Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

Tafuta pesa mtoto wa kiume acha kulialia

Ndiyo nyie mnaokuja kuimba "sponsor niachie my wangu" huku mmebana pua
 
Mbn unapenda kucoment so personal,alie kuambia mie mekataliwa nani? By the way ujumbe ukufunze kitu, mwanaume hawez kosa mwari hata siku moja

Acha utoto
Teh teh mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eh

Kuna mtu kule juu umemuambia amekata tamaa ya kuolewa kwa sababu amecomment kuwa ndoa siyo lazima ila pale wewe haujajiona kuwa ulifanya personal attack
 
Wanawake lazima mjue kua mna biological factor, (wakati huo wanaume tuna financial factor ambayo effect yake naweza sema ni indirect)

Biological factor kwa wanawake ni kwamba at the age of 18-27yrs Thamani ya mwanamke hasa kimaumbile (kimwili) inakua kubwa sana lakini kadri miaka inavyosonga mbele thamani yake inaanza kupungua hatimaye akifikisha miaka 30+ basi ndio kabisa thamani yake kiuhalisia inakua imepukutika watoto wa mjini wanasema "kushneii au kwisha habari yake", wakati huo mwanaume thamani yake inakua imeongezeka kwa sababu hi process ni vice versa. At the age of 18-25 hivi mwanaume anakua hana thamani lakini kadri miaka inavyosonga anaanza kushika pesa thamani yake inaanza kuongezeka na wakati mwingine kua kubwa zaidi.

Sasa ya nini ninyi dada zetu kuwa na selection nyingi na conditions kibao kiasi cha kusahau kua thamani yenu inakwenda na muda (sina maana mbaya ila kiuhalisia ndio ipo hivyo) hamuoni kua mnajiharibia zaidi maana wengi wenu mkifika above 30 stress za ndoa zinaanza hata maombi yanabadilika mkilikua mnaomba Mungu akupe mwanamume wa sifa zako sasa unaanza kuomba akupe tu anayevaa suruali.

Muda ni ukuta ukishindana nao utaumia wewe, unakuta ka mwanamke kengine kameshafikisha miaka 30+ lakini kanavyochagua wanaume utasema Yesu anachagua mitume wapya, mara ooh nataka mume mwenye six pack wakati huo kenyewe kana kitambi kama cha brother K,, mara nataka mume mwenye pesa wakati kenyewe hakana hata biashara ya kumuingizia hata buku 2 kwa siku.

Mwanamke ukitaka kufanya selection hadi uchoke basi pambana uwe na pesa zako mwenyewe hio kidogo itakuongezea thamani hasa pale biological factor itakapokua imekung'oa meno ya mbele.

Haya Sasa...Kwaiyo umri wako Ukiwa unaenda ukaolewe na usie mpenda...

Mnalazimisha wanawake oleweni tu...WENGINE umri umekwenda Zaaeni TU...

Haha mtu anaolewa na wewe kisa umri kumbe sura yako TU akiioona nahisi kuchefukwa....
Ndo habari za EX ...Mara magunia ya mkaa yanakuhusu.

Ukiolewa at 18 na mtu unaemkubali sawa...na ukiolewa at 40 na mtu unaempenda yoote Sawa...

Wanaume Ni ma advocate wazuri wakusema UKIKOSEA KUOA...imekula kwako..
Lakini wanaamini wanawake yoyote atakae muoa ...Amepatia kuolewa

Sad
 
Imagine unapokea sms na mwandiko huo

Labda ndo maana kaanzisha uzi, amezidi kuachwa "read" kwenye WhatsApp
Sawa nakubar mwandiko wangu mbay lkn cyo kichaka cha ninyi kujifichia kutojadili ushamba wenu

Hii mada ni so sensitive ndio mana mnajaa upepo by the way badilin mtizamo wa kimaisha,muolewe

Teh teh mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eh

Kuna mtu kule juu umemuambia amekata tamaa ya kuolewa kwa sababu amecomment kuwa ndoa siyo lazima ila pale wewe haujajiona kuwa ulifanya personal attack
Mkuki kwa .....
 
Tafuta pesa mtoto wa kiume acha kulialia

Ndiyo nyie mnaokuja kuimba "sponsor niachie my wangu" huku mmebana pua
We pesa ipi umetafuta? af acha hbr za kidemu.....et tafut pes ko ukitoa hoja ndio hutafut pesa

Stress zako za maisha usilete kwa kila mtu jombaaa
 
Sawa nakubar mwandiko wangu mbay lkn cyo kichaka cha ninyi kujifichia kutojadili ushamba wenu

Hii mada ni so sensitive ndio mana mnajaa upepo by the way badilin mtizamo wa kimaisha,muolewe

Umeshaambiwa, aidha tafuta saizi yako au fanya bidii ujiongeze usitake wife au ndo Kwa mteremko. Hata kama ukiwa na vigezo 3 Jati ya vitano unaweza kukubaliwa lakini kama Ni -5 tutaendelea kukupita Mbali.

Better kuwa singo kuliko kuwa kwenye ndoa chungu ndo maana wengi wanaanza kupunguza speed kufunga pingu za maisha.
 
We pesa ipi umetafuta? af acha hbr za kidemu.....et tafut pes ko ukitoa hoja ndio hutafut pesa

Stress zako za maisha usilete kwa kila mtu jombaaa
We huna pesa bana
Ungekuwa nazo usingekuja kulalamika humu kuhusu wanawake wanaotafuta wanaume wenye pesa

By the way kwani hao wanawake wa mtaani kwenu hapo buza nao wana vigezo vingi kama hivyo
Tafuta wa level yako dogo
 
Duh,ko mie kutoa hoja hiyo wewe umetafsiri yamenitokea mie

Af kuhs pes hakuna asiye tafuta jombaa lkn kam jambo hili limekugusa shaur yako man umekamatia bango kam vile ww ndie unatakiw kuolew,damn
 
Duh,ko mie kutoa hoja hiyo wewe umetafsiri yamenitokea mie

Af kuhs pes hakuna asiye tafuta jombaa lkn kam jambo hili limekugusa shaur yako man umekamatia bango kam vile ww ndie unatakiw kuolew,damn
Usipanic mkuu

Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Back
Top Bottom