Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Wanajua weakness yangu
Hawakasiriki
Cha zaidi waniambie nadeka au mkorofi

Leo nimejitahidi kutoka ofisini mpk bank bila kumpigia mtu simu. Nimehisi kuanguka huko njiani

Cc Lenie
🤣🤣🤣 Usinikumbushe
Kuna saa nikiona simu yako tu, najua huyu anataka kusindikizwa mahali, hana la muhimu
Ila nitafanyaje sasa, najikuta nishapokea

Ungekua mke wa mtoa mada, angekua kashakurudisha kwenu kitambo 😂
 
Utaingizwaje mkenge bila yeye kuongea
Kama ananipiga mzinga apige fasta tuangalie mambo mengine

Kama alinicheat sasa anongea mda mwingi na mm kama njia ya ku-heal majuto huo ni ubinafsi mi haunisaidii

Kama ananichunga nisichepuka anajichosha
 
Kuna manzi alikua anatuma text kama zote akiomba nimpigie (hata kama yeye dakika anazo). Unahisi ana bonge la tatizo unapiga, basi hapo atataka muongee hata saa zima na story ya maana hakuna aisee.

Hii hutokea sana kwa mwanamke akiwa hana la kufanya, hawa watu upweke kwao ni ugonjwa mkubwa sana. Akiwa mpweke atakusumbua mno na usiombe awe na dakika.
Shida ndo hiyo

Wakati yeye unamuondolea upweke

Yeye anakuletea udhia
 
Nilvyo sipendi kuongea na cm, zikizidi 10 nakata kwa kuizima cm, nakaa dk 15 naiwasha, najua hatopiga tena. Akpiga wakat mwgne ntamkera kwa kumuambia cm mbovu simsikii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa unazima[emoji1787]

Daah ila watu[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kuna muda hadi huwa nawaza labda kwa vile mie haya mambo nimeyaanza ukubwan kiukwel kipaji cha kuongea dk nying na mwanamke huwa siwez

Mke wangu kila siku huwa tunaongea hayo hayo mpaka nataman hata nimalize wk nzima bila kuongea nae ili siku tukiongea niwe na mastory mengi lakin hatak anataka tuzungumze kila siku wakat yeye ni wa kunisikiliza mimi tu
Hapana mkuu wanaume tupo hivo

Na kinachochosha zaidi

Wenyewe huwa ni wasikilizaji tu
 
Wanajua weakness yangu
Hawakasiriki
Cha zaidi waniambie nadeka au mkorofi

Leo nimejitahidi kutoka ofisini mpk bank bila kumpigia mtu simu. Nimehisi kuanguka huko njiani

Cc Lenie
[emoji23][emoji106]
 
🤣🤣🤣 Usinikumbushe
Kuna saa nikiona simu yako tu, najua huyu anataka kusindikizwa mahali, hana la muhimu
Ila nitafanyaje sasa, najikuta nishapokea

Ungekua mke wa mtoa mada, angekua kashakurudisha kwenu kitambo 😂
Yan kuna ww, tall dark, mama, na yule dogo wa chuo au nitoke na mtu anisindikize. Bila hivyo nakuwa na wakati mgumu njiani 😂😂

Na ukipokea unaanza mashauzi ya mfanyakazi bora🤣

Kwanza ningemshindwa tokea uchumba, tusingefika ndoa.
 
Kama ananipiga mzinga apige fasta tuangalie mambo mengine

Kama alinicheat sasa anongea mda mwingi na mm kama njia ya ku-heal majuto huo ni ubinafsi mi haunisaidii

Kama ananichunga nisichepuka anajichosha
Afu mimi kwenye hela sianzii mbali
Nakiweka wazi mapema mno
Unanipa au unaninyima sawa
Et nikupambeee ndio nieleze shida zangu? Ah siwezi
 
Kuna muda unatamani fulani akupigie au akutext
Ila ndio bila bila 😂😂😂
Jifanyeni mnaringia call zetu.. tukiwatenga!! Mtatumiss af mkitucheck hatupo tena hapo
 
Yan kuna ww, tall dark, mama, na yule dogo wa chuo au nitoke na mtu anisindikize. Bila hivyo nakuwa na wakati mgumu njiani 😂😂

Na ukipokea unaanza mashauzi ya mfanyakazi bora🤣

Kwanza ningemshindwa tokea uchumba, tusingefika ndoa.
Lazima nipokee, navyopenda ubuyu😂

Kumbe unatusumbuaga wengi, siku tukiamua tutakufanyia mgomo baridi

Hahahaa na kweli, week 2 nyingi mngekua mshashindwana kwa style yako.
 
Back
Top Bottom