Mkuu tafuta documentary YouTube inaitwa HOUSE OF NUMBERS, angalau video ni rahisi kufatilia kuliko maandishi. +Ve na -Ve ni nadharia tu, mfano kirusi cha COVID-19 kilionekana mchoro wake kinavyoonekana, wapi umewahi kuona mchoro wa kirusi cha UKIMWI!?, Kawaida mwili wa binadamu ukipungukiwa Kinga baada ya muda ukifanya mazoezi ukala vizuri unarudi normal, lakini wakati umepungukiwa Kinga.. ndo mfano, ukiwa na mafua makali, ukipata UTI, Gono, Maralia etc Kinga zako zikaathirika kwa kawaida ukitibu ugonjwa ulionao na kula kunywa vizuri unarudi normal baada ya muda. Ila kipindi unaumwa hayo magonjwa hapo juu na ukajichanganya kucheki UKIMWI ukaambiwa uko +Ve, palepale wanakuanzishia DOSE ya ARV, nao wamekaririshwa hivyo makusudi ili kuongeza namba ya watumiaji duniani. Ila usipopima ukimwi utatibu Maralia, UTI, Gono etc etc na utarudi NORMAL. Na hata ukipima UKIMWI ukaambiwa uko +Ve ila ukawa mbishi ukaenda kutibu unachoumwa tu na ukala vizuri baada ya wiki chache ukipima tena UKIMWI utakuta -Ve, nina ushahidi wa zaidi ya watu 10 walioambiwa wako +Ve siku chache nikajua nikawaambia watupe madonge waliyopewa na baadae kupima hamna kitu. Hii hutakaa uisikie popote. ARV's ni biashara kubwa sana, na sio bure kama watu wanavyofikiria zinalipiwa. Ni kwamba serikali ya Marekani kupitia USAID, WHO etc zinatoka billions of dollars kuleta nchi maskini, halafu zinarudi kwenye viwanda vyao vya matajiri wachache wamiliki kwa jina la kusaidia nchi maskini ku deal na AIDS. Kwasasa Trump kaondoka USAID, bado serikali ya Tanzania, Malawi, SA, Nigeria etc zitatoa ela zenyewe kununua ARV'S kwasababu wameishaingiza watu wake kwenye mfumo wa ARV'S. Ukishaanza kuitumia ARV'S baada ya muda Fulani sio chini ya miezi mitatu kuziacha ni vigumu, kwasababu Kinga yako ya asili inakwisha unaanza kutegemea artificial immunity (Kinga bandia) iliyo kwenye ARV's, ila ukipata Daktari anayeelewa(mtaalam) hata kama umetumia ARV's muda mrefu anakuachisha taratibu mpaka unaacha kabisa na ukienda kupima UKIMWI unakuta hakuna kitu. Baadhi ya wahubiri mashuhuri duniani hata TB Joshua kabla hajafa walikuwa na taarifa sahihi na walitembelea hii nyota kujifanya wanaponya UKIMWI kumbe wanawapa waumini maelekezo fulani ya lishe na kuwaachisha ARV'S kwa mgongo wa kutumia jina la YESU. Hapa nimekupa hints tu, Maelezo kuhusu H.I.V, AIDS, CD4 count etc, ni mengi sana. Anza na hiyo documentary YouTube ya HOUSE OF NUMBERS itakupa mwanga pa kuanzia, baadhi ya madaktari kwenye hiyo documentary walifungiwa kwasababu ya kusanua ulimwengu.
NB: Haya maelezo huru sio kanuni, waweza kukubaliana nayo au kutokukubaliana nayo. Hapa tuna share knowledge tu. Kuna kuyachukua ukayaweka kichwani au ukayaacha tu. Vyote ni sawa tu.