Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

Halafu wengine kila baada ya kipindi kifupi anapiga simu sijui hawana kazi za kufanya?!

Walau asubuhi na jioni lakini kuzidi hapo ni usumbufu Na kuchoshana!

Unless kuwe na jambo maalum
 
Studies za saikolojia ya mahusiano inasema kuwa “ Men need to vent”
Wanaume huwa wanapenda kupata nafasi ya kupumua na sio kubanwa na mahusiano na mawasiliano!

Ni kweli mawasiliano ni muhimu kwenye mahusiano lakini sio kiivyoo, inapaswa kuwa at very minimal time Na hupelekea ku-miss -ana .

Kinyume cha kum-miss mtu ni kumchosha mtu Yaani boring!
 
Wanawake wengi hawajui madhara ya kelele kwenye mahusiaano thus wanaachika, uliwa, ulemavu, vipigo KWA sababu ya kelele. Wakikaa kimya wataziponya ndoa zao.
 
........duuu tunatofautiana kwakweli, labda kutokan na principles za demand and supply ambazo zinadai ukiwa na kitu unakinai na hukitaki tena.......naomba Mungu anisaidie nimpate hata mmoja tu anaetaka kambiwa(hao wa 'nambie' mi ntamwambia tu) kila saa na kutaka kuongea siku nzima......
 
Habari

Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume tunaukuchukulia huu kama usumbufu

Wanaume wengi waliooa wanakauli yao "Mke wangu ana kelele sana" hapo sio kwamba mwanamke anakuja sikioni kwa mwanaume na kupiga ukunga[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788],,, hapaaanaaa, wanamaanisha wake zao wanaongea sanaaa alafu wanavyoyiongea hawavielewi, na hiyo ndio tafsiri ya kelele (sauti isiyoeleweka)

Imagine unampigia mtu wako simu mnapeana hi, mnachombezana kidogo, kutiana nyege, kusifiana na vitu kama hizo safi almost dakika 7 au zimeenda sana mpaka 10, kamwanamke kanakuambia "Nambie" ,, unaona sio kesi unaleta story za uongo na ukweli mnaenda mpaka dakika 15 anakuambia tena, "Nambie" what the hell?, nikuambie nini tena sasa au nianze kukutajia vifaa vya humu ghetto?

Nieleweni, tunapenda sana kuongea na ninyi na kuwasikiliza Kwa sabab mna sauti na maneno mazuri ila hatupendi kuongea sanaaaa na nyinyi, yani shida yetu sisi ni kwenye "sana" hapo, zikivuka tu dakika 15 wanaume wengi tunaanza kuboreka na hayo maongezi

Mtu unaongea nae mpaka dakika 30, mpaka akili inaama sasa, mnaenda mpaka dakika 45 unatengeneza mazingira ya kukata simu jitu bado linataka tu muongee, mama tunataka tupindue nchi?, unakufa au mimi nakufa kesho? basi unaona sio kesi unakata simu, then unamtumia text "dakika zimekata baby tutaongea kesho mpenzi" jitu LINAPIGAAA[emoji849]

Unless kuna kitu tunajadili au kuna conflict baina yetu tuna i-settle hapo sawa we can do it mpaka tufikie muafaka, but hizi regular call za gud night, umeamkaje na umeshindaje kutumia mda mwingi huwa zinaboa

Kuna ujinga mnajazana kwamba "Usipomsikiliza wewe akipata wa kumsikiliza utatombewar"

kwahiyo mimi NISPEND ALMOST ONE HOUR EVERY DAMN DAY ON THIS EARTH UNCOMFORTABLY JUST ENDURING YOUR F*CKING NOISES FOR THE SAKE OF NISITOMB*WE? aisee Mt*mbeni tu jioni atarudi[emoji119]

Mwanaume dakika 5 mpaka 10 kama hamna cha maana mazungumzo yaishie hapo, ukiendelea hapo unampigia kelele

"All generalizations are dangerous, even this one"
~Alexandre Dumas-fils
Daaah nilidhani kwangu mimi tu labda sipo romantic kumbe na kwa wengine

Mm natumiaga njia ya kusema salio limekata 😀,tuchart kwa msg au wasap
Unakuta mtu mnaongea nusu saa hamalizi mpk akili inahama humsikilizi tena.
 
mim pisi yangu moja ya miaka ya 20's tupo pamoja ni mwaka wa pili huu sasa alianza na upuuzi huu huu anataka tuongeage tu anadai ndio mapenz nikawa namkemea snaa iyo ni baada ya kumuelekeza kuwa nachoka kiakili ninapoulazimisha ubongo kuongea wakat nikiwa na usingiz mzito anachukia kinoma.

alikubariana namim kuhusu kutoongea sana usiku ila anatabia anabid kila baada ya lisaa ivi ili kujua kuwa simu inatumika ama vp sasa sijui ananilindia usiku kucha.

ni upuuzi
 
Habari

Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume tunaukuchukulia huu kama usumbufu

Wanaume wengi waliooa wanakauli yao "Mke wangu ana kelele sana" hapo sio kwamba mwanamke anakuja sikioni kwa mwanaume na kupiga ukunga[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788],,, hapaaanaaa, wanamaanisha wake zao wanaongea sanaaa alafu wanavyoyiongea hawavielewi, na hiyo ndio tafsiri ya kelele (sauti isiyoeleweka)

Imagine unampigia mtu wako simu mnapeana hi, mnachombezana kidogo, kutiana nyege, kusifiana na vitu kama hizo safi almost dakika 7 au zimeenda sana mpaka 10, kamwanamke kanakuambia "Nambie" ,, unaona sio kesi unaleta story za uongo na ukweli mnaenda mpaka dakika 15 anakuambia tena, "Nambie" what the hell?, nikuambie nini tena sasa au nianze kukutajia vifaa vya humu ghetto?

Nieleweni, tunapenda sana kuongea na ninyi na kuwasikiliza Kwa sabab mna sauti na maneno mazuri ila hatupendi kuongea sanaaaa na nyinyi, yani shida yetu sisi ni kwenye "sana" hapo, zikivuka tu dakika 15 wanaume wengi tunaanza kuboreka na hayo maongezi

Mtu unaongea nae mpaka dakika 30, mpaka akili inaama sasa, mnaenda mpaka dakika 45 unatengeneza mazingira ya kukata simu jitu bado linataka tu muongee, mama tunataka tupindue nchi?, unakufa au mimi nakufa kesho? basi unaona sio kesi unakata simu, then unamtumia text "dakika zimekata baby tutaongea kesho mpenzi" jitu LINAPIGAAA[emoji849]

Unless kuna kitu tunajadili au kuna conflict baina yetu tuna i-settle hapo sawa we can do it mpaka tufikie muafaka, but hizi regular call za gud night, umeamkaje na umeshindaje kutumia mda mwingi huwa zinaboa

Kuna ujinga mnajazana kwamba "Usipomsikiliza wewe akipata wa kumsikiliza utatombewar"

kwahiyo mimi NISPEND ALMOST ONE HOUR EVERY DAMN DAY ON THIS EARTH UNCOMFORTABLY JUST ENDURING YOUR F*CKING NOISES FOR THE SAKE OF NISITOMB*WE? aisee Mt*mbeni tu jioni atarudi[emoji119]

Mwanaume dakika 5 mpaka 10 kama hamna cha maana mazungumzo yaishie hapo, ukiendelea hapo unampigia kelele

"All generalizations are dangerous, even this one"
~Alexandre Dumas-fils
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom