Kama mtu kajaribu ndimu na kaona ni chungu, na akakuambia asilimia 99 ni chungu, is up 2u kujaribu ama kutojaribu.
Kama kaona mume wa mtu ni dili ya mujini, hiyo ni her experience, is up 2u kukubaliana nayo au kutokubaliana nayo.
Ila wale wanao ishi kwa ma dili ya mujini kama yake watamuelewa, na wale wanaotaka kuishi kwa madill ya mujini kama hayo watafunguka macho, na kujaribu kama ni kweli.
Kama mtu akikuambia YESU ni bwana, yeye kamuona ni bwana, is up 2u kukubaliana nae au kutokubaliana nae.
Hayo ya kupika is in your head,
Inaonesha you are too young, ngumu kuelewa mpaka upate experience ya maisha kwanza.
Haya ya JF mbona ni madogo sana. Anyway kama unaona JF haikufai ni bora kusepa bi dada, ili husipindishwe.
Samahani tena kwa hilo.