Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,743
Niambie hata PmDooooh.... Unataka nitaje nakifanyia KAZi mkuuu...
Naantombe Mushi usiwe mfukunyungu
Natamani kubadili hii ID...ndo hivyo nshabugi
Niambie hata PmDooooh.... Unataka nitaje nakifanyia KAZi mkuuu...
Naantombe Mushi usiwe mfukunyungu
Natamani kubadili hii ID...ndo hivyo nshabugi
Kama unataka kwel kubadili hyo ID sema tukusaidieDooooh.... Unataka nitaje nakifanyia KAZi mkuuu...
Naantombe Mushi usiwe mfukunyungu
Natamani kubadili hii ID...ndo hivyo nshabugi
Haya.... Nisemee wapi?Kama unataka kwel kubadili hyo ID sema tukusaidie
Hata sisi WANAWAKE wengi tunao jielewa .. hatuwezi kuwa na masharti mengi namna hiyo...Mleta uzi hajasema uolewe tu na mtu kisa ni mwanaume No.
Alimaanisha mpunguze vigezo vingine ni nadra sana kuvipata vyote kwa mtu mmoja na kitu kibaya wenye vingezo almost vyote mnavyovitaka ndo hao sio waoaji kwa sababu wana uhakika wa kushobokewa na karibia kila mwanamke hivyo wanatembeza rungu tu hawaoi.
Unaweza kujiwekea vigezo vichache vya msingi MFANO:-
1:UWE UMEMPENDA NAE ANAKUPENDA.
2:AWE MTAFUTAJI NA KUJARI FAMILIA.
3:AWE MWELEWA NA KUSIKILIZA ANAPOSHAURIWA.
4: ETC......
Huo ni mfano tu.SIO
AWE MREFU
AWE NA PESA
AWE NA GARI
AWE HANDSOME
AWE VIZURI ON BED
AWE NA KAZI NZURI
MARA AWE MARAIKA(kidding)
Jamani Yule Kaka nampenda... WallahiNahisi ata yule jamaa kagundua kuna kitu umempendea ila sio mapenzi halisi
Mkuuu. Je ita add value KWELI kwako hiyo information?Niambie hata Pm
UREFU[emoji38][emoji38][emoji38]Hata sisi WANAWAKE wengi tunao jielewa .. hatuwezi kuwa na masharti mengi namna hiyo...
Japo urefu muhimu[emoji2960][emoji2960]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]UREFU[emoji38][emoji38][emoji38]
Urefu wa futi ngap?
Hajawachokoza ila amewaambia ukweliUmewachokoza....subiri waje saa hvi wako kwenye mikakati uzi huu ufutwe...
Na wewe upunguze vigezo utuone na sisi TUSIO pisikaliWaambie hao mkuu..
KUmbe inakupereka😄😄nilijua inakupeleka...safi🤛🤛ID yako me inanipereka mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo mambo ya kuchagua chagua yana limit ya muda na mwisho muda ukipita kunakuwa hakuna tena options. Utawasikia wakisema kikubwa heshima tu
Wanakuja kukumbuka shuka kemesha kucha
Sorry for this personal question..Wapo waliojaliwa vyote
Hata wanawake pia aina hiyo wapo
Ni 1% tu ya wanawake duniani wenye ufundi on bed na ambao huwaridhisha wanaume.
Wengi wa wanawake hudhani kukata mauno ndio ufundi, hufikiri throating ndio final weapon kwa mwanaume...kumbe la hasha.
Kwa bahati nzuri, sisi hujiridhisha wenyewe, na hapo wao hupata credet kuwa wanaturidhisha.
Muelewa hawez kuelewa, hii ni kwa magwiji wa vitanda tu[emoji1787]
Kwanini asiwe nami Mkuu?...Hawezi kuwa na vigezo vyoote..Bali vya muhimu atimize