Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,993
- 8,179
Sawa mkuu ukipata muda.Bize kidogo na majukumu, baadae mkuu.
Sawa mkuu ukipata muda.Bize kidogo na majukumu, baadae mkuu.
Placebo effects ya mindKuna mantiki kwenye hizi points za chini
Anashangaza sanaJamaa anavua nguo katikati ya soko na akiambiwa achutame hataki,sijui ana akili gani huyu!
Watu watasema unajipakulia minofu.Hapana mimi ni Jerusalem2006. Ni daktari wa binadamu na nimesoma Urusi kwa zaidi ya miaka 10, na nimeshiriki research mbalimbali za magonjwa ya kuambukizwa duniani.
Utakuwa mwanataaluma mjinga sana kuwahi kutokea🤣Hapana mimi ni Jerusalem2006. Ni daktari wa binadamu na nimesoma Urusi kwa zaidi ya miaka 10, na nimeshiriki research mbalimbali za magonjwa ya kuambukizwa duniani.
Unatukana with empty words, mwezio atleast anaeleza factsUtakuwa mwanataaluma mjinga sana kuwahi kutokea🤣
UKIMWI upo, na kila siku unaua. Mpaka hivi leo watu milioni 43 duniani wameshakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu laki 6.3 wanakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu milioni 1.3 wanaambukizwa VVU/UKIMWI ikiwa ni wastani wa watu watatu kwa kila dakika moja. Ukweli mchungu ni kuwa waathirika wa kubwa ni vijana na wanawake. Tujitafakari, tuchukue hatua.Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
Fact ipi mkuu iliyoelezwa hapo? Au hufahamu maana ya factUnatukana with empty words, mwezio atleast anaeleza facts
Hakika ukimwi ni Hoaxy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukimwi utaupata tu endapo utaenda kuupima, usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Tafuta documentary YouTube inaitwa " HOUSE OF NUMBERS", ina zaidi ya saa 1 lakini iangalie mara kadhaa utaelewa hii Dunia inavyoendeshwa. Story za UKIMWI na woga kuhusu HIV vimebakia Africa na nchi tegemezi. Hizo campaign zilisha expire siku nyingi kwenye nchi zenye taarifa zaidi. Maisha ni hayahaya acha watu waishi maisha wanayoona yanawafaa ilimradi hawavunji sheria yoyote. Ukiamua kuishi kwa uoga ni wewe, ila usiwatishe watu.
Bora mkuu umweleze huyu bwana mdogo anajitoa ufahamu kwa maneno ya vijiweniUKIMWI upo, na kila siku unaua. Mpaka hivi leo watu milioni 43 duniani wameshakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu laki 6.3 wanakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu milioni 1.3 wanaambukizwa VVU/UKIMWI ikiwa ni wastani wa watu watatu kwa kila dakika moja. Ukweli mchungu ni kuwa waathirika wa kubwa ni vijana na wanawake. Tujitafakari, tuchukue hatua.
ThibitishaUKIMWI upo, na kila siku unaua. Mpaka hivi leo watu milioni 43 duniani wameshakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu laki 6.3 wanakufa kwa UKIMWI. Kila mwaka watu milioni 1.3 wanaambukizwa VVU/UKIMWI ikiwa ni wastani wa watu watatu kwa kila dakika moja. Ukweli mchungu ni kuwa waathirika wa kubwa ni vijana na wanawake. Tujitafakari, tuchukue hatua.
Mimi siyo dada bwana 😂 😂 😂 futa kauliDada Mupirocin hivi unajuwa maana ya chambo ni nini? HAKUNA mwanamme anayetoa hela na kumpa mwanamke bila malengo, utazinya tu hizo hela tena kwa taabu. Tamaa za kijinga na kukata tamaa na maisha kunawaangamiza sana kina dada. Mwanamke unashindwaje kujiuliza kuwa hauna mchango wowote kwa maendeleo ya mwanamme halafu yeye akupe tu hela bila sababu, huoni kama ni mtego kweli?
Huwezi kuelewa ila kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa MPUMBAVU ila hujui kama ni MPUMBAVU. Ruhusu fikra huru kujua usiyoyajua. Wakati Magufuli anawashtua watu kuhusu COVID-19, wengi walimshangaa sana baadae Dunia mzima ikaelewa. Mpiga debe wa H.I.V, AIDS etc anaitwa Robert Gallo na yupo hai. Mambo mengine yamewazidi kimo kwasababu uelewa wenu ni mdogo. Hata nikikwambia fikiria nje ya box huwezi kuelewa kwasababu akili yako imeshikiliwa na ni hivyohivyo kwa zaidi ya 90% ya watu(binadamu duniani). Ila naamini siku moja utaelewa. Narudia tena usipopima ukimwi huwezi kuwa nao maisha yako yote. Hiyo sentence inahitajika uwe na akili kuweza kuielewa, kama reasoning capacity yako ni ndogo huwezi kuelewa kamwe. NEVER.
