Dada zangu omba yasikukute haya

Dada zangu omba yasikukute haya

Amekutext dm mtandaoni ukamuuliza wewe nani? akakujibu jina ukamuuliza okay una shida gani? akakujibu ningependa tuwe marafiki kama utojali

Ukasema ngoja niingie profile yake ukaangalie picha zake ukaona mara yupo na range anaonekana jamaa mmoja mwenye uwezo

Akakuomba namba ya sim na wewe bila kusita ukampa after 1day akakuomba muonane ukamwambia huna nauli bila kuchelewa sms ya m-pesa ikaingia kwenye sim yako 200,000 kakutumia na ni nauli tu hiyo ingawa unapotoka hapazidi hata 20,000

Ukasema mambo yasiwe mengi ukajiremba mwenyewe ukajipulizia na marashi ya kunukia vizuri ukaweka make up bila kuchelewa ukarequest usafiri ukapanda

Baada ya massage kadhaa ukafika alipokuelekeza akakuchukua kwa ajili ya lunch na kukupeleka hotel nzuri akakushika mkono na kukufanya ucheke muda wote kwa vituko vyake

Ukafall in love hapohapo utadhani mmejuana kwa miaka akakuchukua mpaka hotel mkaingia ndani kimahaba ukapenda the way alivyo romantic, nguvu na ujasiri ukajisikia secure ukiwa nae

Ukajua kabisa kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late babe ukasema okay hukutaka kumsumbua

Akakuambia anakupenda ukusita kumwambia unampenda pia ukanvua nguo tena mwenyewe mkanyandua kwa style zote akakubusu katika shavu lako kisha akakuambia nimefurahi nimekuwa na wewe muda mzuri na wewe

Akachukua wallet yake akakupa 300,000 na wakati huo alikutumia 200,000 ukatabasamu kisha akakuambia mjiandae ukapanda uku ukimuaga kwa tabasamu zito ulipofika nyumbani ukamtumia message kuwa umefika kimya ukampigia namba haifanyi kazi unaingia whatsapp unamuona online ukamtext babe dakika chache baadaye humuoni whatsapp unaona kivuli tu amekublock na kawaida ukimpigia kakublock unabaki unajiuliza kwanini

Ukasema it's okay atajua mwenyewe siku, week, miezi, ikapita unaanza kujisikia homa homa mchovu uzito umepungua na utando mdomoni

Unaenda kituo cha afya kupima nusu saa daktari anaingia pole sana dada language una maambukizi ya virusi vya ukimwi na ni mjamzito vile vile mimba + hiv? how

Hauelewi hauamini unarudi nyumbani ukiwa na hours kubwa unaona kifo hiki hapa unatazama angani unaona mwisho wako unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo unatamani muda ungerudi nyuma lakini ndio ivory inakuwa too late unajiuliza ulikosea wapi upati majibu hiv umepata na mimba umepata isitoshe aliekupa kakukimbia sad

Dear ladies msiwe kama huyu ishi vizuri hapa duniani acheni kutamani material things, kuwa mwanamke ambaye ungependa mwanao aje kuwa mtoto mzuri na ndio wazazi wetu walitufundisha ishi maisha yanayompendeza mungu pekee na sio binadamu vitabu vya dini vinasema "msiamini kila roho ila zichungeni hizo roho kama zimetokana na mungu" mke + mume anatoka kwa mungu usisahau maagizo ndio silaha ya ushindi
Maelezo mengi hadi nimeshindwa kumaliza
 
Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
Hahahaha.....Dunia hii ina maajabu sana.
 
Endeleeni kufarijiana. Nikikumbuka Yule Mzungu aliyekuja kwangu kutafuta mitishamba akiwa amevumba matezi usoni, mdomo vidonda tele akiwa kakata tamaa na alikuwa tajiri sana.
 
Mmepotoshwa miujiza ya mungu siyo HUDUMA ni ISHARA na siku zote ISHARA haizidi liashiliwaro.....shetani ndiyo kabadili ishara kuwa huduma hadi mnasema huduma ya uponyaji na miujiza ...kama ishara za mungu zingekuwa ni huduma basi tunge shuhudia hata kwa yesu mwenyewe ...Yesu alifanya ishara ya miujiza ya kulisha watu elfu 5 ..ila tunaona wanafunzi wake walikuwa na njaa mpaka wakapukusa masuke na kula ...pia tunaona wanafunzi wake wakienda kununua chakula na kumwacha yesu kisimani ....sasa kama miujiza ni huduma kwanini ilikuwa hivyo kwa yesu mwenyewe pia
 
Kuna miujiza ilifanyika ila Kumtukuza Mungu wengi walikuwa hawaamini

Makanisa ya kweli yapo na
Hapo uliposema Kuna makanisa ambayo Yanatumiwa na Shetani
Kweli yapo wanafanya miujiza feki na kupewa Nguvu na shetani
Madhara yake ili makanisa ya kweli yawe machache na yauongo yawe mengi
Na watu waathirike wasiyajue ya kweli na kutowaamini wa kweli na kubak kwenye makanisa ya Uongo
hao wanaotumia huduma ili kujipatia faida sio nzuri Mfano Nabii anasema
Naona utakufa ili usife toa Laki1
Ukiangalia Mungu amekupa Bure
Alf bado mtu anatumia kwa ajili ya kupiga pesa
Anayejitambua hategemei hela za waumini Kwa sababu Mungu anatoa bure
 
