Mie mgeni hata sijui niseme nini.
halafu wewe??Kwahiyo nikitokea mimi halafu moyo wako ukaanza kusikia mishtuko na vibration you'll probably be in love si ndio....lol
I think i'm about to become one of them....just watch me out...lol
kwani mtu kujua upo in love kipimo ni mishtuko na mavibration tf?kwahiyo nikitokea mimi halafu moyo wako ukaanza kusikia mishtuko na vibration you'll probably be in love si ndio....lol
Sure, I miss the girl. Alikuwa Star MMU hapa. Enzi za kina Carmel na infidelity..........Hommie Smiles sijui kaenda wapi banaa
Acha tu hommie angekuwepo leo ningemwaga amambo ya "in love" mpaka AshaDii apendeHommie Smiles sijui kaenda wapi banaa
Leo nakuletea limbwata uniongezee dozi! Sijawahi kujuta kukupenda!!
Dah! Pole daughter... I Know the feeling for waweza kuta wagonjweka..... care to mention yupo mazingira yako yepi?? as in home, kazini....
hapa tulipo hata hatuhitaji limbwata ...mahaba haya yakizidi tutauwana na vijiba vya roho..ngoja badae nimwone ashadii anifundishe namna ya kutuliza huu wivuLeo nakuletea limbwata uniongezee dozi! Sijawahi kujuta kukupenda!!
ha ha ha, ntakuPM, this is a major project haitaki papara.Kongosho, the Man is interested in Interesting women (as per his say) are you saying umeshindwa na hali ni evident you are interesting?? lol
Hommie hivi kabla hajatoweka alimalizia michango? ngoja nicheki na katibu RRSure, I miss the girl. Alikuwa Star MMU hapa. Enzi za kina Carmel na infidelity..........
kunguru wa njano karibu sana jf karibu na mmu upate malavidave hitsmie mgeni hata sijui niseme nini.
Nimekupata dada pamoja sana,say helo kwa shem Kaizer,tell him akiuumiza atajuta kumjua Asha Dii!Oooh one more thing mafans wa Arsenal na Yanga sasa angalau tunakunya maji yanashuka....lol!(Sory kwa kuchakachua!)
Kwa Gaga, acha tu anipe hata za mchina. Mi ndo nshapenda hivyo!Babu angalia isije kuwa sumu wengi wa wataalam siku hizi ni fake!
am the one bwana ni s tu imemis smile-smiles loh?acha tu hommie angekuwepo leo ningemwaga amambo ya "in love" mpaka ashadii apende
ila am still searching
Hata ckubanii wangu..Kimey mbona wanibania?? Yaani mpaka nimuite Kaizer ndo utanijibu?? lol
Kwahiyo nikitokea mimi halafu moyo wako ukaanza kusikia mishtuko na vibration you'll probably be in love si ndio....lol
I think i'm about to become one of them....just watch me out...lol
Hahhaaaa yule alitoroka bana.......... Nadhani RR alichakachua akataka nyooonyooo!Hommie hivi kabla hajatoweka alimalizia michango? ngoja nicheki na katibu RR
ahahaaa nimekuzoea sory bwanahuyo alikuwa gaga sio chauro.
La aziz..wivu mpaka past tense?Don't say I didn't warn you YOOOOO! IGWEEEEE!!
Wivu sina ila roho inauma!!