Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,840
We jua TU Mimi Ni Adult..Unamiaka mingapi.....
We jua TU Mimi Ni Adult..Unamiaka mingapi.....
Pole pole tutaonesha makaliMdada 18-30 wanatafuta 'Mr Right'
Kuanzia 30-40 inakuwa 'Mr right now'
Wazoee tu..
Ukiona hivyo mtu kashapigwa chini kulia, kushoto na katikati.Mkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...
Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
mtaani tunaita jua la jioniukiwa chini ya miaka 30 ndivyo vitu kama ndoa ndio unasumbuka, ukishakua above 30 especially after 35 una accept kuna kupata na kukosa lol
Sasa wewe hujui hata kuandika vizuri nani akubali uwe mume wake?Kweli lkn punguzeni machaguo sababu dada angu ktk dunia hii kumpata mwenye hz sif zot ni hadimu sana na kama yupo hawez kuwa wa hazi yako mana mtu mwenye mali yaan magari,elimu nzuri,handsome na good on bed hawez kuw na ww ht cku moja yan wew ni halali yetu
Inaonyesha wewe hata hujui maana ya ndoa, umekosa mke wa kuoa?Kuwa uyaone
Kama mwanamke anaweka vigezo kabla hajaolewa hata kama ni vya kufikirika ni sawa; ubaya ni pale anapoficha mfukoni hivyo vigezo na kuvichomoa baadae baada ya kuolewa hapo ndio tatizo.Mkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...
Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
Umeamua tu kujitoa uelewa,kilicho andikwa kimefata kanun zt za uandish......af unapo sema nani uwe mume wake unakosea na usitake kuniforce kuongea mamb yasiyo faa damn.Sasa wewe hujui hata kuandika vizuri nani akubali uwe mume wake?
Kumbuka mko wengi!Mkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...
Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],haupo serious!!!Inaonyesha wewe hata hujui maana ya ndoa, umekosa mke wa kuoa?
I wonder...Ukiona hivyo mtu kashapigwa chini kulia, kushoto na katikati.
Unamlazimishaje mwanamke akubali mtu asiyemtaka?
Umekata tamaa[emoji24][emoji24]Wewe huna chaguo? Unaoa tu yoyote anaekuja mbele yako?
Waache wadada kama hawataki kuolewa..kila siku mnazungumzia jinsi ndoa siku hizi zilivyo na matatizo lukuki.. sababu mojawapo ni hiyo ya kuolewa au kuoa kwa kulazimisha kisa jamii itakuonaje.
Wewe oa, waache wasiotaka kuolewa wasiolewe maana ni maisha yao.
.
.
Ndoa sio kwa kila mtu, wengine wabaki watazamaji.
Hlf sijui why ndoa imekuwa overrated sana...ni kitu cha kawaida hakuna jipya zaidi ya mazagazaga.
Endelea kuwonder.....maji mtayaita mmhiI wonder...
OwkyKama mwanamke anaweka vigezo kabla hajaolewa hata kama ni vya kufikirika ni sawa; ubaya ni pale anapoficha mfukoni hivyo vigezo na kuvichomoa baadae baada ya kuolewa hapo ndio tatizo.
Kama unadhani bango lako litabadilisha mtu pole sana...huko mbeleni watu watakuwa hawanq mpango kabisa na ndoa, unapoteza muda wako bure.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],haupo serious!!!
Naona dawa inaanza kuingia...badilikeni acheni maish ya movies akilin mwenu et nataka handsome wew ni beautiful au unatak tu