Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

Mbona its like wewe ndio unayaita mma[emoji848][emoji848]
Kukataliwa ni step tu katika kuelekea kumpata wa kwako, tulia tu utampata. Haina haja ya kuanza kulia lia.
Mbn unapenda kucoment so personal,alie kuambia mie mekataliwa nani? By the way ujumbe ukufunze kitu, mwanaume hawez kosa mwari hata siku moja

Acha utoto
 
Mbn unapenda kucoment so personal,alie kuambia mie mekataliwa nani? By the way ujumbe ukufunze kitu, mwanaume hawez kosa mwari hata siku moja

Acha utoto
Wapo wanaume wanahaha Kutafuta huyo mwari....
 
Sasa kama wanachagua mbona wanashinda makanisani wakiomba wapate wachumba wema
..hatuombi kwa sababu ya KUPATA wanaume TU...Dunia hii Ina mengi na wanaume ni sehemu TU.

Mimi naomba Mungu au naswali kwasababu MUNGU ANASTAHILI KUABUDIWA ..Ni Haki yake..

Kuomba namuomba Mungu kwakua Ni muweza wayote na amesema TUMUOMBE kwani yu karibu.

Kuomba tunajiombea na sisi pia na wengine...Nia ya kuabudu SI kuomba Mume pekee
 
Ni 1% tu ya wanawake duniani wenye ufundi on bed na ambao huwaridhisha wanaume.
Wengi wa wanawake hudhani kukata mauno ndio ufundi, hufikiri throating ndio final weapon kwa mwanaume...kumbe la hasha.
Kwa bahati nzuri, sisi hujiridhisha wenyewe, na hapo wao hupata credet kuwa wanaturidhisha.
Muelewa hawez kuelewa, hii ni kwa magwiji wa vitanda tu[emoji1787]
[emoji23][emoji23]
 
Yupo kiazi mmoja hapakijiweni ninaposhinda, yaan ana 31 anaishi kwao, hadi sasa hana hata boyfriend lakini akizungumza kuhusu mahusiano ni kama alichosema mtoa uzi hapo juu. Huwa namwangaliaaaa na alivyo na sura personal kama mimi tu naishia kuguna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaiyo ulitaka...Afanyaje?.. Tatizo mnadhani mnamajibu ya maisha ya Watu
 
Eti wsnataka
1.Mpole ili wamkalie kichwani

2.Dini take na ukiwa tofauti wanataka uwafuate wao

3.Wanataka mwenye kazi hawataki kuanza kufuta pamoja

4 .Wanataka kwanza ukajenge kwao na likizo muwe mnaenda kwao

5.Wanataka haki na uanaharakati hata kabla ya ndoa

6Hawawezi na hawataki maisha ya vijijini sasa vipi mambo yakiharibika mjini?

7.Wanataka wawe wasichana daima hata kama umri unaenda, wapo bize kukata utumbo ili wawe vimodal, kujichumua ngozi waonekane wazungu na kuficha mvi za uzee kwa mawigi sasa nani wa kutoa liability badala ya asset?
 
Mkuu...Kama Wewe unaoa unaemtaka..kwanini sisi tusichague tumtakaye...

Hiyo ndoa ha kuolewa na usiemtaka ili tu uolewe...itadumu?..utakuwa na furaha?
Mtu mnayemtaka hajawahi kuwepo ... Nyie mko extra ordinary katika kufanya uchaguzi ..wakati kwa upande wenu mna weakness kibao
 
Kama unadhani bango lako litabadilisha mtu pole sana...huko mbeleni watu watakuwa hawanq mpango kabisa na ndoa, unapoteza muda wako bure.
Au ww ni mama uliyesingle nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona ushaanza kujaa
 
Mtu mnayemtaka hajawahi kuwepo ... Nyie mko extra ordinary katika kufanya uchaguzi ..wakati kwa upande wenu mna weakness kibao
Nyie ndo mnadhani tunataka vitu vingi..labda wasichana wadogo wanao angalia tamthilia zakiphilipino..

But nadhani mtu wa myage najua nachotaka nawala vikuubwa
 
Back
Top Bottom