Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.



Fidel tatizo ndo lipo hapo.... nyie guys think you control everything katika the Game of Love.... Saa ingine sie twatangulia kukupenda kabla hujaninotice... By the time ume-ninotice nakua kumbe ulikua kwenye mtego wangu siku nyiiiiingi, wanitongoza nakkubali then wasema kanipenda sababu kanitongoza.....
 
Unamaanisha haliki au? Wachina wanakula hadi nyoka kwa pweza na ngisi kitaeleweka
Komredi leo upo vere vere kwenye hii "in love" Vp jana Mwamvita wa Machimachi guest alikutoa aout nini?
 
pole sana kitaambo ilishanitokea ni ngumu kumeza na kutema pia, wanawake huwa wanateseka zaidi sababu hawawezi wengi kwenda next step yaani kumwambia muhusika...but still you can shoe him signs

am past that already my dear,tayari tuna mahusiano but now i feel ni kama ndio nimeanza kumpenda na nnampenda kupitiliza na haonyeshi kuapreciate
 
Tulizo todate nimekusoma kua you have love, Love for your family especially your kids, you wife you appreciate to the maximum, you acknowledge her you are a responsible man (dad & hubby) But wewe kila ufanyalo is out of Logic/reality and basing on what is proper... as in what it right or wrong... .Tokana na maelezo yako katika post zako za miezi nyuma kadha you do Love your wife na upo for her every need, but in love NO! Then ukasisitiza what you feel for your wife has always been that way hata kwa other ladies wa nyuma,,,,

Nadhani ume-hit the point... I feel to devote all I have to them, lakini nashindwa kupata logic na kuamini hiyo ni Love, kwa sababu nimewafanya wao kuwa sehemu ya mwili wangu kwa furaha na machungu.. Ndio maana siogopi kuonyesha stress zangu kwao, siogopi kufanya kile nataka .. Kwani nahisi naamini kwa kuwapa maisha yangu ni zawadi zaidi ya Mapenzi .. Ndiyo maana kwenye ile topic hapo zamani nilisema naamini hakuna Mapenzi ..
 
ok nimekubali.... Swali lingine...
hv unaweza kuwa umefall in love kiukweli mara ngapi jamani? Nahisi moyo nao unakuwa unafanya depreciation
yaani value ya kumfeel mtu kama ni mahusiano ya kwanza na wa pili au wa tatu inatofautiana yaani kama kuna kushuka kwa value/thamani ya mapenzi ,au nipo wrong jamani?
 
Nimekupata dada pamoja sana,say helo kwa shem Kaizer,tell him akiuumiza atajuta kumjua Asha Dii!Oooh one more thing mafans wa Arsenal na Yanga sasa angalau tunakunya maji yanashuka....lol!(Sory kwa kuchakachua!)
 
lakini wanasema unaweza kujifunza kumpenda mtu.love ipo tf ila automatically tu sijiskii mishtuko au mavibration ya moyo kiviiile nipo nipo tu ila i think an in love
Kwahiyo nikitokea mimi halafu moyo wako ukaanza kusikia mishtuko na vibration you'll probably be in love si ndio....lol
PA I see you see.....lol... Are you by any chance the crasher??
I think i'm about to become one of them....just watch me out...lol
 
am past that already my dear,tayari tuna mahusiano but now i feel ni kama ndio nimeanza kumpenda na nnampenda kupitiliza na haonyeshi kuapreciate
Ingia kwenye plan B sasa ya kumfanya aone wivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom