Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

Labda tukipata Dada aliyewahi kuwa na mzungu aje atoe ushuhuda lakini kwa mtazamo wangu naona ni kuwa labda ni ule utofauti wa lifestyle za wazungu na sie waswahili dada atazoea aina fulani ya maisha na itamuwia vigumu kuishi na mswahili
images
 
Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around

.......emancipate yourself from mental slavery...tatizo ndo hilo😡
 
Wamezidi kutwaa oh wadada na wazungu.lini hapa umeona mtu Ameuliza wadada na watanzania .Racism is both ways kwani wazungu sio watu .
 
Vinajizamisha makusudi, ila vinajua sana kuogelea kwa hiyo haviwezi kufa.
Zile huwa mbwembwe za kutongoza tu.

Duh umenifanya nimecheka mpaka.swimming pool gani hiyo ?wanaokolewa au wanaachwa.wewe ni kiboko
 
King'asti, njoo ushuhudie, kumbe paw ana kifua kama plastic?

Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around it
 
Last edited by a moderator:
Natalia yaani ndio umetuponda hivyo jamani! Baba yako ni mzungu,alafu wewe unaonekana mzembe,eti ananipikia,suprise kibao,chumvini kama kawa,haya yote hata wabongo wanaweza bana.sema wewe ni gold digger.
 
Last edited by a moderator:
Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around it

There we go...So hiyo mambo umesema ndio inawafanya hata ukichana na one mzungu you go hunting for urself another one? Till death do u apart?
 
Nafikiri ni maamuzi ya mtu.....halafu hawa wakaka zetu wa kiafrica hawajui mapenzi kabisa. Wengi wao sex ndio kupenda, thats realy wrong!
 
Do you. Ukishangaa ya Musa kwa wazungu kesho watakuja watalii kutoka Alpha Centauri au Andromeda galaxy, utaona ya firauni.

As long as mtu si mtoto, what do I care kama akiamua kutoka na Wajaluo tu, Wajapan tu au Wafaransa tu?

Kwa nini habari zake huyu mtu baki zinihusu mie?

Whats next? Kuchunguza jaa lake nijue kama anakula steki au dagaa kauzu?

Wabongo wengine tuna muda sana wa kuchunguzana, kuliko Chekist Soviet right out of an Aleksandr Solzhenitsyn narrative.

Dalili ya kukosa shughuli.
 
Ni fikra potofu tu, Cheupe ndo kizuri! Umesahau mahari ya mkurya mweupe ni ng'ombe ngapi? Kingine labda ni Visenti kidogo. Enzetu hata kama wanafanya kazi za boksi lakini system zao ziko poa, hawana mawazo sijui ya kujenga mara mtoto wa naniiii aemkosa ada au nyumba ya dadake na mjomba na shangazi nyumba yake imeezuliwa na mvua

So wau vijisenti kidogoni kuhongo manake isue nyingine ziko poa.

Mkuu nadhani jamaa hapa anaongelea wazungu siyo wakurya.
 
aisee niko hospitali nimelazwa,kuna mkaka mzungu sijawahi kumuona handsome kama yeye halafu mpoleeee sijui nitampataje mwenzenu i love him for real ila kuweka first move hilo ndio sitafanya kwa jinsi alivyo mzuri sidhani kama atakuwa hana galfriend
 
Sio wadada tu wanaotafuta wazungu. Vipi kuhusu wale vijana wadogo wa kiume ambao huwa hawachani nywele na wanaongozana na vibibi vya kizungu? Kwani wenyewe hawawaoni mabinti warembo wa kiafrika?
 
Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu ni wakweli.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo sio wa kweli.

kwaiyo nani ni bora kwake?

Asilimia 99 ya wanume wa kizungu upenda maendeleo ya mke wake.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo hawapendi maendeleo ya mke wake, sababu mke akiendelea anaogopa kukosa mamlaka na kummiliki.

Kwaiyo nani ni bora kwake?

Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu hawana nyumba ndogo, na hawazai nje ya ndoa, hawatoi mali kwa hawara, hawadhamini hawara kuliko mke.

