Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Dr criminal

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2022
Posts
2,284
Reaction score
4,334
Habari


Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume tunaukuchukulia huu kama usumbufu

Wanaume wengi waliooa wanakauli yao "Mke wangu ana kelele sana" hapo sio kwamba mwanamke anakuja sikioni kwa mwanaume na kupiga ukunga[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788],,, hapaaanaaa, wanamaanisha wake zao wanaongea sanaaa alafu wanavyoyiongea hawavielewi, na hiyo ndio tafsiri ya kelele (sauti isiyoeleweka)

Imagine unampigia mtu wako simu mnapeana hi, mnachombezana kidogo, kutiana nyege, kusifiana na vitu kama hizo safi almost dakika 7 au zimeenda sana mpaka 10, kamwanamke kanakuambia "Nambie" ,, unaona sio kesi unaleta story za uongo na ukweli mnaenda mpaka dakika 15 anakuambia tena, "Nambie" what the hell?, nikuambie nini tena sasa au nianze kukutajia vifaa vya humu ghetto?

Nieleweni, tunapenda sana kuongea na ninyi na kuwasikiliza Kwa sabab mna sauti na maneno mazuri ila hatupendi kuongea sanaaaa na nyinyi, yani shida yetu sisi ni kwenye "sana" hapo, zikivuka tu dakika 15 wanaume wengi tunaanza kuboreka na hayo maongezi

Mtu unaongea nae mpaka dakika 30, mpaka akili inaama sasa, mnaenda mpaka dakika 45 unatengeneza mazingira ya kukata simu jitu bado linataka tu muongee, mama tunataka tupindue nchi?, unakufa au mimi nakufa kesho? basi unaona sio kesi unakata simu, then unamtumia text "dakika zimekata baby tutaongea kesho mpenzi" jitu LINAPIGAAA[emoji849]

Unless kuna kitu tunajadili au kuna conflict baina yetu tuna i-settle hapo sawa we can do it mpaka tufikie muafaka, but hizi regular call za gud night, umeamkaje na umeshindaje kutumia mda mwingi huwa zinaboa

Kuna ujinga mnajazana kwamba "Usipomsikiliza wewe akipata wa kumsikiliza utatombewar"

kwahiyo mimi NISPEND ALMOST ONE HOUR EVERY DAMN DAY ON THIS EARTH UNCOMFORTABLY JUST ENDURING YOUR F*CKING NOISES FOR THE SAKE OF NISITOMB*WE? aisee Mt*mbeni tu jioni atarudi[emoji119]

Mwanaume dakika 5 mpaka 10 kama hamna cha maana mazungumzo yaishie hapo, ukiendelea hapo unampigia kelele


"All generalizations are dangerous, even this one"
~Alexandre Dumas-fils
 
Hata wanaume wapo wenye hii tabia. Mtu akishafikia hapo namuaga tutawasiliana wakati mwingine. Kuna muda mnaweza mkaongea muda mrefu itategemea nn mnaongelea ila sio kila wakati, sio kila siku inachosha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa ke ndio sana (ingawa nakubaliana na wewe kuna masela nao vichomi) na anakupa lawama kua umebadilika mbona awali mlikua mnaongea muda mrefu. Anashindwa kujua hapo awali mlikua na issues za kujadili sasa hivi tunajuliana hali.
 
Nafikiri wabongo wengi bado hatuja tambua swala zima linalo husiana na communications key point & time management.

Lakini kwa wanawake, moja kati ya mahitaji yao ya msingi ni pamoja na kutaka kusikilizwa.

Yaani mwnamke ameumbika tu kwamba anaweza akwa anaongea hata upuuzi na anataka mtu wa kumsikuliza.
 
Tunaweza kuongea mpaka dakika zinaisha kwenye maongezi tutaingizia vitu vingi pale kwenye lift tulivyonana, ile lunch time, nguo aliyovaa leo, usafiri, bites na snacks....kufanya kazi jengo moja unakuta jioni munavingi vya kuongelea
 
Tunaweza kuongea mpaka dakika zinaisha kwenye maongezi tutaingizia vitu vingi pale kwenye lift tulivyonana, ile lunch time, nguo aliyovaa leo, usafiri, bites na snacks....kufanya kazi jengo moja unakuta jioni munavingi vya kuongelea
Ndio kila siku? Duhh!! hio kitu mimi sina kwanza mvivu sana kuongea.
 
Back
Top Bottom