kwanza kwa my darling wife
pili kwa rafiki yake wife (huyu alinitosa akaenda nje ya nchi, wife akiwa rafiki yake akanionea huruma na akawa akinifariji sana......... Huruma ikageuka kuwa penzi zito hatimaye ndoa)
tatu kuna mdada mmoja hivi tulikutana kimaajabu tu, tukacheat mara moja na tangu hapo moyo wangu umemdondokea. Anaiheshimu sana ndoa yangu na hayuko tayari kucheat tena. Ila dah!
Nne haka kabinti ka kazini nakokusimulia (sithubutu kukatongoza, kakinikatalia ntakufa lol
tano soulmate gaga via keyboard
sita............khaaa! kamatesha kangu...... Kananisisimua sana bana!
Leo mbona unashtuka sana? My love kwa Matesha ni almost proportional to my love to you............shem bana!what!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Only time will tell bro... lets wait and see as per your admittance....
Kwanza kwa my darling wife
Pili kwa rafiki yake wife (huyu alinitosa akaenda nje ya nchi, wife akiwa rafiki yake akanionea huruma na akawa akinifariji sana......... huruma ikageuka kuwa penzi zito hatimaye ndoa)
Tatu kuna mdada mmoja hivi tulikutana kimaajabu tu, tukacheat mara moja na tangu hapo moyo wangu umemdondokea. Anaiheshimu sana ndoa yangu na hayuko tayari kucheat tena. Ila dah!
Nne haka kabinti ka kazini nakokusimulia (sithubutu kukatongoza, kakinikatalia ntakufa LOL
Tano soulmate Gaga via keyboard
Sita............khaaa! Kamatesha kangu...... kananisisimua sana bana!
U knw Dada,we do have 2 probem here,the first one is,i already withdrow from thi7 race so i need sababu ya kurudi,na bado haijapatikana,tatizo la pili ni kuwa,4 example,lets say yes i admit that then who,nimeshasahau hata kutongoza(usicheke)it's almost 3 years now!
Shem bana.......... Ngoja nikupigie.Whoooow!! TGI-Eid.....
Haya basi nipe mpango mzima nini umeamua kuhusu huyo binti?? Take note nina Greda!
Huh?? 3 years of what exactly??
Why not dearest hali ushapita sweet sixteen....lol... Being in love is a feeling not an act....
yes i'm in love but.......(usiniulize but what). Lol!
Mwambie partner ajiandae tarehe 24 Celebrity wa Mpwapwa anakuja
I know you are....
stani ugomvi na mmoja wa manyani. Lol.
Akikupa za mchina itakuwa balaa,unaweza kutoroka ofisini ili kwenda kunusa nguo yake ambayo haijafuliwa anapokua hayupo!
Ngabu ever been in love??