Aseme tu "kwa experience yake ndimu ni chungu". Asiseme asilimia 99 ni chungu maana hakujaribu sample ya kutosha na hakutumia methods za kisayansihuyu nae aseme "kwa wale wanao tafuta hela za raisi na wako tayari kufunga macho on their morals basi wajaribu waume za watu sababu KWA EXPERIENCE YAKE ameona dili hii inalipa. Sio afanye generality. And then watakao taka watajaribu based on these INFORMAL information. sio trusted source.Hapa unazungumzia gospel au injili. Kwa hiyo mtu wowote akija hapa JF under an anonymus pseudo na akasema wazungu ndio wanafaa, 99% ya watu weusi ni wasaliti sisi tumuamini kama tunavyo amini injili? think about what you have just said then nipe mwangaza maana naamini this is not what you meant...Kwanza unajuaje I am young? Do you know me? Pili kua young haimaanishi nitakubaliana na any unchecked data that people bring in here. 99% ni statistics toka wapi? kama kichwani mwake aseme ni kichwani mwake, otherwise ni upotoshaji mtupu!hapa sijaelewa kabisa. Sijui ni lugha? Why do you think JF hainifai? Do you think I have such a weak character kwamba vivuli behind computers vinaweza kuni-influence na kunipindisha? Sijaelewa...Bila samahani. Unless kuna kitu kibaya unadhani umefanya?
Hahahaha embu nicheke kwanza. Ndio maana nikasema you are too young to understand this, una upeo mdogo wa kuunderstand.
Mtu akisema 99% maana yake sio wote, do you understand? Maana yake kuna 1% hawapo hivo.
Ila mtu akisema 100% ndio anamaanisha wote wapo hivo. Whats your problem?
So ebu toa mfano wa methods za kisayansi kwanza, kabla sijaendelea.
Kingine, je una uhakika kama dili la mujini analozungumzia huyo dada ni la pesa kiraisi, au na wewe unahisi na kupika pia?
Vile vile nilisha sema, 99% ya wazungu wapo hivo kutokana na my experince, na nilishasema is up to you kuamini or kutokuamini, mbona hauelewi wewe jamani, au unatatizo la dyslexia?
Kwa wewe mwenzangu hata ukiambiwa maziwa asilimia 99 meupe utadai statics na methods za kisayansi, zinazosema kama maziwa ni meupe. Na ukiambiwa mzungu asilimia 99 ni mweupe utadai statics na source.