Kabisa ๐Watu wa hivyo wanachosha sana. Mtu akifikia habari za niambie namuaga tutawasiliana muda mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari
Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume tunaukuchukulia huu kama usumbufu
Wanaume wengi waliooa wanakauli yao "Mke wangu ana kelele sana" hapo sio kwamba mwanamke anakuja sikioni kwa mwanaume na kupiga ukunga[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788],,, hapaaanaaa, wanamaanisha wake zao wanaongea sanaaa alafu wanavyoyiongea hawavielewi, na hiyo ndio tafsiri ya kelele (sauti isiyoeleweka)
Imagine unampigia mtu wako simu mnapeana hi, mnachombezana kidogo, kutiana nyege, kusifiana na vitu kama hizo safi almost dakika 7 au zimeenda sana mpaka 10, kamwanamke kanakuambia "Nambie" ,, unaona sio kesi unaleta story za uongo na ukweli mnaenda mpaka dakika 15 anakuambia tena, "Nambie" what the hell?, nikuambie nini tena sasa au nianze kukutajia vifaa vya humu ghetto?
Nieleweni, tunapenda sana kuongea na ninyi na kuwasikiliza Kwa sabab mna sauti na maneno mazuri ila hatupendi kuongea sanaaaa na nyinyi, yani shida yetu sisi ni kwenye "sana" hapo, zikivuka tu dakika 15 wanaume wengi tunaanza kuboreka na hayo maongezi
Mtu unaongea nae mpaka dakika 30, mpaka akili inaama sasa, mnaenda mpaka dakika 45 unatengeneza mazingira ya kukata simu jitu bado linataka tu muongee, mama tunataka tupindue nchi?, unakufa au mimi nakufa kesho? basi unaona sio kesi unakata simu, then unamtumia text "dakika zimekata baby tutaongea kesho mpenzi" jitu LINAPIGAAA[emoji849]
Unless kuna kitu tunajadili au kuna conflict baina yetu tuna i-settle hapo sawa we can do it mpaka tufikie muafaka, but hizi regular call za gud night, umeamkaje na umeshindaje kutumia mda mwingi huwa zinaboa
Kuna ujinga mnajazana kwamba "Usipomsikiliza wewe akipata wa kumsikiliza utatombewar"
kwahiyo mimi NISPEND ALMOST ONE HOUR EVERY DAMN DAY ON THIS EARTH UNCOMFORTABLY JUST ENDURING YOUR F*CKING NOISES FOR THE SAKE OF NISITOMB*WE? aisee Mt*mbeni tu jioni atarudi[emoji119]
Mwanaume dakika 5 mpaka 10 kama hamna cha maana mazungumzo yaishie hapo, ukiendelea hapo unampigia kelele
"All generalizations are dangerous, even this one"
~Alexandre Dumas-fils
Zumaridi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nafikiri wabongo wengi bado hatuja tambua swala zima linalo husiana na communications key point & time management.
Lakini kwa wanawake, moja kati ya mahitaji yao ya msingi ni pamoja na kutaka kusikilizwa. Yaani mwnamke ameumbika tu kwamba anaweza akwa anaongea hata upuuzi na anataka mtu wa kumsikuliza.
Maisha na mapenzi just hayana formula tu kuna mambo mengi yanaweza kuwa factor kuwa unaweza fanya hivyo au usiweze kwasabu mahusiano yapo aina tofauti pia na umri wa penziNdio kila siku? Duhh!! hio kitu mimi sina kwanza mvivu sana kuongea.
Kwanini haukuniambia kama hampendi Pa', niwe naongea dakika 1 unusu..!!๐คญHuyo ni kama nyau wangu mmoja hivi, kuna siku tunafika hata 5:30 am tangu 11:30Pm ๐
Kuna Watu wana nyota zao maridadi humu JF, inakuwaje PISI KALI ya Chelsea FC ifaidiwe na Shabiki la Nyumbu FC (Man Utd)? [emoji15][emoji30]Kwanini haukuniambia kama hampendi Pa', niwe naongea dakika 1 unusu..!![emoji2960]
Sure mkuu, wanachoshaWatu wa hivyo wanachosha sana. Mtu akifikia habari za niambie namuaga tutawasiliana muda mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni
Huwa napataa hasira mkuu [emoji23]Hizo niambie huwa zinakera mimi huwa namwambia aniambie yeye kama anacho cha kuniambia, anajibu sina then atarudia tena kauli ya niambie. Siipendi
Hawaelewagi tu[emoji23]Yaani mimi ndio nakerekaga mno....
maongezi ya simu mwisho dkk 5 tu baada ya hapo huwa naona kero tu.
halafu yy anakadhana muendelee sijui anasikia raha tu kusikia sauti lako zito zito.
SureInachosha mno ni uongo kila siku mkawa na chakuzungumza for 5+ minutes ni uongo
ila isiwe daily mkuu[emoji23]Nafikiri wabongo wengi bado hatuja tambua swala zima linalo husiana na communications key point & time management.
Lakini kwa wanawake, moja kati ya mahitaji yao ya msingi ni pamoja na kutaka kusikilizwa. Yaani mwnamke ameumbika tu kwamba anaweza akwa anaongea hata upuuzi na anataka mtu wa kumsikuliza.
[emoji23]Haya maongezi ya simu hayana shida.
Shida zile kelele za jioni urudipo nyumbani umechoka!
Pale mwanzo it's ok mana mna mengi yakuongeahii mara nyingi ni mahusiano yakiwa mapya.