Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,985
- 16,165
Mimi niseme uzi huu ni kwa wale ambao wanaitaka hiyo ndoa, na wanaitafuta.Wewe huna chaguo? Unaoa tu yoyote anaekuja mbele yako?
Waache wadada kama hawataki kuolewa..kila siku mnazungumzia jinsi ndoa siku hizi zilivyo na matatizo lukuki.. sababu mojawapo ni hiyo ya kuolewa au kuoa kwa kulazimisha kisa jamii itakuonaje.
Wewe oa, waache wasiotaka kuolewa wasiolewe maana ni maisha yao.
.
.
Ndoa sio kwa kila mtu, wengine wabaki watazamaji.
Hlf sijui why ndoa imekuwa overrated sana...ni kitu cha kawaida hakuna jipya zaidi ya mazagazaga.
Ila kama hutaki kuolewa nadhani haukuhusu.