Mi simooooo... Ila mkinibana sana naweza kurudisha sehemu ya pesa (nadhani nimekazika kama shilingi 16 500 hivi) lol
Yep ni UporotoAisee huko sikuwaza... Yawezekana bana.... Dah! List ndefu sijui tutaipunguza vipi??
To his home sweet homeHey PA where to??
hehhehe acha tupige wimbo wa taifa.Aisee katibu, raisi kanituma nikupe jukumu la kutafuta katibu muhtasi wa chama chetu cha wabeba maboksi. Sharti; awe ni awe mwanaserere wa ukweli. Kazi kwako.
mmh nalog off switlady ana nini na mimi sijui wala hajaanza kwa ft kwaherini
Ngoja sie tusie na chetu tukae pembeni tusubiri zamu yetu..lolHey PA where to??
Yep ni Uporoto
Mkasa: Husninyo alilia sana na akamwambia Uporoto kwamba mbona waifu wa kloro ananunuliwa mafulu make up, makarolaiti, makucha ya kubandika mapafyum ya dubei nakazalika nakazalika, Uporoto akajarib kutafta mkopo ikashindikana sasa ikabidi atumie plan B ili kuokoa ndoa. Infakti namsifu sana uporoto kwa ujasiri wake, kaonesha kwamba yeye ni titanic na sio kanumba.
To his home sweet home
Ngoja sie tusie na chetu tukae pembeni tusubiri zamu yetu..lol
kweli sis una akili sana kuna siku RR aliaga akasema kuna mtu amemtumia hela akatualika bwana loh kumbe?
Dah! nimejitoa bila kushtakiwa???Oh Alter inabidi nikuombe MSAMAHA dear... Huyo ni RR wa kundi la akina Kaizer.... lol... Kuna jamaa karusha uzi kaliwa pesa na kidume alie kua anajifanya mdada....lol...
Ngoja sie tusie na chetu tukae pembeni tusubiri zamu yetu..lol
Mkuu ukiwa kwenye mnada wewe waache wale ambao huwa wanapanda dau mwanzoni wewe subiri yule jamaa anapoanza kusema "Inakwenda kwa Milioni moja kwa mara ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne" mara ya tisa ile anakaribia kusema imenunuliwa wewe unapanda dau unasema Milioni 10 unakuwa umemaliza biashara sasa ndio zangu hizoMh!Mpaka wewe mkurugenzi kitambi meneja umekubali mziki!Kweli sementi haiuzwi supamaketi!
Dah! nimejitoa bila kushtakiwa???
Alie nikosea ni Smiley, maana alitaja siku ile nilisema my last sms ni code ya Western Union (au?)
Sio mara ya kwanza watu wananichangaya na RR... alafu kuna member mngine anaitwa "double R"... Itabidi niombe kuitwa Russian or Roulette sasa...
Uliishawahi kuona kiwanda kinachotengeneza sumu kinakuwa na tester wa hiyo sumu sasa like i always tell you sometimes nafanya vice versaPA usiniambie wale mabinti ulokua unawachanganya umelikoroga?? lol... Wee ndo wa kukaa pembeni with hizo reasons umetoa?? C'mon!!
Uliishawahi kuona kiwanda kinachotengeneza sumu kinakuwa na tester wa hiyo sumu sasa like i always tell you sometimes nafanya vice versa
Ngoja sie tusie na chetu tukae pembeni tusubiri zamu yetu..lol