Asilimia 99 ya wanaume wa kibongo nyumba ndogo lazma iwepo kabla ya ndoa, kuzaa nje ndio kawaida hata na wanawake 3, atatoa mali hovyo na kukuacha mke uteseke, na atathamini hawara kuliko mkewe.

NANI NI BORA KWAKE?

Mwanamke wa kiafrika akijingiza kwa mzungu inakua ngumu kurudi kwenye matatizo kwa muafrika mwenzie.
Nikipata muda nitaongeza.
 
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?

Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?

Najiuliza sana ni kwanini.

Kwanza kabisa uache wivu. Naona wanaume wengi wa kibongo wanachukia sana wakiona mabinti wa kiafrika wanaopenda wazungu. Kwa nini? Kufanya uamuzi ni haki ya kila mtu.

Pili ukitaka kujua kwa nini wadada hawapendi wabongo, ujue ni kwa sababu ya vifuatavyo...

1) Kwa ujumla wanaume wa kizungu hawana tabia za nyumba ndogo, wanapenda kuridhika na wake zao
2) Wanaume wa kizungu hawana tabia ya kutelekeza familia zao na watoto wao. Wabongo ndo ni balaa, wanazaa watoto ovyo halafu hawataki hata kuwatambua. Tabia chafu kabisa
3) Wanaume wa kizungu hawana tabia za ukatili, wanawaheshimu wake zao. Mbongo anaona ni haki kabisa kupiga mke
4) Wanaume wa kizungu wanaona kuna usawa kati ya jinsia zote. Wabongo wanawafanyia wake zao kama ni housegirl, wanaenda kukaa kwenye baa mpaka usiku na wanarudi nyumbani kwa ajili ya kula chakula na kulala tu
5) Kwa ubaya wadada wengi wanafikiri kila mzungu anazo hela nyingi. Nadhani unajua siku hizi wasichana wengi hawataki upendo, wanataka pesa tu

Najua nitatukanwa lakini sijali, wanaume wetu wakiendelea na tabia zao za kijinga wasichana wataendelea kuwakimbia.
 
....

Ndio maana mapenzi yakiisha na mzungu mmoja unaenda kutenga kupata mzungu mwingine...huwezi tena ishi na mswahili weye ni wazungu tu?

Ndio maana wakati mwingine inabidi uendee sehemu ambazo wanapatikana ili kuendeleza ule uzi wa kuwa na wazungu tu? kwa kuwa wanaume wa kiafrica ni wakatili? Dhana potofu kabisa hiii...anyway sio mbaya..ila nachojiuliza mpaka mkatege kwenye hotel kubwa kubwa na kupewa majina mabaya...ni kwa sababu zote hizo za ulizotoa hapo juu?
 
Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu ni wakweli.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo sio wa kweli.

kwaiyo nani ni bora kwake?

Asilimia 99 ya wanume wa kizungu upenda maendeleo ya mke wake.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo hawapendi maendeleo ya mke wake, sababu mke akiendelea anaogopa kukosa mamlaka na kummiliki.

Kwaiyo nani ni bora kwake?

Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu hawana nyumba ndogo, na hawazai nje ya ndoa, hawatoi mali kwa hawara, hawadhamini hawara kuliko mke.

Asilimia 99 ya wanaume wa kibongo nyumba ndogo lazma iwepo kabla ya ndoa, kuzaa nje ndio kawaida hata na wanawake 3, atatoa mali hovyo na kukuacha mke uteseke, na atathamini hawara kuliko mkewe.

NANI NI BORA KWAKE?

Mwanamke wa kiafrika akijingiza kwa mzungu inakua ngumu kurudi kwenye matatizo kwa muafrika mwenzie.
Nikipata muda nitaongeza.

Hizo statistics za kupika au za tafiti? Kama za.tafiti basi tunaomba source. Kama sio basi ingekua bora unze post kwa kusema kua ni hisia zako na hazina base yoyote ya kisayansi.
 
Back
Top Bottom