Kabisa.Ni kweli na ndio mana hata cherehani ni kiwanda pia.
Ni Hatari Sana.
Hata mleta maada hajasema haieleweki.Mbona inaeleweka...sabuni imeisha na vitafunwa vinahitajika..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aseeMbona inaeleweka...sabuni imeisha na vitafunwa vinahitajika..
duh!!Ni kweli na ndio mana hata cherehani ni kiwanda pia.
Ni Hatari Sana.
inasikitisha mnooNi Hatari Sana mkuu.
Hii inatokea sana kwa wale wadada wa kazi ambao wamesoma wakaishia katikati hata Primary hawajamaliza ndio maandishi yao sababu wengi matumizi yao kwenye simu inakuwa mtihani.
Na hapo shida ni kwenye kuacha nafasi na herufi pia wanakuwa hawajazifahamu fresh.
Hahahaaa. Sio siri nimeishia kati kuisoma kwa kweli.Ni kweli unachosema mkuu.
Naomba unimalizie basi kusoma hiyo msg hapo juu jomoni.
Hahah.