Jerusalem2006
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 329
- 1,551
Mkuu wewe ndo mjinga ila hujui kama mjinga, mimi sikurupuki kuongea kitu chochote, nimefanya research.Acha ujinga
Mkuu wewe ndo mjinga ila hujui kama mjinga, mimi sikurupuki kuongea kitu chochote, nimefanya research.Acha ujinga
Hapana mimi ni Jerusalem2006. Ni daktari wa binadamu na nimesoma Urusi kwa zaidi ya miaka 10, na nimeshiriki research mbalimbali za magonjwa ya kuambukizwa duniani.Mkuu wewe ni Deception?
Na kwa nini ukapime magonjwa ambayo dawa yake haijagunduliwa? Ni kujiyafutia pressure za bure tu.Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
Kwa kweli.Hii stye walikuwa wanaitumia wakubwa kutuasa miaka hiyo na kwa kiasi fulani tuliwaelewa.
Japo kwa sasa zama zimebadilika sana watu wanafanya yote hayo bila woga na baada ya hapo wakiona hawaelewi chap wanakimbilia pharmacy kununua dawa wanameza kuyakwepa maambukizi.
Kikubwa hapo ni hao walaghai watunze tu vibunda vyao.
Marahaba mdogo wangu. Upo?Shkamoo da shadi.
asa mkuu Mimi nimekuelewa vizuri tu,hebu toa ushauri sasa.Huwezi kuelewa ila kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa MPUMBAVU ila hujui kama ni MPUMBAVU. Ruhusu fikra huru kujua usiyoyajua. Wakati Magufuli anawashtua watu kuhusu COVID-19, wengi walimshangaa sana baadae Dunia mzima ikaelewa. Mpiga debe wa H.I.V, AIDS etc anaitwa Robert Gallo na yupo hai. Mambo mengine yamewazidi kimo kwasababu uelewa wenu ni mdogo. Hata nikikwambia fikiria nje ya box huwezi kuelewa kwasababu akili yako imeshikiliwa na ni hivyohivyo kwa zaidi ya 90% ya watu(binadamu duniani). Ila naamini siku moja utaelewa. Narudia tena usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Hiyo sentence inahitajika uwe na akili kuweza kuielewa, kama reasoning capacity yako ni ndogo huwezi kuelewa kamwe. NEVER.
Hapo nimeongea kwa mafumbo pia(tungo tata), yawezekana na unachoenda kupima hakipo, ndo maana usipokipima unakuwa huna.Na kwa nini ukapime magonjwa ambayo dawa yake haijagunduliwa? Ni kujiyafutia pressure za bure tu.
Hakuna mtu anayeumwa UKIMWI, hakuna ugonjwa unaitwa UKIMWI ni Upungufu Wa Kinga MWILINI. Sio ugonjwa hata ukiwa na mafua makali unapungukiwa Kinga MWILINI. Kinga kupungua mwilini ni kawaida, mtu anaumwa, typhoid, Maralia, Tuberculosis nk nk, lakini haumwi kupungukiwa kinga. Kinga zikipungua nenda kale vizuri wiki 3 au mwezi zinarudi normal, ila ukidanganyika ukaanza kuitumia ARV'S baada ya miezi mitatu Kinga yako ya asili inakwisha mwili unaanza kutegemea ARV's na ndo unaanza kudhoofika kwa mwili kutegemea ARV's huwezi kuziacha tena kirahisi. Zimedizainiwa hivyo, ni biashara kubwa ya pharmaceuticals Companies..,Maelezo ni mengi sana hata kitabu Cha page 200 hakitoshi. Tafuta documentary YouTube inaitwa HOUSE OF NUMBERS anzia hapo. Mengine jiongeze, hii Dunia ni pana sana.S
asa mkuu Mimi nimekuelewa vizuri tu,hebu toa ushauri sasa.
Mfano huyo mtu ameanza kuumwa ndo akaenda kupima,anatakiwa afanye nini if asipoenda kupima?
Tupe elimu zaidi mkuu, kwa nilivyokuelewa mtu akipima anapata hofu ndo inampelekea aanze kuumwa ghafla wakati alikuwa mzima, sasa swali langu kwanini wengine wanasoma +ve na wengine -ve? na vipi akipima mtu disminder asiyeogopa itamuathiri pia?.Hapana mimi ni Jerusalem2006. Ni daktari wa binadamu na nimesoma Urusi kwa zaidi ya miaka 10, na nimeshiriki research mbalimbali za magonjwa ya kuambukizwa duniani.
Nipo nipo maisha yanaendelea, nimefurahi kukuona hapa.Marahaba mdogo wangu. Upo?
tumeona watu wanakonda wanaelekea kufa then dawa ndio zinawaokoa afya inarejea. Leo unasema tusipime ukimwi haupoHuwezi kuelewa ila kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa MPUMBAVU ila hujui kama ni MPUMBAVU. Ruhusu fikra huru kujua usiyoyajua. Wakati Magufuli anawashtua watu kuhusu COVID-19, wengi walimshangaa sana baadae Dunia mzima ikaelewa. Mpiga debe wa H.I.V, AIDS etc anaitwa Robert Gallo na yupo hai. Mambo mengine yamewazidi kimo kwasababu uelewa wenu ni mdogo. Hata nikikwambia fikiria nje ya box huwezi kuelewa kwasababu akili yako imeshikiliwa na ni hivyohivyo kwa zaidi ya 90% ya watu(binadamu duniani). Ila naamini siku moja utaelewa. Narudia tena usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Hiyo sentence inahitajika uwe na akili kuweza kuielewa, kama reasoning capacity yako ni ndogo huwezi kuelewa kamwe. NEVER.
Kuna mantiki kwenye hizi points za chiniHuwezi kuelewa ila kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa MPUMBAVU ila hujui kama ni MPUMBAVU. Ruhusu fikra huru kujua usiyoyajua. Wakati Magufuli anawashtua watu kuhusu COVID-19, wengi walimshangaa sana baadae Dunia mzima ikaelewa. Mpiga debe wa H.I.V, AIDS etc anaitwa Robert Gallo na yupo hai. Mambo mengine yamewazidi kimo kwasababu uelewa wenu ni mdogo. Hata nikikwambia fikiria nje ya box huwezi kuelewa kwasababu akili yako imeshikiliwa na ni hivyohivyo kwa zaidi ya 90% ya watu(binadamu duniani). Ila naamini siku moja utaelewa. Narudia tena usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Hiyo sentence inahitajika uwe na akili kuweza kuielewa, kama reasoning capacity yako ni ndogo huwezi kuelewa kamwe. NEVER.
Nimependa ulivoelezea, hata mimi baada ya kumpoteza jamaa yangu kwa kinachosemekana ni ukimwi (feki) nimekuwa na msimamo huo, utaugua ukimwi endapo tu utaenda kupima" bila kupima huwezi ugua ukimwi..Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
Shukrani. 🤝Nipo nipo maisha yanaendelea, nimefurahi kukuona hapa.
🫱🏻🫲🏿🩵Shukrani. 🤝
Kabisa, thread ifungwe bana wachangiaji tukanywe chai.Hii story imetungwa na jobless kuwatisha wadada wasipende hela