Akili za kuambiwa kama hizi inabidi uchanganye na za kwako 👉 I remember Aunt yangu alikuwa kiziwanda ilikuwa haiwezekani kumuangalia mara 2 kwasababu ya ugonjwa tunaoambiwa haupo, aliekwenda yeye, akafuata mme wake na mtoto wao it means uzao wake ulipotea.. afu leo kuna mtu anasema ukimwi haupo Kwaiyo watu wazini tuuuuuuuuuu nothing to them happen 😳
Mkuu kama ni miaka ya 80's na 90's huko kuna ugonjwa ulioibuka na ukapatiwa ufumbuzi na dawa, ila Center for Disease Control (CDC) ya Marekani wakaamua kuendelea kutembelea nyota na kuleta ugonjwa usiokuwepo(AIDS) ili kuwa funded na serikali ya Marekani kupiga ela. Huo ugonjwa ulisumbua sana kunyonyoka nywele, mapele, nk na baadae ukaisha ila ukahalalishwa ili kutengeneza ARV'S. Zamani zilikuwa zinaitwa AZT, zikaboreshwa na kuitwa ARV'S baadae. Yote yameelezwa kwenye hiyo documentary ya HOUSE OF NUMBERS na sehemu nyingi mtandaoni. Nakuhakikishia hata ulale na wanawake wanaojiuza au wa bar 10 kila wiki bila condom na usipime UKIMWI huwezi kuwa nao, na hutakonda kubaki mifupa sababu huyo Virus wa kipindi kile hayupo tena, kinacholegeza watu miili yao ni ARV'S, ukiambiwa umeathirika ila usimeze ARV'S baada ya muda unarudi sawa tu. Nina ushahidi wa haya ninayokwambia. Nchi nyingi sana hasa za magharibi haziangaiki tena na mambo ya HIV, hutasikia popote sio TV, wala redioni, wameacha viwanda vya wamarekani na waisrael viendelee kupiga ela kupitia ARV'S. Na wamiliki ni ma Giant anayeleta kelele yeyote anatulizwa. Thabo Mbeki akiwa raisi aliuliza mbele ya media, kwanini mtu anaumwa typhoid, Maralia, Tuberculosis etc tunampa ARV'S?,tunamtibu nini?,ni za nini!?,kwanini tusimpe dawa za anachoumwa tuangalie maendeleo yake!?.., akawa threat.. hakumaliza miezi mitano akatengenezewa zengwe akaachishwa uraisi. Videos zipo YouTube na hiyo story ipo mtandaoni. Ukiamua kufatilia kwa undani zaidi utaelewa, sio rahisi lakini ukiruhusu akili yako kuangalia pande zote utapata idea ya ninachoelezea hapa.
 
Kuna miujiza ilifanyika ila Kumtukuza Mungu wengi walikuwa hawaamini

Makanisa ya kweli yapo na
Hapo uliposema Kuna makanisa ambayo Yanatumiwa na Shetani
Kweli yapo wanafanya miujiza feki na kupewa Nguvu na shetani
Madhara yake ili makanisa ya kweli yawe machache na yauongo yawe mengi
Na watu waathirike wasiyajue ya kweli na kutowaamini wa kweli na kubak kwenye makanisa ya Uongo
hao wanaotumia huduma ili kujipatia faida sio nzuri Mfano Nabii anasema
Naona utakufa ili usife toa Laki1
Ukiangalia Mungu amekupa Bure
Alf bado mtu anatumia kwa ajili ya kupiga pesa
Anayejitambua hategemei hela za waumini Kwa sababu Mungu anatoa bure
Nitajie kanisa la kweli hata moja? Hakuna kanisa la kwel8 na sababu nikizitoa uwezi kuzipinga ...
 
Hapana mimi ni Jerusalem2006. Ni daktari wa binadamu na nimesoma Urusi kwa zaidi ya miaka 10, na nimeshiriki research mbalimbali za magonjwa ya kuambukizwa duniani.
Acha UPUMBAVU!

Heshimu taaluma ya udaktari. Achana kueneza taarifa feki.

Ndugu "daktari mtafiti", tupe andiko lako japo moja tufanye rejea juu ya uyasemayo
 
Nitajie kanisa la kweli hata moja? Hakuna kanisa la kwel8 na sababu nikizitoa uwezi kuzipinga ...
Hamna makosa ni mengi yanafanyika
La kweli ni lile linalofuata sheria za Mungu
 
Acha UPUMBAVU!

Heshimu taaluma ya udaktari. Achana kueneza taarifa feki.

Ndugu "daktari mtafiti", tupe andiko lako japo moja tufanye rejea juu ya uyasemayo
Kwenye msafara wa Mamba hata KENGE mpo. MWISHO WA KUNUKUU.
 
Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
Kweli mwafrika siyo binadamu kamili. Haya uliyoandika ni proof kwamba siyo binadamu kamili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom