MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,476
- 53,335
Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani 😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani 😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