Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

This is a whole new Eiyer to ME!! lol.... Ngoja basi B' aje akusaidie....
 
mi penda veve tu
ADI shem wangu wa ukweli hebu weka hii maneno kwa lugha ya Dave Cameroon bana! Mi wanna be happy........... kuna mutu inasema masisimko ya malovee yanakuwa matamu sana ikitumiwa lugha hiyo........
 
aaah hahahahaaaaaa..........!!! Jamani watu mwafurahisha nyie lol!!
 
Mwali... Your first post in my Thread... I am humbled karibu saana. You can never be too late in falling in love, hivo basi naomba ujibu "are you in Love"?? na swali la kizushi "is this your 1st ID at JF??
Kwa kweli hii thread imenifanya nijiunge... Kwenye maswali hapo juu nimejibu "yes"! Si ndio alama yenyewe hiyo?
Hata mimi niliona ni makosa kuanzia hapa, nikakimbia haraka sana utambulisho... :A S embarassed:
 
ADI shem wangu wa ukweli hebu wekw hii maneno kwa lugha ya Dave Cameroon bana! Mi wanna be happy........... kuna mutu inasema masisimko ya malovee yanakuwa matamu sana ikitumiwa lugha hiyo........

You are the only person who makes my heart stop atleast for a brief second.... from raptures of wonderful unexplained feelings of which i have no control and yet i love..... lol...

(hapo jee shem umeelewa?? Take note: Hayo ni Maneno ya Gaga) lol
 
Kwa kweli hii thread imenifanya nijiunge... Kwenye maswali hapo juu nimejibu "yes"! Si ndio alama yenyewe hiyo?
Hata mimi niliona ni makosa kuanzia hapa, nikakimbia haraka sana utambulisho... :A S embarassed:

Mwali i am humbled hii Thread imekuvuta... Hili jukwaa linaitwa MMU, Ndo Jukwaa tamu kuliko majukwaa yooote hapa JF, Karibu saaana dear. Sasa basi niseme kweli nimefurahi zooote zimetick YES..... Who is the Lucky person? lol

Alafu utatembelea na hapa LINK Kwa ajili ya kupiga hodi kwa kujitambulisha au sio??
 
Fidel wee ndo baba Tuli nini?? lol

Oh! Shem....
MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22
Siku ya leo usile pilipili kwani utashikwa na tumbo la kuhara hivyo kama

Unataka kula pilipili hakikisha unaweka feni chooni ili ikupepee makalioni
Kutokana na fukuto kali litakalosababishwa na pilipili na kama huna fena andaa
Barafu ambayo utaikalia mara baada ya kujisaidia.

nyota ya shem ndo inasema hivo leo sis toka kwa gazeti so chakula cha leo usimuwekee pilipili pls
 
You are the only person who makes my heart stop atleast for a brief second.... from raptures of wonderful unexplained feelings of which i have no control and yet i love..... lol...

(hapo jee shem umeelewa?? Take note: Hayo ni Maneno ya Gaga) lol
Japo kimombo changu hatukufikia silabasi ya kusomea tafsiri ya baadhi ya maneno, lakini nimenasa baadhi na mengine nimeikonsalti TUKI yangu hapa na goggle transleta......... Sasa hiyo maneno uchanganye na haka kasignecha kake.....

You Only live Once....But if you do it right, Once is enough

ODM hoooooiiiiii!!!
 
MAKUBWA!!! Kid sis umenikosha na kunimaliza!!! lol.... Dah! Hata hivo mbona umekosea Nyota ya Shem wako??
 
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?

Mwali... Your first post in my Thread... I am humbled karibu saana. You can never be too late in falling in love, hivo basi naomba ujibu "are you in Love"?? na swali la kizushi "is this your 1st ID at JF??
Shem, kwa gia hiyo STUKA! Yaweza kuwa FPNI hiyo!! (First Post New ID)
 
MAKUBWA!!! Kid sis umenikosha na kunimaliza!!! lol.... Dah! Hata hivo mbona umekosea Nyota ya Shem wako??
Nyie mabinti mtanifanya nikafufue ile sredi ya mkojo Vs Mate Vs Kaushuzi LOL

Na log out, staki kumuudhi shem wangu bana!
 
Shem, kwa gia hiyo STUKA! Yaweza kuwa FPNI hiyo!! (First Post New ID)

Asante Shem... I have noticed hio and I am being careful, This thread imetuleted brand new members kama 5 if not mistaken.... Am a bit careless for i know you are there to protect me when Sweetie is not there....lol
 
Nyie mabinti mtanifanya nikafufue ile sredi ya mkojo Vs Mate Vs Kaushuzi LOL

Na log out, staki kumuudhi shem wangu bana!

Lmao..... lol... (I don't want that thread shem hivo sigusi)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…