Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,024
Wachague wanaoona wanawafaaa wasifatee Helaa.. Hela huishaaa ndo hayo ya Kina ESMA kutoa mimbaa na kujisifu hadharanii kuwa hakumpenda mwanaume..ungeseew wa kiwango cha lami
Sipaniki sem sn unafel sn jombaaUsipanic mkuu
Huu mchezo hauhitaji hasira
Nafeli wapi babuSipaniki sem sn unafel sn jombaa
Sawa mwana mofolojiaNafeli wapi babu
Halafu andika vizuri basi mtoto wa kiume
Kwa hiyo na nyie muanze kutongoza direct Kama wanaumeMkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...
Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
Hakuna anaelazimisha wanawake waolewe wala mimi pia sikua na maana wala sijasema kua nawalazimisha au ni lazima muolewe, kwanza uwezo huo sina maana maneno yangu sio sheria.Haya Sasa...Kwaiyo umri wako Ukiwa unaenda ukaolewe na usie mpenda...
Mnalazimisha wanawake oleweni tu...WENGINE umri umekwenda Zaaeni TU...
Haha mtu anaolewa na wewe kisa umri kumbe sura yako TU akiioona nahisi kuchefukwa....
Ndo habari za EX ...Mara magunia ya mkaa yanakuhusu.
Ukiolewa at 18 na mtu unaemkubali sawa...na ukiolewa at 40 na mtu unaempenda yoote Sawa...
Wanaume Ni ma advocate wazuri wakusema UKIKOSEA KUOA...imekula kwako..
Lakini wanaamini wanawake yoyote atakae muoa ...Amepatia kuolewa
Sad
Kuna wanawake mpaka ufumbe macho umwaze mwajuma ndala mbovu, ndiyo ukojoe, unaweza kutana na mwanamke mzuri sana kwa mwonekana lakini kitandani zero, hapo inabidi uvute hisia na sura ya mwajuma ndala mbovu wa mbagala rangi tatu ndiyo ukojoe.Ni 1% tu ya wanawake duniani wenye ufundi on bed na ambao huwaridhisha wanaume.
Wengi wa wanawake hudhani kukata mauno ndio ufundi, hufikiri throating ndio final weapon kwa mwanaume...kumbe la hasha.
Kwa bahati nzuri, sisi hujiridhisha wenyewe, na hapo wao hupata credet kuwa wanaturidhisha.
Muelewa hawez kuelewa, hii ni kwa magwiji wa vitanda tu[emoji1787]
Wapo waliojaliwa vyote
Hata wanawake pia aina hiyo wapo
Tafuta pesa mtoto wa kiume acha kulialia
Ndiyo nyie mnaokuja kuimba "sponsor niachie my wangu" huku mmebana pua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee [emoji23]
Aiseee... Yule Mama EsmaWachague wanaoona wanawafaaa wasifatee Helaa.. Hela huishaaa ndo hayo ya Kina ESMA kutoa mimbaa na kujisifu hadharanii kuwa hakumpenda mwanaume..ungeseew wa kiwango cha lami
Nimekuelewa...Hakuna anaelazimisha wanawake waolewe wala mimi pia sikua na maana wala sijasema kua nawalazimisha au ni lazima muolewe, kwanza uwezo huo sina maana maneno yangu sio sheria.
Suala la ndoa binafsi naona ni la 50%-50% mwanaume kuchagua mwanamke anaemfaa na mwanamke kuchagua mwanaume anayeona anamfaa kwa kila mtu kufuata vigezo alivyojiwekea.
Point yangu inakuja hapa, kua katika kuchagua huko mwanaume haimuathiri sana kama sio kabisa, katika process za uchaguzi wanaoathiriwa sana ni wanawake kwa sababu wao thamani yao inakwenda na muda wakati mwanaume thamani yake inakwenda financially.
Katika harakati za kuchagua mwanamke anaweza kuanza kuchagua aina ya mwanaume anayemtaka mfano ameanza kuchagua akiwa na miaka 26 inafika anafikisha mpaka miaka 30 bado hajampata mwanaume wa aina aliyokua anaitaka. Hivyo anaendelea kuchagua mpaka anafikisha miaka 30+ may be miaka 32
(Sio kwamba hawezi kuolewa anaweza lakini dada yangu nisikufiche sisi wanaume tunafahamiana sana, kila mwanaume huenda sio wote ila asimilia kubwa tunapenda fresh product, miaka 32 tayari value yako as a product machoni kwa mwanaume inakua imepungua sana)
Na kufuatia kupungua huko ndio hapo mwanamke anafikisha miaka hiyo hapati mwanaume wa kumuoa hatimaye anaanza kupunguza machaguo yake yote mwisho wa siku anayafuta yote kabisa anabaki na option moja tu kua anachotaka ni ndoa hayo mengine yote ni bonus.
Umewahi kujiuliza kwanini wanawake wanaenda kwenye mikesha au makanisani kuomba Mungu wawezs kuolewa? Unakumbuka maombi ya Mama Lwakatale (R.I.P) ya upepo wa kisulisuli?
Mambo ya mwanamke kuolewa na miaka 40 ni sawa inawezekana kinadharia ni rahisi sana lakini kiuhalisia ni ngumu hasa huku kwetu Afrika angalau kwa wenzetu wazungu ni vitu vya kawaida.
Ila Afrika mwanaume kuona na miaka 40 ni jambo la kawaida sana hata haishtushi kama mwanamke wa miaka hio 40 kuolewa.
Narudia tena point yangu wanawake lazima mkumbuke kua mnakimbizana na muda, fanya machaguo yote unayoyataka but within a time.. Kufanya hivyo nje ya muda kunaweza kusababisha matokeo mabaya zaidi.
Nimeogopaa aisee kama Esma na hela zake zilw japo za kubadilisha mboga kashindwa kuthamini kiumbe alichokiweka tumboni kisa anamchukia mtu aliekubali kuolewa nae kwa mbwembwe zote niajabu sana..Aiseee... Yule Mama Esma
Ametisha
Bora hata wewe unajua hata chanzo Cha kuachana...Mimi nlisikia TU ndoa imedumu mwezi nanusu...Jana nikaona anasema Katoa mimba.....Nimeogopaa aisee kama Esma na hela zake zilw japo za kubadilisha mboga kashindwa kuthamini kiumbe alichokiweka tumboni kisa anamchukia mtu aliekubali kuolewa nae kwa mbwembwe zote niajabu sana..
Ustar wa kaka yake tatizo unamzuzua...!! Alafu hata ndoa ya queen nayo shughuli tuu...Bora hata wewe unajua hata chanzo Cha kuachana...Mimi nlisikia TU ndoa imedumu mwezi nanusu...Jana nikaona anasema Katoa mimba.....
Sikutaka hata kumalizia MB zangu kufuatilia kiundani..
Kuna Mambo Ni kheri ukae kimya...SASA ANAMNUFAISHA Nani?
Kweli umri huo bado hujakutana na pisi ziko vizuri kila sehemu?.Naomba nionyeshe
[emoji3][emoji3][emoji3]:...Mama balkis Yule atadumu kwenye Ndoa yake..bimdogoUstar wa kaka yake tatizo unamzuzua...!! Alafu hata ndoa ya queen nayo shughuli tuu...
Uanamke Sio.jambo rahisi..sasa mtu uwe tu na mtu hujamridhia kisa kutaka kuolewa. nonsense. let's not settle for less my ladies [emoji38]