Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Halafu wengine kila baada ya kipindi kifupi anapiga simu sijui hawana kazi za kufanya?!

Walau asubuhi na jioni lakini kuzidi hapo ni usumbufu Na kuchoshana!

Unless kuwe na jambo maalum
Mi mpaka huwa nataman kuuliza

Hivi wewe hauna kazi zingine [emoji23]
 
Studies za saikolojia ya mahusiano inasema kuwa “ Men need to vent”
Wanaume huwa wanapenda kupata nafasi ya kupumua na sio kubanwa na mahusiano na mawasiliano!

Ni kweli mawasiliano ni muhimu kwenye mahusiano lakini sio kiivyoo, inapaswa kuwa at very minimal time Na hupelekea ku-miss -ana .

Kinyume cha kum-miss mtu ni kumchosha mtu Yaani boring!
Umetoa summary nzuri sana
 
Wanawake wengi hawajui madhara ya kelele kwenye mahusiaano thus wanaachika, uliwa, ulemavu, vipigo KWA sababu ya kelele. Wakikaa kimya wataziponya ndoa zao.
Yeah mkuu sure
 
........duuu tunatofautiana kwakweli, labda kutokan na principles za demand and supply ambazo zinadai ukiwa na kitu unakinai na hukitaki tena.......naomba Mungu anisaidie nimpate hata mmoja tu anaetaka kambiwa(hao wa 'nambie' mi ntamwambia tu) kila saa na kutaka kuongea siku nzima......
Mzee vikizidi huwa ni usumbufu
 
Daaah nilidhani kwangu mimi tu labda sipo romantic kumbe na kwa wengine

Mm natumiaga njia ya kusema salio limekata [emoji3],tuchart kwa msg au wasap
Unakuta mtu mnaongea nusu saa hamalizi mpk akili inahama humsikilizi tena.
Tupi wengi sana mkuu
 
Kuna manzi alikua anatuma text kama zote akiomba nimpigie (hata kama yeye dakika anazo). Unahisi ana bonge la tatizo unapiga, basi hapo atataka muongee hata saa zima na story ya maana hakuna aisee.

Hii hutokea sana kwa mwanamke akiwa hana la kufanya, hawa watu upweke kwao ni ugonjwa mkubwa sana. Akiwa mpweke atakusumbua mno na usiombe awe na dakika.
 
mim pisi yangu moja ya miaka ya 20's tupo pamoja ni mwaka wa pili huu sasa alianza na upuuzi huu huu anataka tuongeage tu anadai ndio mapenz nikawa namkemea snaa iyo ni baada ya kumuelekeza kuwa nachoka kiakili ninapoulazimisha ubongo kuongea wakat nikiwa na usingiz mzito anachukia kinoma.

alikubariana namim kuhusu kutoongea sana usiku ila anatabia anabid kila baada ya lisaa ivi ili kujua kuwa simu inatumika ama vp sasa sijui ananilindia usiku kucha.

ni upuuzi
Hivyo vya 20's hivyo mzee[emoji23][emoji23][emoji119]

Sijui kwann wanapenda sana kuongea

Nafikiri Wenda Kwa sabab hawana kaz zinazochosha
 
Nilvyo sipendi kuongea na cm, zikizidi 10 nakata kwa kuizima cm, nakaa dk 15 naiwasha, najua hatopiga tena. Akpiga wakat mwgne ntamkera kwa kumuambia cm mbovu simsikii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine unampigia mtu wako simu mnapeana hi, mnachombezana kidogo, kutiana nyege, kusifiana na vitu kama hizo safi almost dakika 7 au zimeenda sana mpaka 10, kamwanamke kanakuambia "Nambie" ,, unaona sio kesi unaleta story za uongo na ukweli mnaenda mpaka dakika 15 anakuambia tena, "Nambie" what the hell?, nikuambie nini tena sasa au nianze kukutajia vifaa vya humu ghetto?
 
Kuna muda hadi huwa nawaza labda kwa vile mie haya mambo nimeyaanza ukubwan kiukwel kipaji cha kuongea dk nying na mwanamke huwa siwez

Mke wangu kila siku huwa tunaongea hayo hayo mpaka nataman hata nimalize wk nzima bila kuongea nae ili siku tukiongea niwe na mastory mengi lakin hatak anataka tuzungumze kila siku wakat yeye ni wa kunisikiliza mimi tu
 
Upo sahihi kabisa nigga! Nilikuwaga na manzi fulani mwaka 2019.... yani anaongea adi sio poa masaaa ma4 hewani nisipopokea simu ugomvi anasema nina wanawake wengi! Ila mwisho wa siku nilipiga chini maana ile ni kero aise
Imagine 4hrs[emoji23]

Hata mi nisingetoboa[emoji23]
 
Back
Top Bottom