Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?

Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?

Najiuliza sana ni kwanini.
 
Ni fikra potofu tu, Cheupe ndo kizuri! Umesahau mahari ya mkurya mweupe ni ng'ombe ngapi? Kingine labda ni Visenti kidogo. Enzetu hata kama wanafanya kazi za boksi lakini system zao ziko poa, hawana mawazo sijui ya kujenga mara mtoto wa naniiii aemkosa ada au nyumba ya dadake na mjomba na shangazi nyumba yake imeezuliwa na mvua

So wau vijisenti kidogoni kuhongo manake isue nyingine ziko poa.
 
Labda tukipata Dada aliyewahi kuwa na mzungu aje atoe ushuhuda lakini kwa mtazamo wangu naona ni kuwa labda ni ule utofauti wa lifestyle za wazungu na sie waswahili dada atazoea aina fulani ya maisha na itamuwia vigumu kuishi na mswahili
 
sikila bidada kuolewa na mzungu ni kwamba ni preference just like wengine wanapenda light skinned gals wengine demu black beauty. sasa basi kuna kitu kimoja lazima ujue. lifestyle za wazungu zipo tofauti sasa to some ina appeal sana. kwa mfano mie mwenyewe i tend to gel well na life style ya kizungu ...i feel wazungu majority wapo honest open minded. once ukisha kuwa katika mazingira hayo ni ngumu sana kudeal na uswahili wetu sie bwana.
 
Vipi Kuhusu wamaume wa kiswahili kama kuwa isolate wadada wanao date wazungu hata kama kashaachana nae...?
Hujaona hili!!
 
Vipi Kuhusu wamaume wa kiswahili kama kuwa isolate wadada wanao date wazungu hata kama kashaachana nae...?
Hujaona hili!!

labda ile kuona kwamba yule dada sii alijidai kwenda kwa wazungu basi adate hao hao wazungu. alafu mtashindwana tuu hiyo lazima
 
Uzuri wa mtu hauko nyuma ya sketi bali ni jinsi awezavyo kuyatatua mambo kwa hekima alizopewa na mwenyezi Mungu.

Wapi nimezungumzia uzuri...hata nasema hii kasumba ya kupenda wazungu..

Kwa mfano huyu dada aliolewa na mzungu miaka kadhaa imepita,kwa bahati mbaya mzungu akafa..ikabidi bi dada kurudi nyumbani....baada ya miaka mingi kuwa uko ughaibuni...Kurudi nyumbani mitaa ya shinyanga..kaona hatapata mtu kaenda kujitega tena zanzibar...mahotelini....anawinda mzungu.
 
He he he he he
Nacheka mengi ujue?

Ukitaka kujua utamu wa vibabu vya kizungu nenda swimming pool, vinatongoza hadi vinajizamisha.
 
He he he he he
Nacheka mengi ujue?

Ukitaka kujua utamu wa vibabu vya kizungu nenda swimming pool, vinatongoza hadi vinajizamisha.

:wink::wink: Usinikumbushe....Kazee Kamoja Kalizama Dubwi kwenye bwana la kuogelea pande za Znz...Wakati flan nachekaja mpaka leo nikikukumba.

Ila nini wale wazee na vijana wa kuzungu huwafanya dada zetu kuweweseka na kuwatafuta mara wakishaanza nao? Dah kimenisukuma kuona kasumba hii dada mmoja wa chuo anasema anatafuta wazungu...uku tabora..hataki ku date mswahili...na amedhamilia anakwenda kunywa pande hizo.
 
Mmh, nyuma ya pazia ni maslah binafsi

Penzi la kweli huwa halina masharti, kama aliwahi date mzungu kwa kumpenda for real, haimaanishi kuwa akitokea mzungu mwingine LAZIMA watapendana.

Ukiona hivyo jua ni biashara kiaina hivi.

Na wakaka wa kiswahili wana baadhi wana mentality kuwa ukishadate mzungu 'umepinda' hata akimpata mwanamke wa aina hiyo anajiweka part time.

:wink::wink: Usinikumbushe....Kazee Kamoja Kalizama Dubwi kwenye bwana la kuogelea pande za Znz...Wakati flan nachekaja mpaka leo nikikukumba.

Ila nini wale wazee na vijana wa kuzungu huwafanya dada zetu kuweweseka na kuwatafuta mara wakishaanza nao? Dah kimenisukuma kuona kasumba hii dada mmoja wa chuo anasema anatafuta wazungu...uku tabora..hataki ku date mswahili...na amedhamilia anakwenda kunywa pande hizo.
 
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?

Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?

Najiuliza sana ni kwanini.

Mara nyingi huwa ni chaguo la mtu au utumwa wa kifikra(wenye low self esteem wanadhani wataheshimika zaidi wakioana na wazungu kwa sababu wanadhani mzungu ndio mtu bora). Kwa hiyo hata kama ataachana na mzungu wa kwanza atatafuta mzungu mwingine kwa sababu akili yake ndio inavyomtuma. Na hata kama atarudi kwa mweusi ni kwa kujishikiza tu hadi hapo atakapopata mzungu mwingine.

Mwanaume wa kiswahili akishaona mwanamke anababaika na wazungu lazima either atampotezea au atatia na kukimbia kwa sababu anajua mwanamke wa aina hiyo hawezi kutulia nae.
 
Mh!mimi na mswahili wangu wala sigombwi na mtu,mliowahi kua na wadhungu mkuje pande hii mtupe majibu!
 
Wazungu niwetu,walitununulia shanga, tukavaa shingoni!kila mtu ana rangi vigezo anavyotaka ktk love!mimi binafsi wazungu hata unishikie na bunduki siwataki!heshimu maamuzi ya wenzio
 
Labda tukipata Dada aliyewahi kuwa na mzungu aje atoe ushuhuda lakini kwa mtazamo wangu naona ni kuwa labda ni ule utofauti wa lifestyle za wazungu na sie waswahili dada atazoea aina fulani ya maisha na itamuwia vigumu kuishi na mswahili
Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around it
 
He he he he he
Nacheka mengi ujue?

Ukitaka kujua utamu wa vibabu vya kizungu nenda swimming pool, vinatongoza hadi vinajizamisha.

Duh umenifanya nimecheka mpaka.swimming pool gani hiyo ?wanaokolewa au wanaachwa.wewe ni kiboko
 
Back
Top Bottom