Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Huwa unazima[emoji1787]

Daah ila watu[emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie wazazi, ndugu, na marafiki wanajua kabisaa kuongea kwa cm ni sumu kwangu, sanaa watatuma text.

Labda kupiga umbea hapo enyewe ni voice notes tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

dkk 10 niongee nn had masikio yazibukee?? Sio shida zangu
 
Sasa hizo eneji hizo [emoji23]
kuna muda mtu unakuwa umetingwa
Hata nguvu ya kuongea hamna
Tell me, nambie

Kwamba "jamaa hapa sipo vizur kabisaaa, ntakupgia nikiwa sawa" kuliko kuongea kama umelazimishwaa

Talk, ndo njia rahisi zaidi yakuelewana
 
Nyie ndo wenyewe, hakuna sabab ya maneno mengi

Mana hata uongeeje kama sina sinaa na kama nnayo nnayo

Wengine sasa "unajua baby, mama samia katutoa mbali kama nchi......, bla blaaaaa mwisho naomba kiasi flani"[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kuomba helaa ndo uzungukeee?? Mie natuma text
Tena bila salamu, "naomba kias fulan nataka kufanyia hivi"

Yeye ndo atauliza hata salamu hakuna, namjibu "ningeanza na salamu ungesema nakutega" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mie jeurii, afu kavu sanaaa.
 
Tell me, nambie

Kwamba "jamaa hapa sipo vizur kabisaaa, ntakupgia nikiwa sawa" kuliko kuongea kama umelazimishwaa

Talk, ndo njia rahisi zaidi yakuelewana
Ok sawa
Tell me, niambie?

Hizo korokoro mbona zina maana sawa 😂
Nikikusikia ndio unaanza hivyo utaniboa mapema
 
Kweli kabisa , mimi kuna mtu ananikera yaani nikiwa nae hata sim yangu hataki nishike!!! Anataka tu tuongee muda wote nakereka sana.

Wanawake punguzeni hii tabia, nashindwa kumchana me sipendi kuongea sana ila ndo hivo ataona kama sijali hisia zake
Ndo manaa wanaume tunakufa mapema[emoji23]

Tunajali sana hisia za hawa viumbe afu hatujijali wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie wazazi, ndugu, na marafiki wanajua kabisaa kuongea kwa cm ni sumu kwangu, sanaa watatuma text.

Labda kupiga umbea hapo enyewe ni voice notes tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

dkk 10 niongee nn had masikio yazibukee?? Sio shida zangu
ila sio kwa kuwazimia simu lakini[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Habari


Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume tunaukuchukulia huu kama usumbufu

Wanaume wengi waliooa wanakauli yao "Mke wangu ana kelele sana" hapo sio kwamba mwanamke anakuja sikioni kwa mwanaume na kupiga ukunga[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788],,, hapaaanaaa, wanamaanisha wake zao wanaongea sanaaa alafu wanavyoyiongea hawavielewi, na hiyo ndio tafsiri ya kelele (sauti isiyoeleweka)

Imagine unampigia mtu wako simu mnapeana hi, mnachombezana kidogo, kutiana nyege, kusifiana na vitu kama hizo safi almost dakika 7 au zimeenda sana mpaka 10, kamwanamke kanakuambia "Nambie" ,, unaona sio kesi unaleta story za uongo na ukweli mnaenda mpaka dakika 15 anakuambia tena, "Nambie" what the hell?, nikuambie nini tena sasa au nianze kukutajia vifaa vya humu ghetto?

Nieleweni, tunapenda sana kuongea na ninyi na kuwasikiliza Kwa sabab mna sauti na maneno mazuri ila hatupendi kuongea sanaaaa na nyinyi, yani shida yetu sisi ni kwenye "sana" hapo, zikivuka tu dakika 15 wanaume wengi tunaanza kuboreka na hayo maongezi

Mtu unaongea nae mpaka dakika 30, mpaka akili inaama sasa, mnaenda mpaka dakika 45 unatengeneza mazingira ya kukata simu jitu bado linataka tu muongee, mama tunataka tupindue nchi?, unakufa au mimi nakufa kesho? basi unaona sio kesi unakata simu, then unamtumia text "dakika zimekata baby tutaongea kesho mpenzi" jitu LINAPIGAAA[emoji849]

Unless kuna kitu tunajadili au kuna conflict baina yetu tuna i-settle hapo sawa we can do it mpaka tufikie muafaka, but hizi regular call za gud night, umeamkaje na umeshindaje kutumia mda mwingi huwa zinaboa

Kuna ujinga mnajazana kwamba "Usipomsikiliza wewe akipata wa kumsikiliza utatombewar"

kwahiyo mimi NISPEND ALMOST ONE HOUR EVERY DAMN DAY ON THIS EARTH UNCOMFORTABLY JUST ENDURING YOUR F*CKING NOISES FOR THE SAKE OF NISITOMB*WE? aisee Mt*mbeni tu jioni atarudi[emoji119]

Mwanaume dakika 5 mpaka 10 kama hamna cha maana mazungumzo yaishie hapo, ukiendelea hapo unampigia kelele


"All generalizations are dangerous, even this one"
~Alexandre Dumas-fils
Aisee nimechekaaaaaaa😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimeisoma kwa sauti ya wanaume nnaowajua Nimechekaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kuomba helaa ndo uzungukeee?? Mie natuma text
Tena bila salamu, "naomba kias fulan nataka kufanyia hivi"

Yeye ndo atauliza hata salamu hakuna, namjibu "ningeanza na salamu ungesema nakutega" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mie jeurii, afu kavu sanaaa.
Hivi ndo inatakiwa[emoji23]

Sema uwe unaanza na salam[emoji1787]
 
Ok sawa
Tell me, niambie?

Hizo korokoro mbona zina maana sawa [emoji23]
Nikikusikia ndio unaanza hivyo utaniboa mapema
[emoji23]

Mtu kama anaboa mwambie ila kama unajua atakasilika bora umwambie ntakucheki
 
Nshawahi mzimia baba cm, nkakaa km dkk 25, nkaiwasha nkatuma text "sorry cm ilizima ghaflaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah kuna vichaa zaidi yangu kwenye hii sekta yakutopenda kuongea na simu[emoji23]
 
Hivi ndo inatakiwa[emoji23]

Sema uwe unaanza na salam[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nisidanganye mie salamu imenipita kushotoo, hata wazazi au ndugu na jamaa.

Km nataka kuomba chochote, ntaanza na "sorry fulaani" afu naeleza shida yangu. Wameshazoea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Baba tam salamu yangu haijui, labda aanze yeye.uwiiiiih
 
Back
Top Bottom