Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndan ambayo ina ukubwa kisi gan hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana ! Ndo kututega au ?
Kizuri..........., kibaya..........!
 
We hujaona ngozi...umeona tuuu nguo unalalamika je ukiona ngozi??

Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndan ambayo ina ukubwa kisi gan hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana ! Ndo kututega au ?
 
aaarghh!...wacha mauwa ya dunia yachanue jamani, ndiyo mapambo yenyewe hayo!
 
Teh teh king'asti unaua, kumbe kweli bhana i xperinced that.hahaha mbav zangu mie

...mmmh suri funika basi hiyo night dress maana watu wanarudia mara nanenane kusoma post yako kwaajili ya avatar yako...
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha...alafu Gefu mi nawewe sio watani wa jadi. Kwetu tumezoea bana twapunga upepo:A S wink:
 
Usitake kuturudisha enzi zile za kusoma shule za Bweni wavulana watupu, maana hata beki tatu wachafu wa walimu wakija kutuuzia mboga mboga kwetu walikuwa dili. Yote hiyo ilisabababishwa na kufungiwa getini miezi takribani mitano bila kuona Mipunyenye kama hiyo.

Hivyo wanawake/dada zetu waachwe watuburudishe njiani angalau kutupunguzia stress za kazi maofisini mwetu.....
 
...mmmh suri funika basi hiyo night dress maana watu wanarudia mara nanenane kusoma post yako kwaajili ya avatar yako...
Avatar nyingine hizi inabidi ziwekewe sensor kama ilivyo kwa maneno, maana nyingine zinafaa zaidi kwa baadhi ya majukwaa maalumu tu....
 
...haswaaa mkuu maana sasivi zitageuka habari ya mujini aisee...!
 
Hahahahaha...alafu Gefu mi nawewe sio watani wa jadi. Kwetu tumezoea bana twapunga upepo:A S wink:

....looh ! huko kwenu raha sana,itabidi nianzishe utani usio wa jadi maana hii ni habari kubwa....
 
Teh teh.. huo utan wako naona utakuwa ukweli sasa...hahahaha ninegomaaa
 
...hahahaaa loh.! unahaki ya kuringa utakavyo maana habari ni nzito, basi ntajipitisha pitisha huenda nikaokota dodo chini ya mpilipili, inawezekana...!
 
Hahahahaha......
Inawezekana kabisa hata nazi chini ya mpapai utaokota tuu Gefu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha......
Inawezekana kabisa hata nazi chini ya mpapai utaokota tuu Gefu

...looh ngoja nijitahidi kupitapita kula siku asubuhi, mchana na jioni angalau likianguka niwe wa kwanza kuwahi...!
 
Kama hujabadilisha mawazo nakwambia. Hujawah kuona mtu anaenda kutambulishwa ukweni alafu anakuta wadogoze na bibie ni matata zaid anajilaumu kimoyomoyo ....
Aaaaah...sijui kwann sikuwaona hawa kwanza....hahahaha
 
...hahaahaaa hapo huyo anakuwa hajatulia kabsaaaa,ukifanya ivo utakuwa unajilaumu kila kuitwapo leo,maana wazuri ni wengi ila mrembo ni mmoja..teh teh teh...
 
Hahaha haya bana
 
bila kuweka picha napata shida sahan kuelewa hiyo miraba ikoje
 
Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndani ambayo ina ukubwa kiasi gani hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nygne hata rangi zake huwa zinaonekana.

Ndo kututega au ?

Yalaumu macho yako coz hukutumwa uangalie wew kinachokufanyaga ugeuke kuangalia mausafir yetu ni nini acha watoto tujiachieeee
 
Back
Top Bottom