Hizi ni Takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO.Thibitisha
Basi acha kutumia lugha za kukejeli, mpinge kwa tangible stuffsFact ipi mkuu iliyoelezwa hapo? Au hufahamu maana ya fact
Bora umetoa ushauriAmekutext dm mtandaoni ukamuuliza wewe nani? akakujibu jina ukamuuliza okay una shida gani? akakujibu ningependa tuwe marafiki kama utojali
Ukasema ngoja niingie profile yake ukaangalie picha zake ukaona mara yupo na range anaonekana jamaa mmoja mwenye uwezo
Akakuomba namba ya sim na wewe bila kusita ukampa after 1day akakuomba muonane ukamwambia huna nauli bila kuchelewa sms ya m-pesa ikaingia kwenye sim yako 200,000 kakutumia na ni nauli tu hiyo ingawa unapotoka hapazidi hata 20,000
Ukasema mambo yasiwe mengi ukajiremba mwenyewe ukajipulizia na marashi ya kunukia vizuri ukaweka make up bila kuchelewa ukarequest usafiri ukapanda
Baada ya massage kadhaa ukafika alipokuelekeza akakuchukua kwa ajili ya lunch na kukupeleka hotel nzuri akakushika mkono na kukufanya ucheke muda wote kwa vituko vyake
Ukafall in love hapohapo utadhani mmejuana kwa miaka akakuchukua mpaka hotel mkaingia ndani kimahaba ukapenda the way alivyo romantic, nguvu na ujasiri ukajisikia secure ukiwa nae
Ukajua kabisa kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late babe ukasema okay hukutaka kumsumbua
Akakuambia anakupenda ukusita kumwambia unampenda pia ukanvua nguo tena mwenyewe mkanyandua kwa style zote akakubusu katika shavu lako kisha akakuambia nimefurahi nimekuwa na wewe muda mzuri na wewe
Akachukua wallet yake akakupa 300,000 na wakati huo alikutumia 200,000 ukatabasamu kisha akakuambia mjiandae ukapanda uku ukimuaga kwa tabasamu zito ulipofika nyumbani ukamtumia message kuwa umefika kimya ukampigia namba haifanyi kazi unaingia whatsapp unamuona online ukamtext babe dakika chache baadaye humuoni whatsapp unaona kivuli tu amekublock na kawaida ukimpigia kakublock unabaki unajiuliza kwanini
Ukasema it's okay atajua mwenyewe siku, week, miezi, ikapita unaanza kujisikia homa homa mchovu uzito umepungua na utando mdomoni
Unaenda kituo cha afya kupima nusu saa daktari anaingia pole sana dada language una maambukizi ya virusi vya ukimwi na ni mjamzito vile vile mimba + hiv? how
Hauelewi hauamini unarudi nyumbani ukiwa na hours kubwa unaona kifo hiki hapa unatazama angani unaona mwisho wako unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo unatamani muda ungerudi nyuma lakini ndio ivory inakuwa too late unajiuliza ulikosea wapi upati majibu hiv umepata na mimba umepata isitoshe aliekupa kakukimbia sad
Dear ladies msiwe kama huyu ishi vizuri hapa duniani acheni kutamani material things, kuwa mwanamke ambaye ungependa mwanao aje kuwa mtoto mzuri na ndio wazazi wetu walitufundisha ishi maisha yanayompendeza mungu pekee na sio binadamu vitabu vya dini vinasema "msiamini kila roho ila zichungeni hizo roho kama zimetokana na mungu" mke + mume anatoka kwa mungu usisahau maagizo ndio silaha ya ushindi
Duuh...Amekutext dm mtandaoni ukamuuliza wewe nani? akakujibu jina ukamuuliza okay una shida gani? akakujibu ningependa tuwe marafiki kama utojali

PepoAkili za kuambiwa kama hizi inabidi uchanganye na za kwako 👉 I remember Aunt yangu alikuwa kiziwanda ilikuwa haiwezekani kumuangalia mara 2 kwasababu ya ugonjwa tunaoambiwa haupo, aliekwenda yeye, akafuata mme wake na mtoto wao it means uzao wake ulipotea.. afu leo kuna mtu anasema ukimwi haupo Kwaiyo watu wazini tuuuuuuuuuu nothing to them happen 😳