Dada zetu mtatuua jamani

Dada zetu mtatuua jamani

Status
Not open for further replies.

Ohooo wakuu mmea kutuletea na wafuga rasta tehe tehe tehe.

Wewe ushaona mwana CCM yoyote anamiliki madanguro na Kumbi za Starehe za usiku?

CDM are better in this!!!

Hatukatai ndio hawamiliki ila ni wateja wa kudumu wa hizo bidhaa.

AuntEzekiel11.jpg
Heri mimi hizo kitu hazinisumbui

Wewe ushaona mwana CCM yoyote anamiliki madanguro na Kumbi za Starehe za usiku?
CDM are better in this!!!

Unajua club La Casa Chica ya Tanga? Hujui inamilikiwa na kada wa CCM???????? Usiandike upupu wako kama hujafanya utafiti

Hao ndo wale wa kanga moja ndembendeme,hv leo watakuwa wap?

hapa hafi mtu kwa tamaa ila nahisi nitakufa kwa kutapika, maana kichefuchefu cha hali ya juu na hasira.
Ningekuwa na uwezo ningewapiga kiberiti wote.

Mwanamke ye yote anayetoka nje katika style hii ni muhuni (samahani kama nimewaudhi). Mwenye heshima yake hata siku moja hatosubutu kuondoa mguu wake nyumbani kiaina hii.

Loh! Ewe Mwenyezi Mungu wetu tunusuru na nakama hii kwa watoto wetu.

hamna cha kukuua hapo labda ubwege na tamaa zako tu ndiyo kitanzi chako mwenyewe kwaqni umekamatwa
na kulazimishwa?

ITAFIKA SIKU HATA MTU AKIKALIA UCHI SIO DILL ACHA HUO UTUPU NUSU WA Sasa

Du!, mitaa hii ndio ambayo shetani anaitembelea personally hawezi tuma mjumbe hapa!

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom