Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

Ernst kipire

JF-Expert Member
Dec 16, 2019
286
291
Nawasalimu kwa jina la Mungu aliye mkuu mubarikiwe wana jamvi.

Utangulizi wa mada
Dada zangu warembo siye wanaume tunawapenda sana na ni ndoto ya kila mwanaume lijali kuwa na wake wa maisha lakn changamoto ni nyinyi hamueleweki mna taka nini katika maisha haya ya 'mitano tena'.

Kiini cha mada. Dada zangu mmekuwa na kasumba moja kubwa sana sijui ndio utandawazi au ndio yale ya kutojua unataka nini.

Leo kila mdada anakwambia mie nataka husband material awe na hili na lile ambapo wakati mwingine ukimuangalia na yeye mwenyewe hata haendani anayo yahitaji.

Siku hizi kila mdada anakumbia mie nataka mwanaume handsome,mrefu kiasi, mwenye Elimu at list degree na iwe ya uchumi au ufundi, awe na vipesa vya kubadilisha wigi na simu.

Hawaishii hapo, mara oh awe na gari kashindwa sana awe na boda, halafu pigo la mwisho eti awe good on bed.

Kaeni mjiulize hivi kati hivyo mnavyo hitaji wewe kipi unacho?

Punguzeni maisha yakina beyonce mtaishia kulalamikia ooh wanaume hawaeleweki mara ninagundu haya shauri yenu halafu kutuita mbwa muache.

Nawaaga kwa jina la Mungu muweza.
 
Mkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...

Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
Kweli lkn punguzeni machaguo sababu dada angu ktk dunia hii kumpata mwenye hz sif zot ni hadimu sana na kama yupo hawez kuwa wa hazi yako mana mtu mwenye mali yaan magari,elimu nzuri,handsome na good on bed hawez kuw na ww ht cku moja yan wew ni halali yetu
 
Ni 1% tu ya wanawake duniani wenye ufundi on bed na ambao huwaridhisha wanaume.
Wengi wa wanawake hudhani kukata mauno ndio ufundi, hufikiri throating ndio final weapon kwa mwanaume...kumbe la hasha.
Kwa bahati nzuri, sisi hujiridhisha wenyewe, na hapo wao hupata credet kuwa wanaturidhisha.
Muelewa hawez kuelewa, hii ni kwa magwiji wa vitanda tu
 
Genius
 
Kweli lkn punguzeni machaguo sababu dada angu ktk dunia hii kumpata mwenye hz sif zot ni hadimu sana na kama yupo hawez kuwa wa hazi yako mana mtu mwenye mali yaan magari,elimu nzuri,handsome na good on bed hawez kuw na ww ht cku moja yan wew ni halali yetu
Kwanini asiwe nami Mkuu?...Hawezi kuwa na vigezo vyoote..Bali vya muhimu atimize
 
Back
Top Bottom