ni kumwambia ulimetafuta sasa maamuzi ya kwako
Duh mke kakuzalia watoto na unampenda umjibu eti maamuzi yako?!?! Huyo mkee au girl friend?!
Anyways tunatofautiana sana.
 
Mie siwezi kuendekeza mke kuto kuheshimu mipaka.
Kiubinadamu mipaka ya usiguse simu yangu utaona michepuko yangu hiyo ni mipaka halali?!!?? Kweli kabisa??!! Come on!

Mipaka iwe halali. Sawa asiguse simu kwa kua sio yake lkn sio kwa kua ataona michepuko. Kuchepuka tuna chepuka sana. Na faida kubwa ya kuchepuka ni kua ndoa ndio inakua tamu. Maana humchoki wife anakua na wasaidizi. Lakini sio eti unapiga mikwara usishike simu hutaki ondoka au amua utakavyo. Khaaaaaaa. Sababu eti akishika ataona michepuko. Hapana aisee.
Wake zetu sawa ni viumbe dhaifu lkn nao wanahitaji respect ya hali ya juu.
 
Pole sana ila chukulia hio kama red light na umeona mapema kabla hujamuoa...Bado una nafasi ya kuanza upya na kupata mwanamke anaejiheshimu usilazimishe kuoa sababu ya umri mwisho ukakutana na mambo kama hayo katka ndoa.
 
Matango pori unatulisha
 
Pole sana ila chukulia hio kama red light na umeona mapema kabla hujamuoa...Bado una nafasi ya kuanza upya na kupata mwanamke anaejiheshimu usilazimishe kuoa sababu ya umri mwisho ukakutana na mambo kama hayo katka ndoa.
Dah! Ngoja nisubiri
 
Updates

Wakuu huyu binti kanicheki leo,ananiambia ananimisi mpaka anahisi machozi

Nataka nimuulize "kuliko fulani"
jina la moja ya watu nloona kwenye sms alowaambia anawapenda sana kimapenzi na akasisitiza

Je niache tu au?
 
Mapenzi ya skuiz ruksa kushikana ila so kushikiana simu ,kuna vitu lazima upitie ili ukomae kimahusiano. Wanawake wahivo wanajua kuigiza sana ,ukilegea atawagawia +(mbuzi) hadi ndan kwako.
 
Mapenzi ya skuiz ruksa kushikana ila so kushikiana simu ,kuna vitu lazima upitie ili ukomae kimahusiano. Wanawake wahivo wanajua kuigiza sana ,ukilegea atawagawia +(mbuzi) hadi ndan kwako.
Mkuu kwa maoni yako nimjibu tu hivo au nikaushe
 
Mie nina kesi kama hiyo nilikuta wanne
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…