Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Afu mimi kwenye hela sianzii mbali
Nakiweka wazi mapema mno
Unanipa au unaninyima sawa
Et nikupambeee ndio nieleze shida zangu? Ah siwezi
Nyie ndo wenyewe, hakuna sabab ya maneno mengi

Mana hata uongeeje kama sina sinaa na kama nnayo nnayo

Wengine sasa "unajua baby, mama samia katutoa mbali kama nchi......, bla blaaaaa mwisho naomba kiasi flani"[emoji849]
 
Kuna muda unatamani fulani akupigie au akutext
Ila ndio bila bila 😂😂😂
Jifanyeni mnaringia call zetu.. tukiwatenga!! Mtatumiss af mkitucheck hatupo tena hapo
We waache tu
 
Lazima nipokee, navyopenda ubuyu😂

Kumbe unatusumbuaga wengi, siku tukiamua tutakufanyia mgomo baridi

Hahahaa na kweli, week 2 nyingi mngekua mshashindwana kwa style yako.
Unazanigi kila muda mie nna habari mpya za Sinza 😂😂

Hamuwezi, dogo wa chuo akiona cm anadhani ni hela, atapokea chap. Ww utadhani ni ubuyu. Mama atajua namsalimia. Yan hamuwezi 🤣🤣
 
Nyie ndo wenyewe, hakuna sabab ya maneno mengi

Mana hata uongeeje kama sina sinaa na kama nnayo nnayo

Wengine sasa "unajua baby, mama samia katutoa mbali kama nchi......, bla blaaaaa mwisho naomba kiasi flani"[emoji849]
😂🤣🤣 sisi tusio na maneno mengi si mnasemaga hatupo kiromantic
 
Kuna muda unatamani fulani akupigie au akutext
Ila ndio bila bila [emoji23][emoji23][emoji23]
Jifanyeni mnaringia call zetu.. tukiwatenga!! Mtatumiss af mkitucheck hatupo tena hapo
[emoji23][emoji23]

Nikimmiss mtu huwa naenda hewan chap

Afu Kuna ile energy mtu unayemtafuta anakuwa nayo unajua kabisa kafurahia simu yangu au inamboa

Kama mtu hapend kuwasilian na mimi ni kama tu mwanamke ambaye anipend ni kumpotezea tu
 
Unazanigi kila muda mie nna habari mpya za Sinza 😂😂

Hamuwezi, dogo wa chuo akiona cm anadhani ni hela, atapokea chap. Ww utadhani ni ubuyu. Mama atajua namsalimia. Yan hamuwezi 🤣🤣
Yaani hapo ndio hua unanikamata🤣🤣
Nikiona simu yako fastaa najiandaa kucheka

Me mtu ambaye hawezi kuongea na simu muda mwingi nitapata naye shida sana.
 
Wana boa sana ,masimu tu na mameseji kila wati.Mi wananijua nikikwambia tu " kuna issue naifanya,ntakucheki".Ndio imetoka hiyo utapiga masimu yako na mamessage mpaka utachoka mwenyewe.
 
emoji23.png
emoji23.png


Nikimmiss mtu huwa naenda hewan chap

Afu Kuna ile energy mtu unayemtafuta anakuwa nayo unajua kabisa kafurahia simu yangu au inamboa

Kama mtu hapend kuwasilian na mimi ni kama tu mwanamke ambaye anipend ni kumpotezea tu
Sasa hizo eneji hizo 😂
kuna muda mtu unakuwa umetingwa
Hata nguvu ya kuongea hamna
 
Navyopenda kuongea na simu hee
Labda kama vibe hazimatch so hamna story

Na nashukuru nina marafiki mnapenda kuongea na simu so full kuenjoyyy
😂 nyie ndio simu zenu uwa zinaangaliwa na kina naniiii
Wanaangalia huku wanacheza mdundo wa mlio
 
Wana boa sana ,masimu tu na mameseji kila wati.Mi wananijua nikikwambia tu " kuna issue naifanya,ntakucheki".Ndio imetoka hiyo utapiga masimu yako na mamessage mpaka utachoka mwenyewe.
Hivo ndo kunaendaga[emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Kweli kabisa , mimi kuna mtu ananikera yaani nikiwa nae hata sim yangu hataki nishike!!! Anataka tu tuongee muda wote nakereka sana.

Wanawake punguzeni hii tabia, nashindwa kumchana me sipendi kuongea sana ila ndo hivo ataona kama sijali hisia zake
 
Back
Top Bottom