Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Mie najichotea mauzoefu tu hapa.......................

Zinduna dear.... Karibu saana hapa ndo MMU, Na waliomo humu wanafamilia, nitakutambulisha kwa babu wa wajukuu zoote humu ndani akuoneshe njia na namna mbali mbali hapa janvini (ukitaka hata nje ya jamvi...lol) Narudia Karibu saana....

Enjoy....
 
ni kweli sijiachii tena kiviiile nipo kimachale machale loh?

Dear kid sis of mine.... itakuja tokea tena, maana haya mambo huamui out of blue, itatokea mpaka you will never know what "HIT" you.....lol
 
tatizo kubalance equations ndio kwenye shughuli mara nyingi mizani huwa zinapishana lol!

Chauro inaweza tokea bahati zika "Balance" Haijawahi tokea kwako?? (yaani majirani, marafiki ndugu na jamaa hadi roho yawauama....lol)
 
Hujamsoma daughter eeee

Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.
 
Zinduna dear.... Karibu saana hapa ndo MMU, Na waliomo humu wanafamilia, nitakutambulisha kwa babu wa wajukuu zoote humu ndani akuoneshe njia na namna mbali mbali hapa janvini (ukitaka hata nje ya jamvi...lol) Narudia Karibu saana....

Enjoy....
Usisahau kumpa namba yangu ya simu............:lol:
 
Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.
Mpwa naona uko kikazi zaidi....... Ila nakutahadharisha hili jina Gaga lina mmiliki wake!!
 
then probably this is not love but i can define it as crush
lakini wanasema unaweza kujifunza kumpenda mtu.love ipo tf ila automatically tu sijiskii mishtuko au mavibration ya moyo kiviiile nipo nipo tu ila i think an in love
 
Nadhani uko kweli.. kwani I feel kuna upande unaniambia I have Love.. lakini kuna upande unaniambia hiyo siyo love ni sacrfice whether you like it or not.. Lakini kuna upande mwingine unaniuliza swali "mbona unachanganyikiwa ukifikiri kukosa iko kitu ambacho hauko tayari kukubali ni mapenzi? Happily confused!

Tulizo todate nimekusoma kua you have love, Love for your family especially your kids, you wife you appreciate to the maximum, you acknowledge her you are a responsible man (dad & hubby) But wewe kila ufanyalo is out of Logic/reality and basing on what is proper... as in what it right or wrong... .Tokana na maelezo yako katika post zako za miezi nyuma kadha you do Love your wife na upo for her every need, but in love NO! Then ukasisitiza what you feel for your wife has always been that way hata kwa other ladies wa nyuma,,,,
 
Very true....lakini ni ngumu sana aiseee,mara nyingi huwa najiuliza hili swali. How can i believe in love again after being hurt so badly???tena not once!!!!
The truth is I don't want to put walls up and guard my heart and i don't want to be bitter about love,but right now I am.
Sasa mkuu hebu nisaidie natokaje hapa to start a new relationship kwa imani kuwa haitakua kama zilizopita na kuachia moyo wangu nimpe mtu penzi haswaaa analostahili....lol!

AshaDii - I'm sorry to say I'm not in LOVE!!!!

OK nimekubali.... Swali lingine... Have you ever??
 
Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.
mie nishawahi kupenda zamani sana bila hata ya kuambiwa na huyo kijana, hiyo nayo unaiitaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom