Dah, Huu Uandishi Aisee Sio Mchezo.

Dah, Huu Uandishi Aisee Sio Mchezo.

Hahaaaa. mkorea ni mchokozi sana ujue.

Aanionea kwa kweli. Hivi ukiona KIOO mie naweza andika hivyo jamaani. [emoji85]

Lol.

Hata kidogo jmn.

Wala hufanani na huo mwandiko mamiiii sentensi zako zimenyoka my dear.

Huyo mkorea labda aseme tu itakuwa anacho anachokitaka lakini sio mwandiko mwaya.
 
Hata kidogo jmn.

Wala hufanani na huo mwandiko mamiiii sentensi zako zimenyoka my dear.

Huyo mkorea labda aseme tu itakuwa anacho anachokitaka lakini sio mwandiko mwaya.
Hahaaaa. Hapo sawa mwaya. Ngoja aje aseme kwa kweli.

Mkorea.
 
Nilisoma ujumbe wote niliishia katikati....

Anahitaji kuelimishwa matumizi ya sarufi na uundaji wa sentensi huyo dada
Mie mwanzo nilishindwa kabisa aiseee.

Ni kweli kabisa Mkuu anahitaji kuelimishwa ila kwa mbaali nawaza ikiwa mwenye nyumba ni muhangaikaji yaani hatulii nyumbani sijui kama ataweza kuelimishwa kweli.

Zaidi ya kuachwa mpaka akija kujanjaruka ndio akajua wapi alikuwa anakosea.
 
Hahaaaa. Lol.

Karibu sana mwaya. Ila ujue Davet alisema ananitafuta ndio sababu nikamkaribisha sababu hanitafutagi mara kwa mara huyo hivyo hapa nina kimuhe muhe cha kujua anachonitafutia. Hahahaaaaaa.

Tanteeeee mamitto.

So lovely.
 
Back
Top Bottom