Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Nipe account number, halafu huyo jamaa achana nae kwanza anaishi nyumba ya kupanga huko arusha bado anatafuta ajira namfahamu vzr
Hahahaha! Cha mtu sumu na ujue mtaraka huwa hatongozwi ukitaka nakuachia..! But Park at your own risk
 
Hahahaha! Cha mtu sumu na ujue mtaraka huwa hatongozwi ukitaka nakuachia..! But Park at your own risk
Namuwekea zindiko ole wako uguse lazima unate
Touch at your own risk......
 
Namuwekea zindiko ole wako uguse lazima unate
Touch at your own risk......
Uzuri kwa mtaraka utumii nguvu, wewe nisaidie kushika mapembe muda wa kukamua.
 
Uzuri kwa mtaraka utumii nguvu, wewe nisaidie kushika mapembe muda wa kukamua.
Tutaona bas!!! Nan zaid tafuta hela dogo
Weka vitega uchumi
Jenga kwako
Sasa ww shindana na wakubwa wako huku utaumia sanaaaa
 
Tutaona bas!!! Nan zaid tafuta hela dogo
Weka vitega uchumi
Jenga kwako
Sasa ww shindana na wakubwa wako huku utaumia sanaaaa
Shusa verse..! Mbona unakimbilia rungu, mapenzi upofu etii
Mpe pesa tukajenge kwani shida iko wapi..!
 
Shusa verse..! Mbona unakimbilia rungu, mapenzi upofu etii
Mpe pesa tukajenge kwani shida iko wapi..!
Kama unataka kujenga omba tukusaidie dogo, hawa watoto tuachie sisi ,
Vp ushapata ajira kwanza???
 
Tatizo dada zetu wengi hawajitambui, wakija kujitambua umri ushawatupa mkono. Msifanye masihala na upweke sometimes unaweza kukupelekea kujiua na maisha yako kukosa furaha na siku zote wawili ni wawili mtafarijiana, kushauriana, mtaliwazana na kushare vitu vingi . Ila unapokuwa peke yako utahisi dunia kama imekugeuka na kadri unavyoendelea kuzeeka nao msongo wa mawazo unaongezeka. Mimi siku zote dada zangu huwaga nawaambia, kama ukimpata mtu anayekutimizia mahitaji yako ya msingi kama mwanamke na yako tayari kukuoa usimwache hivyo vitu vya luxury mtavipata mbele ya safari. Tatizo dada zetu wanaendekeza starehe, wanadengua kisa wana makalio makubwa, kashfa na wanaamini mwanaume pesa, hapo ndipo wanashindwa kutofautisha kujua wenye upendo wa kweli na matapeli, mwisho wa siku wanaangukia kwa wahuni, wanawapa mimba na kuwapiga chini.
 
Rafiki zangu watatu wameolewa siku za karibuni na wana makalio Kama yote. Sio kila mwanamke anaabudu tako kisa tu analo. MTU kazaliwa hivyo. Na nyie wanaume mmeanza kuwaona wanawake wenye matako Kama threat kwenu. Kitu kidogo tu mnakimbilia sababu Ana tako. Hukumuni wasioolewa kwa mengine Kama tabia ambayo inachange ila sio maumbilie yao waliyozaliwa nayo.
Wanawake wenye makalio makubwa ni shida! Muda mwingi akili zao wameziwekeza kwenye makalio!
 
Wanawake wenye makalio makubwa ni shida! Muda mwingi akili zake zote ameziwekeza kwenye makalio!
Inategemea na nini anafanya. Kama alikimbia umande na kazi hafanyi na tako lipo kwanini asiwekeze bongo yake huko sasa..
 
Back
Top Bottom