ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Hii inatokea sana kwa wale wadada wa kazi ambao wamesoma wakaishia katikati hata Primary hawajamaliza ndio maandishi yao sababu wengi matumizi yao kwenye simu inakuwa mtihani.
Na hapo shida ni kwenye kuacha nafasi na herufi pia wanakuwa hawajazifahamu fresh.
Inabidi tuwasaidie.